Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Ccm sio Chama cha Mwanachama
Kile ni cha Wanachama
Migogoro yake inatatuliwa kibabe zaidi
Endelea kuota na hilo Saccos lenu

Maumivu kwao wao wanaosubiri majimbo watashangaa. Wanachukuwa wakuja
 
Kwa akili hizi na haya yanayoendelea, sidhani hata kuna haja ya kuwa na multiparty system nchi hii. Inavyoonekana ni kuwa upinzani nchi hii umejaa mamluki wengi toka CCM.

Ni upumbavu wa hali ya juu kudhani kuwa hawa wanasiasa tunaowaamini kuna siku watalivusha hili taifa, everyone is fighting really hard to feed himself.
 
Njaa haina baunsa.

NB: Wapinzani (wote) ni CCM. Kuanzia Mbowe mpaka Zitto wote ni CCM. Pambana na hali yako. Usiamini mwanasiasa yeyote wa kiafrika awe chama tawala au upinzani.
 
ulitakiwa uniulize kwanini Mashinji alivuliwa ukatibu Mkuu ?
Utanisamehe lakini nadhani mnahitaji kufanya kazi ya ziada kubadilisha chama chenu kipo kwenye hali mbaya. Mnachofanya sasa ni kama Magu anavyojifanya uchumi wa nchi unaendelea vizuri.
 
Kumbe ule mkopo wa World Bank ndio ulikua uje kuwa na kazi hii? I wonder ni wapi fungu la huyu limetoka. Lazima kuna wizara kadhaa budgets zake zimekuwa reallocated.
 
Utanisamehe lakini nadhani mnahitaji kufanya kazi ya ziada kubadilisha chama chenu kipo kwenye hali mbaya. Mnachofanya sasa ni kama Magu anavyojifanya uchumi wa nchi unaendelea vizuri.
Ni kawaida ya bahari kutoa uchafu.Magugu uharibu mazao ili liwe safi ni lzm magugu yote yatolewe
 
Madaktari njaa sana aiseeeh! Hawaoni aibuu!?

Actually huyu alishaunga juhudi toka akiwa Katibu Mkuu CHADEMA, anachofanya ni kuhitimisha tu!

Kama kuna mtu anajua Mashinji akiwa katibu mkuu alifanya kipi kuimarisha CHADEMA aniambie! Karibu kundini
Stay on tune, Kuna Wawili wanamkimbia Mbowe
 
Safari ni ndefu kama wanaisrael walivyokuwa wanatoka misri waliofika kutoka misri mpaka Israel walikuwa wachache tutafika wachache katika safari hii ya kumuondoa madarakani mkoloni mweusi
 
Back
Top Bottom