Ni kweli mob justice ni mbaya. Lakini ukiona katajwa hilo jina inaonekana ni mtu maarufu kwa shughuli hiyo na anafahamika kwa hilo.

Shida kubwa ni polisi huwa wanawaachia wakishahonga.
Siyo wananchi "wenye hasira kali" walijichukulia sheria mkononi na kumuua, taarifa hapo juu inasema ni askari polisi ndio waliomuua kwa risasi baada ya kuruka kutoka kwenye gari lao akijaribu kuwatoroka.
Hata hivyo, kwa habari za kijana huyu, namna alivyokuwa akitekeleza uharifu, alipaswa kutouawa mapema hivyo, mharifu wa hivyo anatakiwa kushikwa na kumtunza kwa ajili ya jeshi la polisi kupata uzoefu wa uharifu kupitia kumhoji. Watu wa aina ya Ally huwa na mengi yaliyojeruhi mioyo yao, wanakata tamaa na matokeo yake wanaichukia dunia na watu. Nobody is born a criminal, but, the society makes him/her so.
 
Siyo kweli hakuachiwa Huyo kafia kwenye mikono ya polisi hajauliwa na wananchi
 
Jinga Sana ww , Kwa hiyo mtu akizurumiwa ndio akikutana na mtu yeyote anaua tu , Kwa nini asiende Kwa aliye mzurumu
Haya muige na wewe watu wakufanyie umafia ,
Pumbaf zako
Tuliza kinyeo hicho nisije kukuchimba.

Kwanza hata kusoma hujui wewe, achilia mbali kuelewa kilichoandikwa.

Dawa yako ni kuchimbwa tu na hogo.
 
Jinga Sana ww , Kwa hiyo mtu akizurumiwa ndio akikutana na mtu yeyote anaua tu , Kwa nini asiende Kwa aliye mzurumu
Haya muige na wewe watu wakufanyie umafia ,
Pumbaf zako


Hujamuelewa.

Kwa kifupi tu ni kwamba hao wananchi wame deal na matokeo badala ya chanzo kwahiyo uwezekano wa kuibuka “Ally Dangote” mwingine ni mkubwa kwa asilimia kubwa.


Halafu acha kutukana watu hovyo, huo sio ustaarabu.
 
Jamii hisiyotaka kuwajibika kwa matendo yake yenyewe huzalisha akina Ally Dangote wengi tu.


Jamii inayoshindwa kumdhibiti kijana wa kiume wa umri wa miaka 19 tu ni jamii iliyoshindwa kwa maana katika uso wa ulimwengu huyo bado ni mtoto.


Mtoto alieua watu 9 na mara zote akafanikiwa huku akijeruhi wengine.

Mtoto mmoja alieishinda jamii ya maelfu ya watu wazima wa kila kariba mpaka jeshi la polisi.


.
 
huko anakokwenda hakunaga kupumzika
mambo mpelampela non stop
 
Kwa nini alikuwa akiua watu kama unavyadai ? Sababu ya huyu mtu kutekeleza mauaji ya watu hasa ilikuwa nini?
Mengi yamesemwa, ila lililokolea zaidi ni kwamba Ally akifungwa jela kwa kusingiziwa...kitendo kilichomfanya kuapa kuwa atakapotoka atawaua wote waliomzushia uongo na kupelekea kufungwa

Alikuwa akishitakiwa kwa makosa ya wizi

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Kuua sio njia sahihi

Maana kijana wa 19yrs bado Mdogo angejengewa misingi mipya ya kuitafuta Kesho yake iliyo Bora.


Hakuna Binadamu huwa anazaliwa ili aje awe Jambazi au muuaji isipokuwa hizi huwa ni hali zimavaa Mtu na kuharibu future yake huku yeye akiwa hana tena maamuzi na destiny yake .
 
Kuna kesi kadhaa Kama huyu dogo.
Wanafanya Kama ulivyo pendekeza. Siku au miezi kadhaa anaachiwa huru au anatoka.
Alirudi mitaani anakuwa watu kadhaa.
Bora wamalizane nao Kama hivyo kabla hawapoteza uhai wa watu wengine wema.
Mmoja afe wengi wasalimike sababu ya kufa kwake.
 
Uyu miaka 19 tusiseme kasumbua arusha, na kisu tu?
Uyu ilikuwa ni wa kuchuna ngozi ya mbupu kwa wembe butu aeleze A to Z.. kaondoka na utamu wote, frankly tulimuhiitaji hai sana mikononi kuliko kupoteza risasi kwa hii mburasa,Arusha tumefeli wapi?
 
Hujamuelewa.

Kwa kifupi tu ni kwamba hao wananchi wame deal na matokeo badala ya chanzo kwahiyo uwezekano wa kuibuka “Ally Dangote” mwingine ni mkubwa kwa asilimia kubwa.


Halafu acha kutukana watu hovyo, huo sio ustaarabu.
Asante sana kwa kunielewa.

Kuna watu wachache sana kama wewe wenye uwezo wa kusoma katikati ya mistari na kung'amua maudhui ya kilichoandikwa.

Humu mitandaoni siku hizi pamejaa mavilaza tu.
 
Hiyo jamii ndiyo chanzo cha kuibuka kwa ALLY DANGOTE.

Jamii ya watu wanaohusudu uonevu kwa watoto, ukatili, uchawi, wizi, umasikini, dhuluma, unyanyasaji wa kingono, lazima itazalisha tu SERIAL KILLERS.

Ukilikoroga lazima ulinywe. Ukilitengeneza JINI lazima likupasue msamba.
 
Uyu miaka 19 tusiseme kasumbua arusha, na kisu tu?
Uyu ilikuwa ni wa kuchuna ngozi ya mbupu kwa wembe butu aeleze A to Z.. kaondoka na utamu wote, frankly tulimuhiitaji hai sana mikononi kuliko kupoteza risasi kwa hii mburasa,Arusha tumefeli wapi?
Thubutuu!

Mbona wakati akiwa hai mlikuwa mnajificha uvunguni kama vitoto vya kuku!

Mwamba akisugua jambia lake kwenye jiwe wote mnatimka nduki mnaenda kujibanza kwenye sketi za dada zenu! Chezea Ali Dangote wewe!

Amekufa ndio unajifanya kubweka kama MANUNU! THUBUTU YAKO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…