Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ajenda zikapitishiwe bungeni, bunge hili hili la majizi ya kura? Hata sasa ajenda za watu tulikuwa tunaziona zikipita huko huko bungeni, ama umesahau ajenda ya kuchezea katiba? Halafu kama unadhani ni rahisi mtu kuwa na account kumi, hebu ww kuwa hata na account 2, kisha changia na hizo account 2 uone kama utakuwa na ajenda zozote za maana.

Mnaleta vitisho maana mlikuwa mnafaidika na jamaa aliyeondolewa na Mungu, na hamna uhakika wa mlo wenu utawala huu. Ule ukatili mliokuwa mkiuendesha hapa nchini kwa kisingizio cha uzalendo, sasa umefikia mwisho.
 
Hawa wamesahau kuna miradi iliachwa tena kwa kejeli,bomba la gas mtwara,bandari bagamoyo,yaani full ubabe ilikuwa,zamu Yao sasa kulialia..
 
Ilani si kitu.
Enzi za JK mlisema "maisha bora kwa kila mtanzania",je ilifanikiwa.

Muacheni mama atekeleze atakayoweza cha msingi Haki, Uhuru na maendeleo ya watu.
 
Mama Samiaq anajitahidi kufuata katiba ya nchi hii kama ilivo na sio kufanya anavotaka yeye, Samahani lakini JPM alifuata utashi wala hakujali katiba. Sasa ukipendezwa na utashi ukapata mtu anafuata katiba lazima utalalamika. Sasa basi, katiba ya nchi sio mapendekezo ya chama. Ikiwa mapendekezo ya chama yanapingana na katiba, unafuata katiba na ndio sababu Bashiru (msomi) anajikuta back bench...
 
Mimi kwa kweli nimeshakata tamaa..

Hawakujua hats ule umati kumuaga Kuna watu walijawa na furaha kupinfukia ...usicheze na bins adamu
 
Sema nitakunyima syo tutakunyima kura, wewe na nani?
Amesema ukweli mtupu maana hyo miradi ni hewa ukilinganisha na kipato.
Marehemu aliiba hela ktk acc za watu kufanyia miradi huyu mama hataki unyanganyi. Anajua wazi hatuna hizo pesa
 
He he he.
Acheni ujinga team chato.
Hakuna udikteta Tena katika nchi yetu
 
Wale tuliokua tunawaita nyumbu naona sasa ndo wako na mama. Maneno yao ya kejeli na ushabiki tu. Kinachonisikitisha hakuna chama cha upinzani serious ila kama kitakuja kuwepo ntakupigia kura za hasiraaaa
Huna lolote, wewe ni shabaki wa udikteta.
 
Mimi namshauri tu Rais afanye maamuzi kwa manufaa ya Taifa that is all.
 
Sasa hivi anaamua ya kwake kwa sababu wakati wa Baba Mama hakusikilizwa ushauri wake kwa hiyo mumuache kabisaa awafanyie kazi watu,,besides sasa hivi watu wanahitaji faraja kwanza kwa maisha walopitia hapo nyuma



Nawasilisha
You nailed it down mkuu
 
Mimi namshangaa sana Mama.....cheap popularity itammaliza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taga mbona umekata tamaa mapema hivi, kama mama anatafuta cheap popularity je Jiwe alikuwa anatafuta nini?
 
Wale tuliokua tunawaita nyumbu naona sasa ndo wako na mama. Maneno yao ya kejeli na ushabiki tu. Kinachonisikitisha hakuna chama cha upinzani serious ila kama kitakuja kuwepo ntakupigia kura za hasiraaaa
Sidhani kama kuna chama cha upinzani kinachotaka kura yako, kura yako inastahili kwenda kwa Jiwe ila ndiyo hivyo tena kaishasepa hivyo mpigie kura Gwajiboy.
 
Mbona umeme wa gas na bandari ya Bagamoyo iliachwa, nini Stiegliers bhana, wewe pambana na hali yako tu.
 
Moyo hauna furaha kbs nikikumbuka hayati dkt Jpm hatunae tena,,,, hakika tz itakukumbuka daima itatugharimu sana mpaka kuja kupata kiongozi wa calibre yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…