Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ajenda zikapitishiwe bungeni, bunge hili hili la majizi ya kura? Hata sasa ajenda za watu tulikuwa tunaziona zikipita huko huko bungeni, ama umesahau ajenda ya kuchezea katiba? Halafu kama unadhani ni rahisi mtu kuwa na account kumi, hebu ww kuwa hata na account 2, kisha changia na hizo account 2 uone kama utakuwa na ajenda zozote za maana.
Mnaleta vitisho maana mlikuwa mnafaidika na jamaa aliyeondolewa na Mungu, na hamna uhakika wa mlo wenu utawala huu. Ule ukatili mliokuwa mkiuendesha hapa nchini kwa kisingizio cha uzalendo, sasa umefikia mwisho.