Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

Hata hivyo hili kabila lina mambo ya ajabu sana
 
Ni rahisi sana kuyaandika haya ila ukiuvaa uhusika wa huyo mzee utaona uchungu alioupata.
baadhi ya mitoto ya chuga + bangi na pombe wengi hawana ubavu wa kupambana kama ilivyokuwa zamani.
Uchungu wa kubomoa nyumba na kuacha kiwanja? Angekuwa na uchungu angeuza au angetoa kwa wasio na makazi apate baraka. Tena angetafuta na waandishi wa habari kabisa akikata utepe. Uwezekano ni mkubwa sana hakujenga hizo nyumba au ana tatizo jingine.
 
Huyu mzee ana roho mbaya sana kisha hana hekima...kuliko kuharibu mali angeandika waraka akifa ziwasaidie wenye mahitaji maalum kama yatima nk
Wewe ndo huna akili wala hekima utampangiaje mtu mali yake namna ya kutumia.? Dunia nzima mayatima wamejaa unaweza kuwasiaidia hata wewe.
Jasho ni Lake amefanya kilichomridhisha moyoni, period
 
Sasa si angeuza akale bata au?
 
Auze na viwanja awakomeshe ,watoto wa siku hizi wazinguaji sana. Asipokua makini watamuwahisha mapema futi sita chini
N ibora kuuza aisee, lakini sio kubomoa, angeuza tu akale bata, hayo matoto yatamuwahisha mbele, bora auze tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…