Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

kippi warioba wananchi wa vunjo baada ya kuona serikali inawayeyusha barabara wakachanga billions 2 wajenge lami kilomita 3 alitumia nguvu za kila aina kuzuia ujenzi akilazimisha wakabidhi fedha hizo serikalini...WAKUU WA WILAYA WA AINA HIYO UNATAKA WANANCHI WA HUKO WAWAPENDE?
 
wanapelekwa kilimanjaro kua mkoa lakini mwisho wa siku wanafeli.
 
Hao wanataka viongozi wanaokumbatia upigaji wao. Wapigaji ni shida
 
Vya Moshi na Arusha ni vikubwa kuliko vya huku mikoani mwetu , nimetua huko kote na ninafahamu, wachaga ni wachagga tu, hata tuwachukie vipi wametutangulia, wanapenda kwao, sasa wangekuwa wametoa rais wa nchi aijui ingekuwaje.
Hiajalishi ni vikubwa kama unavyosema..ukweli ni kuwa sio vya KIMATAIFA bado!
 
Vinazidiwa na hivi hapa Ruangwa , Katavi, Mbeya, Chato, Bukoba, Morogoro, au?
Kuna vingine ni "Air strips" tu na wala sio Airports, mfano hicho cha Morogoro hakina sifa ya kuwa Airport hivi vingine sijawahi viona!
 
umeoa wa nn sasa?
unaoa mke unakuja kumlalamikiabjf kisa kabila,?
ungemuacha au mpe talaka kabisa. wapo watu watamuoa bila malalamiko
Huo ndio ukweli at first nilikuwa mbishi na ingawa nilionywa mno. Kwakuwa alikubali kubadili dini nkasema ntamuoa yeah ila ni ukweli wana tabia za ubinafsi na huwa namchana kila uchao.
 
Huo ndio ukweli at first nilikuwa mbishi na ingawa nilionywa mno. Kwakuwa alikubali kubadili dini nkasema ntamuoa yeah ila ni ukweli wana tabia za ubinafsi na huwa namchana kila uchao.
so yeye ndio sample ya kabila zima?
its so funny tabia za mtu mmoja zinakuwa reflected kabila lote?
Binafsi Nimesoma moshi japo si mchaga.
kwa miaka mingi sana sana
Even kuish mpaka kazi yangu ya kwanza nilianzia huko.

In my own experience na hili kabila. kwanza si wote wenye tabia hizo.. pili hili kabila limegawanyika kwenye jamii.. na kila jamii ina tabia yake.
so itategemea. lakin si wote
 
We unaelewa nn ukiambiwa Sample?
 
Mkuu wewe sio muelewa ka unatetea Utopolo wa sabaya jichunguze kwenye hata maisha yako mtaani
Pole mimi siyo mchaga. Maana Wachaga wote sasa wanaamini Sabaya aliwakosea. Siwezi kuchukia kwa mambo yanayosemwa na wafanyabiashara wakati ahawasemi upuuzi wao mitaani. Acha mahakama ipewe ushahidi. Mijitu mizima inafurahia kabla hata haijaona ushahidi. Clips za video za walalamikaji ndo ushahidi wa mahakamani?
 
Sema tu kabila lako kwa usahihi!
 
Tunazungumzia ukabila wewe unaandika auditing! CAG anakagua ukabila na upendeleo?
 
mkuu huo usomi wa kweli kweli ni usomi gani huo tufafaulie wengine hatuuelewi.
Yaani nchi hii imejaa majitu majinga sana hivi huo mkoa wa kilimanjaro una nini cha ajabu? Kuna kiwanda cha magari huko? Naona umasikini tu kuanzia same, mwanga ndo kichekesho hata huo mji wa Moshi sioni tofauti mlishakariri mambo ya zamami kila siku kwetu kuna maendeleo. Maendeleo gani hapo yaani bongo hii bado sana ni poverty cycle hakuna lolote.
 
Utawaweza matejooo wazee wa sifa za kuvimba.
 
Acha ujinga sabaya hajatendea haki na amevunja Sheria, toka lini kuvunja sheria kukahusika na kabila, no one is above the law, yoyote anayeharibu sheria afikishwe kwenye vyombo vya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…