Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

Ukiwa na akili timamu lazima utawakataa viongozi wengi kwani utendaji wao ni mbovu.
 
Upo sahihi sana mkuu. RPC Hamisi Issa yuko Njombe hivi sasa. Ilitangazwa anahamia Morogoro lakini akapelekwa Njombe.
 
Kwanza inawezekana hujasoma historia ya Africa, dunia na Tanzania. Na kama ulisoma hukuelewa.
Awareness ya watu wa hiyo mikoa ipo juu kwa sababu ya historia co ya chadema ni ya tangu ukoloni.
Pakiwa na uelewa ni rahisi watu kujua mapungufu ya kiongozi na kupaza sauti! Hata mwendazake hakuwa maarufu miongoni mwa wanataaluma nje ya wale aliowateua!
SABAYA ANA AKILI NDOGO INAYOWAKILISHA VIJANA WA CCM( UVCCM)
 
Ukabila ndio umesababisha jambazi Sabaya ashitakiwe?. MATAGA bwana........
 
Wao hujiona walizaliwa kutawala tu,tatizo Mungu si Yohana, na wakipata tu tu madaraka hawaachiagi hawa.Haya twende na mifano
Mbatia tangu awe mwenyekiti wa chama chake hajawahi toka.
Mrema tangu awe mwenyekiti hajawahi kuachia kiti pamoja na uzee.
Mbowe tangu awe mwenyekiti hajawahi kuachia wengine.

Halafu uwape urais wa nchi watatawala mpaka wafie Ikulu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Huu ndio msingi wa thread. Inaweza ikafungwa sasa. Hizi chuki za mwenda zake zitawaua kwa hakika.
 
Tafuta kauki aliyoitoa Bashiru kumkemea Makonda kuhusiana na Makinda alivyotoa kauki ya kijinga kwenye msiba wa Mzee Reginald Mengi.

Bashiru inawezekqna ana matatizo yake, lakini usomi sehemu nyingine unaonekana na haujifichi.

Kifupi Bashiru, kama Katibu Mkuu wa CCM, alikiri kwamba kuna tatizo katika kuandaa viongozi vijana. Alitumia "vijana" kukisitiri chama tu kwamba hili ni tatizo la karibuni kwa viongozi vijana, lakini mimi naona kuna tatizo la kuandaa viongozi kiujumla. Ndiyo maana tumepata rais anayewaambia wananchi wabaki na mavi yao nyumbani wasichafue vyoo vya serikali.

Ile kauli ya Bashiru ni kauli iliyotakiwa kujadiliwa zaidi, kwa sababu ilikuwa na uwazi fulani ambao si wa kawaida katoka kuelezeq matatizo ya msingi kuhusu CCM kukosa mfumo wa kuandaa viongozi.

Na ukiona kama mimi nawasemq sana CCM, hili ni tatizo la kitaifa. Si la CCM tu. Hata katuka familia vijana wanalelewa vibaya, hakuna heshima, sehemu nyingine wakubwa hawatoi mifano mizuri, hakuna kujali maendeleo ya oamoja ya jamii, kila mtu kivyake.

Angalia video hapa. Kaanza kuongelea uongozi at 5:20

 
Ndiyo faida ya kuelimika, ulitaka jambazi kama Sabaya aheshimike?
 
Wameelimika, wanazijua haki zao na wanajiamini
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usisahau pia wana Airport 3 za kimataifa, within 45 kilometres of each other
Mhhh hebu tutajie hizi International Airport zilizoko Ausha na Kilimanjaro, mimi najua KIA pekee zingine ni zipi?
 
Mhhh hebu tutajie hizi International Airport zilizoko Ausha na Kilimanjaro, mimi najua KIA pekee zingine ni zipi?
Uwanja wa Ndege wa Moshi unaitwa Moshi Airport, KIA ambao ni Kilimanjaro int airport na Arusha unaitwa Arusha Airport bila kutaja viwanja vya manyara, seronera, Serengeti
 
Uwanja wa Ndege wa Moshi unaitwa Moshi Airport, KIA ambao ni Kilimanjaro int airport na Arusha unaitwa Arusha Airport bila kutaja viwanja vya manyara, seronera, Serengeti
Ndugu yangu kuitwa " Airport" haimaanishi kuwa ni viwanja vya Kimataifa kama ulivyosema, ukisema kuwa wana viwanja vya ndege kwa umbali wa 45 km sawa, Mikoa hiyo miwili kuna kiwanja kimoja tu cha Kimataifa nacho ni KIA, vingine ulivyotaja ni vya KITAIFA kama Songwe Airport (Mbeya) au Tanga Airport na vingine vingi vilivyoko hapa nchini!
 
Vya Moshi na Arusha ni vikubwa kuliko vya huku mikoani mwetu , nimetua huko kote na ninafahamu, wachaga ni wachagga tu, hata tuwachukie vipi wametutangulia, wanapenda kwao, sasa wangekuwa wametoa rais wa nchi aijui ingekuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…