Mbona tunasikia imeshauzwa nani huyo mwenye hayo mabavu na misuli kama sio yeye??Atusaidie hapo. Na ndege tunasika imekamatwa Dubai au ndio hai wenye misuli na mabavu ya kufanya chochote wanachotaka Tanganyika??
Tunasikia ni kauli isiyo na uhakika.
 
Naona watu wanalia lia tu humu ooh fake news ooh mod futeni upotoshaji.

Wote tumesikia KKKT wameunga mkono uwekezaji wa DP WORLD. Bandari ndio ishaenda hivyo ule upigaji wa bandarini unaenda kupungua sasa🔨
 
Frederick Shoo anapaswa kumsoma kwa makini mwanamatengenezo Martin Luther, kwa makini Sana

Anapaswa kusoma hoja 95 zilizowekwa na Martin Luther kwenye lango la kanisa jumapili moja juu ya misimamo yake ndani ya kanisa
Halafu baada ya hapo arejee kusikiliza hotuba yake vyema. Kulikana kanisa ni kumkana Yesu Kristu mwenyewe
Mathayo 10:33
Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.


Hakuna udhalimu wenye mwisho mzuri
.
 
HAKUNA anayewapuuza TEC...

HAKUNA anayepuuza madhehebu ya dini......

HAYUKO MWENYE MISULI YA KULIGAWA TAIFA HILI [emoji120]
Wafanye makosa halafu waone linavyo pasuka na kugawanyika
Maana kuongea huwa ni rahisi asione wana mchekea watu mioyoni mwao wamejaa hasira, atapotea
 
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tukana uwezavyo na upumbavu wako wa kurithi....

HAKUNA MWENYE MISULI YA KULIGAWA TAIFA HILI [emoji120]
Hivi hapo kuna tusi gani kama anachosema ni kweli??Mbona upumbavu mwingi Tanzania au Tanganyika??jamii forum sio sehemu ya uongo na umbea kila anaendika hapa ni matumaini yangu anaushahidi wa asemacho na anaweza thibitisha mahakamani nje ya Tanzania
 
Asifikiri kila siku kutakuwa na wasindikizaji yaan tuwe walamba asali na walamba shubiri kwenye nchi mmoja ,huyo mama alipaswa kujiuzulu badala yake ameingia mkataba ya kirushwa halafu anatusha watu
 
Ameongea kama ndani ana jaziba fulani....huo ujumbe anawalenga TEC .kukaa kimya asijione mjanja sana bali ni kuliangamiza taifa na watu wanakuwa na madukuduku yao moyoni na hayana majibu. .Dunia yote linapotokea Jambo mkuu wa nchi lazima alitolee ufafanuzi na kutuliza wananchi.Mbele sio kuzuri tuendako nidhahiri vita baina ya serikali na wakatoliki ni kubwa huko ndani...na nani ataibuka shujaaa? Yetu macho na time will tell....
 
Mnatalazimisha wote tuamini kama nyie?
 
Kuna kitu kitafuata,Subiri uchaguzi wa Mkuu KKKT upite kwanza,hapo ndio utasikia wanachanganya dini na siasa
 
Yeye ndio ataligawa taifa hili! Yatunze maneno yangu, Kwa mara ya kwanza katika taifa hili tunaweza kuingia kwenye vita za kidini kwasababu ya uwezo mdogo wa Kiongozi tulienae.
Hizo ndoto bora uendelee na shughuli zako ukisema usubiri taifa hili ligawanyike utangoja sana mpuuzi mmoja wewe.
 
Ndio alikuwa na Jazba si kazoea mipasho kama wazanzibari wenzake, dawa ya TEC ilimuingia.
 
Punguzeni porojo
Hawajaunga mkono mkataba mbovu
Mnadanganya ili iweje
Amesema wanaunga mkono uwekezaji ulio na faida kwa Taifa sio huu uliopo sasa
Wakatoliki wamenyoosha maelezo KKKT wamefunga mjadala. Ujumbe ni ule ule acheni kupotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…