Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Tunasikia ni kauli isiyo na uhakika.Mbona tunasikia imeshauzwa nani huyo mwenye hayo mabavu na misuli kama sio yeye??Atusaidie hapo. Na ndege tunasika imekamatwa Dubai au ndio hai wenye misuli na mabavu ya kufanya chochote wanachotaka Tanganyika??