Hao waarabu mnaotaka tuwape bandari zetu walitufanya watumwa na kutudhalilisha, ndugu zetu waliopelekwa watumwa huko waliwahasi. Sasa sijui unataka kusema nini hapo.
 
Kweli Kanisa Katoliki ( kupitia TEC ) ni Kiboko ya Wapuuzi, Wahongwaji, Wauza Nchi na Mafisadi, yaani wamekuja na Tamko lao na Waraka wao Kusomwa Ibadani Kote Jana hivi sasa kuna Watu Wanaweweseka kama Kuku wa Mdondo kutaka Kushindana nao au Kuwajibu wakati kwa bahati mbaya sana hawakubarikiwa Uwezo huo mkubwa wa Akili na Kufikiri kama wa TEC na Wakatoliki duniani kote ( GENTAMYCINE inclusive )

Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
 
Lazima akereke si KCMC wanakunja mtonyo
Nenda KCMC kawaambie waislamu waondoke wasikubali kutibiwa hapo, bahati mbaya hiyo hospitali unaisikia tu na haujawahi kutibiwa hapo ndiyo sababu unausongo nayo, kwa taarifa yako wapo wagonjwa wasiokuwa na uwezo wanatibiwa bure, hebu nenda hispitali uone kama utatibiwa bure au ukifariki utatoka bure, lazima ulipe.
 
KCMC bure? Usitufanye mazuzu
 
TEC kama walishindwa kupambana na mwamposa sidhani kama wataweza kupambana na serikali
Mataga wenye akili za kuku kama zako hawawezi kumuelewa Dr.Shoo Hadi waliosoma Cuba,

Dr.Shoo amesema wanaunga mkono uwekezaji,hakuna sehemu amesema wanaunga mkono mkataba,
Huo ni mtego.
 
Nimemkubali kweli Mama ni Mama wa shoka sio mchezo, kauli yake aliyo itoa Jana akiwa madhabahuni katika maadhimisho ya miaka 60 ya Kanisa la KKT alisema hivi
" Hakuna mtu au kikundi Chenye misuli ya kuligawa taifa hili, wala hakuna mwenye misuli ya kuliuza taifa hili.....hakuna....hakuna" alieleza hayo kwa kujiamini na akimaanisha hivyo.

Tunamuombea Rais wetu na wasaidizi wake wote wawe Imara zaidi ya chuma cha pua. Kamwe wasikubali kuyumba wala kuwa wanafiki. wasikubali kugonganishwa wala kuyumbishwa, wasimame imara kama timu moja nasi wananchi tupo pamoja na azama ya Serikali yetu katika uwekezaji katika Bandari yetu ili tunufaike na maendeleo yasonge mbele.

Washikamane, unafiki na uzandiki havitakiwi kwenye utendaji.
 
We nae kweli pimbi, kuzunguka mbuyu ndio Ushoka.
Ushoka ni kitaja hau watu au kikundi.
 
Tukusaidieje?
 

Bila shaka wewe ni sheikh ubwabwa:

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…