Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Jana Roma Catholic wameweka wazi hawautaki mkataba
Leo waluteri wa Kkkt mbele ya Rais wameunga
Walokole kina Masanja hao wataunga tu.

Wasabato itakuwaje ?
Catholic ipo juu ya wote hao, msabato na mambo ya serikali ni mbali mbali hutasikia msabato akinyanyua kunywa kunena lolote , hata hvyo kati ya watu wanaoijua nguvu ya Catholic Kwa usahihi ni wasabato ...
 
Hatimae bandari za watanganyika zimebaki kwa watanganyika, Mkataba wa kimagungo watupiliwa mbali.

Wote tuseme AMEN!

Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na usalama kwenye taifa letu" - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
 
Askofu wa Katoliki yuko answerable moja kwa moja Roma na Serikali haiwezi mfanya chochote, Bosi wa Askofu wa Katoliki ni Papa anaishi Roma, wakati Bosi wa Shoo yuko Tanzania na Serikali ya Tanzania inaweza kumfuta kazi na kuweka mwingine bila ya shida yoyote, kwa kifupi ni Sheikh wa Bakwata serikali inaweza mtoa na kuweka mwingine, wengi labda hawalijui hili.

Kwa kifupi Askofu wa Katoliki ni kama Mkuu wa Mkoa anayeletwa Mkaoni kwenu na raisi na KKKT ni kama Mbunge …
Nonsense.
 
Hoja ndo imaeisha hiyo, ambao walikuwa na mianya kule bandarini mjiandae kisaikolojia. Diipii Wolidi wanaenda igeuza daslamu kuwa Dubaiii
 
Sisi tumeshindwa ndio tunamtegemea DP world?. Kwamba hatuna uwezo wa kuibadilisha dar?. Kweli ukoloni bado upo.
 
Hatimae bandari za watanganyika zimebaki kwa watanganyika, Mkataba wa kimagungo watupiliwa mbali.

Wote tuseme AMEN!

Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na usalama kwenye taifa letu" - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Kama nakuona unavyotamani tiachane na mkataba ili uendelee kuiba hapo Bandarini.

Endelea kusubiri embe chini ya mpapai. Lazima mkataba utekelezwe na urasimu wenu tuuondoe pale bandarini
 
Hatimae bandari za watanganyika zimebaki kwa watanganyika, Mkataba wa kimagungo watupiliwa mbali.

Wote tuseme AMEN!

Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na usalama kwenye taifa letu" - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mbona statement ipo vague?. Hakuna hitimisho lolote.
 
Back
Top Bottom