econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Yeye mbona IQ Hana?Kumuelewa inabidi uwe genius IQ200+ level za Einstein
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mbona IQ Hana?Kumuelewa inabidi uwe genius IQ200+ level za Einstein
Baadala mshughulike na wezi mnawaogopa. Report ya CAG ikija mnaifukia baadae mnadai kwamba mnawakimbila DP world kisa wezi. Unajuaje Kama hao DP world sio wezi?.Kama nakuona unavyotamani tiachane na mkataba ili uendelee kuiba hapo Bandarini.
Endelea kusubiri embe chini ya mpapai. Lazima mkataba utekelezwe na urasimu wenu tuuondoe pale bandarini
Hilo jina la mji libadilishwe uitwe jina lake la asili la Mzizima maana kwa jina hili la sasa wenzetu wanauona ni sehemu ya miji yao.Hoja ndo imaeisha hiyo, ambao walikuwa na mianya kule bandarini mjiandae kisaikolojia. Diipii Wolidi wanaenda igeuza daslamu kuwa Dubaiii
Kama bandari imepata tuzo ya ufanisi kwanini mnaleta DPW?DK Samia ni jemedari Mama tuvushe tuna Imani na wewe, usikatishwe tamaa na wajinga wale, waache waandike vijiwaraka vyao uchwara we chapa kazi, we love you Samia, mama mwaaaaah!!
Sasa wewe uliwahi kuona wapi uwekezaji ambao hauna mkataba?Wameunga wapi? mbona nipo hapa na sijasikia. Au kuunga mkono uwekezaji ndio kuunga mkono mkataba?
Tujifunze kutumia akili zaidi ya mihemko na nyege za Sisa uchwara
Kikwete siyo level zao kabisa wamuacheeBwana kikwete kapewa za uso
Na bado mtajieleza sana tuu lakini ndio hivyo tena Hakuna mweye msuli wa kuligawa taifa hii kamanda mkuu wa majeshi keshasemaAskofu wa Katoliki yuko answerable moja kwa moja Roma na Serikali haiwezi mfanya chochote, Bosi wa Askofu wa Katoliki ni Papa anaishi Roma, wakati Bosi wa Shoo yuko Tanzania na Serikali ya Tanzania inaweza kumfuta kazi na kuweka mwingine bila ya shida yoyote, kwa kifupi ni Sheikh wa Bakwata serikali inaweza mtoa na kuweka mwingine, wengi labda hawalijui hili.
Kwa kifupi Askofu wa Katoliki ni kama Mkuu wa Mkoa anayeletwa Mkaoni kwenu na raisi na KKKT ni kama Mbunge …
Andika kiswahili ueleweke wewe mroma wa mchongo.Roma Lacuta Causa Finita
Ndio ujue siasa na dini havitengani.Hao mapadre sijui nani ilikuwa ni mihemko ya ukabira sio Imani yao naona mnchanganya mafaili tu.Facts are facts mkuu mapadri wa katoliki walihusika mauaji ya kimbari huko rwanda ndiyo maana kauli ya kusema wapo hadi mitaani ni mbaya sio kauli nzuri
Usikute we nimwanaume??? Mbona unaandika kiupindepinde sana mtoto wakiume unaandika mwaaah,,,kudabankeni malinda not foundDK Samia ni jemedari Mama tuvushe tuna Imani na wewe, usikatishwe tamaa na wajinga wale, waache waandike vijiwaraka vyao uchwara we chapa kazi, we love you Samia, mama mwaaaaah!!
Vita Somalia,,Yemen Syria vip kote niwao???…hawa ndio Wakristo pekee Tanzania 🇹🇿! Hao wengine ni genge la wahuni waliosababisha vita na migogoro yote Duniani!
👉🏾 Vita kuu ya kwanza na ya pili ya Dunia, chanzo ni wao!
👉🏾 Mauaji ya kimbari Rwanda, Namibia, chanzo ni wao!
👉🏾 Vita inayoendelea Congo, CAR, na sehemu nyengine Duniani, chanzo ni hao hao wanaojiita «Waroma» wakati hawana uraia wa Italy! 😁🚮🚮🚮
👉
Umri unapishana … kuna wale ambao sitaona aibu kuwafikisha kwenye vyombo vya sharia…lakini kuna wale ambao nitaona aibu kuwafikisha kwenye vyombo vya sharia…” - Rais Samia akiwaonya wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma, akiwataka kufanya kazi kwa tija.Andika kiswahili ueleweke wewe mroma wa mchongo.
Hujaeleweka bado unamaana gani.Umri unapishana … kuna wale ambao sitaona aibu kuwafikisha kwenye vyombo vya sharia…lakini kuna wale ambao nitaona aibu kuwafikisha kwenye vyombo vya sharia…” - Rais Samia akiwaonya wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma, akiwataka kufanya kazi kwa tija.
العمر يتداخل ... هناك من لا أخجل من إحضاره إلى المؤسسات الشرعية ... لكن هناك من سأخجل من إحضارهم إلى المؤسسات الشرعية ... "- حذر الرئيس سامية رؤساء مجلس الإدارة وكبار المديرين التنفيذيين للمؤسسات العامة مطالبينهم بالعمل المنتج.
aleumr yatadakhal ... hunak man la 'akhjal min 'iihdarih 'iilaa almuasasat alshareia ... lakin hunak man sa'akhjil min 'iihdarihim 'iilaa almuasasat alshareia ... "- hadhar alrayiys samiat ruasa' majlis al'iidarat wakibar almudirin altanfidhiiyn lilmuasasat aleamat mutalibinahum bialeamal almuntaji.
Kwa hiyo hata huyo aliyesema haya hukumwelewa bado unampambania?Hujaeleweka bado unamaana gani.
Kamsikilize Pad. Kitima. Si maneno yangu hayo, ni ya Kitima, Katibu Mkuu wa TECDuu kwamba yamepuuzwa? Uko serious kweli?
Yule ni mpuuzi na Huwa sisikilizi Wahafidhina na Wajamaa Mimi,hawana lolote la maana kunisaidia Nchi kusogea mbeleKamsikilize Pad. Kitima. Si maneno yangu hayo, ni ya Kitima, Katibu Mkuu wa TEC
TPA Kwa bandari zote anaingiza bilioni 700 Kwa mwezi na anajiendesha Kwa bilioni 600, sasa dpw atakuwa analeta tilioni 26 Kwa mwaka tena bandari ya daresalam tu, Mungu akupe nini sasa? Ndomana wanaopinga ujio wa dpw nawaona wapumbavu hawana akili.Kama bandari imepata tuzo ya ufanisi kwanini mnaleta DPW?
View attachment 2724309
Mie ni mwanaume tena beki inayochapa miguu yote we kama kinyeo chako kinawasha leta nikibutue!!Usikute we nimwanaume??? Mbona unaandika kiupindepinde sana mtoto wakiume unaandika mwaaah,,,kudabankeni malinda not found
Kasema au umemsemea?Kwa hiyo hata huyo aliyesema haya hukumwelewa bado unampambania?