Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Punguzeni porojo
Hawajaunga mkono mkataba mbovu
Mnadanganya ili iweje
Amesema wanaunga mkono uwekezaji ulio na faida kwa Taifa sio huu uliopo sasa
Wakatoliki wamenyoosha maelezo KKKT wamefunga mjadala. Ujumbe ni ule ule acheni kupotosha
Tena huyo askofu amepa somo na historia ya nchi na akamwambia hatutaki kuambiwa tusichanganye dini na siasa.Hapo ndipo filosofia ya dini inafanyakazi kweli ameeleweshwa vizuri sana na akaambiwa kuwa dini zote walikwenda kumuona akaahidi kufanyia kazi mswada wao lakini hajajibu
 
20230821_133253.jpg
 
Jana Roma Catholic wameweka wazi hawautaki mkataba
Leo waluteri wa Kkkt mbele ya Rais wameunga
Walokole kina Masanja hawa wataunga tu mradi pesa iwepo.

Wasabato itakuwaje ?
 
Jana Roma Catholic wameweka wazi hawautaki mkataba
Leo waluteri wa kkkt Mbele ya Rais wameunga
Walokole kina Masanja, Georgevie hao wataunga tu.

Wasabato itakuwaje ?
Ukiwa halali wataunga!
 
Jana Roma Catholic wameweka wazi hawautaki mkataba
Leo waluteri wa kkkt Mbele ya Rais wameunga
Walokole kina Masanja, Georgevie hao wataunga tu.

Wasabato itakuwaje ?
Kwani hao ni mhimili wa serikali wa unge wa siunge Bunge mahakama na baraza la mawaziri lilisha amua.
 
Hakuna mtu wa kuipinga serikal..serikali ndio imeshika mpini ,wanachi wako kwenye makali ,ikivuta tu shwaaaa ...
 
Wameunga wapi? mbona nipo hapa na sijasikia. Au kuunga mkono uwekezaji ndio kuunga mkono mkataba?
Tujifunze kutumia akili zaidi ya mihemko na nyege za Sisa uchwara
 
Jana Roma Catholic wameweka wazi hawautaki mkataba
Leo waluteri wa Kkkt mbele ya Rais wameunga
Walokole kina Masanja hao wataunga tu.

Wasabato itakuwaje ?
KKKT wamesema wanaunga mkono uwekezaji wenye tija
 
Back
Top Bottom