Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

Manyara na radi wapi na wapi? Tumezoea kusikia huko rukwa, katavi, shinyanga, simiyu na geita
 
Naona michadema chakavu inavyoshangilia......kwa hakika hii mijitu Mungu aendelee kulaani kwani Haina faida yoyote ziaidi ya kuoandikiaa chuki tu basi.
Hvi wote walioshangilia ni chadema kumbe??
 
Kama walibeba mwamvuli au bunduki wakawa wameilekeza juu ni shida
 
Eee Mungu nisamehe tu kwa mawzo yanayopita kichwani mwangu.
 
Watu tumeshindwa la Kufanya sasa radi imeingilia kati
 
Kwa kweli Polisi ni Mashetani. Hawa ndio watesi wetu, hawa ndio wanaotuteka na kudhulumu haki yetu ya kuishi.

Acha tu radi iwape somo kidogo
 

Chuki katika Jamii imefikia viwango vya juu zaidi kama vile ilivyokuwa kule nchini Rwanda miezi michache kabla ya kuanzishwa kwa Mauaji ya kimbari ya Mwaka 1994.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…