Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Mkuu na wewe unaishi Tanzania hii hii inayopakana na kenya,uganda,burundi,DRC,zambia,malawi na msumbiji au unaishi Tanzania nyingine?
Nasubiri hoja yako dhidi ya hoja ya 'stroke'
 
Sasa mtu fudenge alivyokua akishiriki kwa hali na mali nyingi kwenye campaign za Lowassa na kumpopoa bashite alikua hachanganyi siasa na dini? Ila kaanza kuzichanganya alivyorudi upande wa pili? Cha msingi nasema watanzania ni wanafiki na wazandiki na huwezi kujiita mpigania haki huku umejaa unafiki.
 
Kama risasi 49 hazikufua dafu mwanadamu anayeshindana naye ajue anashindana na Mwenyezi Mungu na kamwe hatafanikiwa.

Tundu Lissu ni muujiza mkubwa duniani ila maadui wa Mwenyezi Mungu wamepofuliwa na dhambi zao ili wasije kuiona NURU na hatimaye kuokoka

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Akaunti zake na za kanisa ziangaliwe yaweza kuwa katakatisha pesa za Lisu toka nje at a fee ndio anapiga hizo kelele za kupamba baada ya mzigo wa pesa kuingia
Una kazi ngumu sana we mwanamke
 
Sanduku la kura lina maajabu! watu watakuimbia, kukubeba na watasukuma hadi gari lako ila kura watapiga kwa chama chao!
Magufuli anajua alikuwaje rais 2015,ninyi mapoyoyo kazi yenu kupayuka tu
 
Uko serious kabisaaa unataka kiongozi wa nchi akàjadiri mipango miji na nabii mzinzi kama mwingira
 
Kuna askofu akitabili kushindwa kwa lisu atatukanwa kinoma
 
Hatuhitaji gazeti, ... bali kila neno litokalo kwa bwana!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Mzee anahaki ya kutumia mfano wowote katika kufundisha watu Wake.

Ila Mamlaka iliyopo sasa imekubalika na ilishapata kibali Mbele za Mungu Rais Magufuli anakwenda kushinda term nyingine,

Tunakwenda kuiona Tanzania ikiimarika zaidi ya sasa.
Ana haki
 
Mchungaji ameamua kuchukua nafasi ya Bwana Kakobe na Tapeli Gwajima kwa kutoa support yake kwa upinzani.

Big sana.

Kagonza show them what to do these niggas
 
Hata ukiongea na mabaka wa chini wanawalaumu wananchi uoga wao ndio kikwazo Chao pa kuanzia,so siku akiingiza mabaka ndipo atapoona Moto ukimuwakia.Anadhani kuwamiliki mabosi zao ndio kuwamiliki wote,wanamchora tu.
Hii ya kumiliki mabosi wa 'Mabaka' haina tofauti na walivonunua wabunge na madiwani, leo hawaamini macho yao.

"Wapinzani wanachakata picha za mikutano ya nyuma" by Meko.
 
Hata ukiongea na mabaka wa chini wanawalaumu wananchi uoga wao ndio kikwazo Chao pa kuanzia,so siku akiingiza mabaka ndipo atapoona Moto ukimuwakia.Anadhani kuwamiliki mabosi zao ndio kuwamiliki wote,wanamchora tu.
Unamaanisha Magufuli kinaweza kumkuta kilichomkuta Rais wa mali bwana Keita ?
 
Nasikitika sana, nilimpigia kura yangu pale mwanzo.
Ni kati ya makosa makubwa niliyoyafanya hapa duniani.

Kumjali mtu asiyejali watu. Wacha mawe yampigie kura.
Naamini wengi tuliom support Magufuli mwaka 2015, kwa sasa tumeamua kutompa support yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…