Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Vyeti feki vimetokea wapi? Au ndio yale ya mtu ana PhD lakini hawezi kuongea au kuandika sentensi ya kiingereza, na maprofesa waliomsaidia kuandika thesis wote akawapa byeo?
Unaujua msongo rasmi ulionao,wewe endelea kupambana na hali yako!

Mwisho wa siku utainhia kulala,na lazima utafute kula ya wanao kama unao!

Ya Marehemu yaliisha!
Na familia inaendelea na maisha yao vizuri,hana vijana vilaza!

Ndio maana unamuona mama Samkara na watoto wa Sankara wakiwa kwenye Professional zao!

Hawataki siasa wala uchawa!
 
Umeshakula Cha mchana?
 
Umeshakula Cha mchana?
Angalia kwanza object ninayoitumia kupost humu JF ndio utajua hatufanani wala kulingana!

Mimi sitafuti pesa ya kula,natafuta maisha yenye upendo na amani kwa mke wangu na wanangu!
Ndio maana nawachukia wezi,wala rushwa,wabadhirifu na wakabila kama wewe chiembe !

Mnamchukia Dk Malasusa!

Kisa tu,alimuwajibisha Kimaro! mmachame mwenzenu toka Hai!

Ndio maana watanzania wamewakataa sababu ya Ukabila wenu na kuligawa taifa.
Chagga Dem***** Manifesto!

Tunawaona na tunawajua na tunawadhibiti na mnadhibitika!
 
NNA NDIOOO MAANA .....I WA KILE KITI PALE JUUU KKKT HAMKIPATI NGOO TUNABADILISHANA WENYEWE KILIMANJAROOOOOO.TANGA...SEMA AMINA YARABI....UMESAHAU HILI..AVHANA NA.MAKABILA.MKUU MJIBISHANE KWA UPENDO...
 
Huu ni utumwa wa kipuuzi, udhalilishaji kwa mchungaji Kimaro na familia yake na hata aibu pia kwa wana KKKT.. THIS IS EVIL.. Hakuna Mungu wala nn hapo, Mungu hawezi fanya huo uonevu na udhalilishaji, that is evil spirit.

Malasusa mwenyewe alifukuzwa na KKKT kama sio serikali wakati ule, Malasusa ungekuta sio Askofu wa KKKT..

Huu ni ujinga tu, wanamuonea wivu Kimaro, this is not acceptable, upuuzi. Kimaro anzisha kanisa lako ASAP, achana na hao akina Malasusa, acha moyo wa uoga uoga. Jiuzulu kisha, anzisha kabisa lako, pitisha michango within a month unajenga kanisa, waamini utawapata maradufu ya hapo... Hapo hutaweza ongea tena, utakuwa umefungwa mdomo na hutaweza sema kweli na mahubiri yako yatakuwa ya kujifunga kabisa..
 
WAAACHENIII WAFUU WAZIKEE WAFUUU WAOOOOOOOOO
 
YANGA ANAONGOZA 2-0 MAOMBI YENU MA ASK NA MADK NA WACH
 
Japo Mwingira alikuwa Mwinjilisti wa KKKT Sidhani kama bado ni jambo rahisi kihivyo kea mchungaji Kimaro kutoboa na Kanisa binafsi
 
Japo Mwingira alikuwa Mwinjilisti wa KKKT Sidhani kama bado ni jambo rahisi kihivyo kea mchungaji Kimaro kutoboa na Kanisa binafsi
Ugumu upo wapi? Mchungaji Lukumay (alikua Kwa Mama Rwakatare Sasa ana Kanisa Mbezi Africana) Kimaro atashindwa nn na base aliyo nayo? (Ndani na nje ya nchi?)
 
Hata Yesu hakutenda kosa ila alihesabiwa kuwa na makosa
Bado alinyenyekea.

#HEKIMA[emoji120]
 
Japo Mwingira alikuwa Mwinjilisti wa KKKT Sidhani kama bado ni jambo rahisi kihivyo kea mchungaji Kimaro kutoboa na Kanisa binafsi

Hawezi shindwa, Kimaro yuko stage ya juu, so akipitisha michango, within a month anajenga kanisa kubwa na waamini kibao wataenda na tatizo la watanzania wengi ni uoga, jua uoga wako ndio adui wako mkubwa kuliko chochote..

Ingekuwa mm, hapo hapo Kanisani, ningemwambia Malasusa, mmenionea sana sana na kuanzia leo hii, mm sio mchungaji wa KKKT, naomba nieleweke hivyo, na sitakubali mateso haya mnanifanyia, hii ingempa heshima kubwa sana Kimaro..

Binadamu mwenzako anakusulubu kisa anaonekana anawazidi umaarufu? Mm ningewapiga chini hao akina Malasusa hapo hapo na kuwageuka na kuachana na KKKT nasema ukweli kwa 100%.. Huu upuuzi kabisa

Kimaro ajenge kanisa lake, anaweza kwa 100%, narudia uoga wako ndio adui yako mkubwa wa maendeleo yako, sio wala watu, ni ww mwenyewe, ukijua unarudishwa nyuma na kunyanyaswa, piga moyo konde, achana nao, songa mbele, uoga ukatae kabisa, ni adui namba moja ya kila jambo duniani.
 
Mkuu, kwanza barua za makaripio ya kichungaji ni za siri zote, wao huonyana kwa siri.

Pili, Ibada ya leo Mchungaji Kimaro alifika kama muumini, hili nimelisema sijui ni kwanini imekuwa gumu wewe kuelewa na kukubali.

Ndio,nimesema ameomba radhi na yeye mwenyewe Mchungaji ndio anajua kwanini ameomba radhi kwa unyenyekevu.

Kuomba radhi ni hiyari yake, angeweza kutumia hiyo likizo yake na kisha kuripoti alipotakiwa kuripoti. Kuomba radhi huku akiendelea na likizo, hiyo ni busara yake yeye.

Unasema aliwakosea waumini wa kijitonyama? Mchungaji Kimaro ni mchungaji wa Lutheran, anaweza kutumwa popote kuhubiri injili. Yeye hakuwa mchungaji wa Kijitonyama pekee. Akikosea anakosea KKKT nzima.
 
Sasa unafiki wa wakristo wewe unakuumiza nini? Maana kama na wewe ni mkristo basi ni mnafiki mwenzao, lakini kama wewe ni muislamu, acha wanafiki wanafikiane wenyewe..!! Maana hakuna mahala unafiki wa wakristo unawaharibu waislamu kwenye hili..!!
Huyo mchungaji alisema vijana wa kiislam ni waaminifu kuliko wakristo,
 
Nawe uzushi wako huu mauwongo uwongo uyarudishe huko kwenye vilabu vyako vya pombe. Hauoni hata aibu kila jambo ushabiki wa kijinga uliojaa uwongo unapata faida gani. Mpuuzi kweli.
 
Mungu atamlipia..

Kimara ana busara sana.
Ameamua kukubali kosa pasipo na kosa.


Uwezo wa kujenga Kanisa lake alikuwa nao lakini ameamua kumsikiliza Mungu na kubaki hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…