commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
Unaujua msongo rasmi ulionao,wewe endelea kupambana na hali yako!Vyeti feki vimetokea wapi? Au ndio yale ya mtu ana PhD lakini hawezi kuongea au kuandika sentensi ya kiingereza, na maprofesa waliomsaidia kuandika thesis wote akawapa byeo?
Mwisho wa siku utainhia kulala,na lazima utafute kula ya wanao kama unao!
Ya Marehemu yaliisha!
Na familia inaendelea na maisha yao vizuri,hana vijana vilaza!
Ndio maana unamuona mama Samkara na watoto wa Sankara wakiwa kwenye Professional zao!
Hawataki siasa wala uchawa!