Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Mungu Mwenyewe Ameingilia kati Baada ya Maombi ya Mtumishi Kimaro na Waumini Kumlilia Yesu Mwenyr Kanisa Lake![emoji123][emoji106]
 
Unajua heshima yako JF ni kubwa, ukianza kuandika hovyo hovyo kama majibu haya, you are ruining your well built credibility on JF!
ni mfano tu, anaweza pangiwa pahala popote lakini pia anaweza rudishwa KIJITONYAMA;
So long as ni muajiriwa wa KKKT basi tutegemee lolote, lakini kwa ushauri , wampangie tu kwengine, sometimes inaweza mjengea mtu kiburi, sometimes.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Kanyooka karudi kuomba msamaha,hakuna mkubwa zaidi ya Taasisi dadeki hahahah.mbona hakuanzisha kabisa lake? Samaki ana Kasi akiwa majini tu,ukimtoa nchi kavu kwisha habari yake.Na akae kwa kutulia sasa,Wala wasimpe cheo Tena hapo kanisani,au wamemwamishia kinyerezi nini?
 
Kinyerezi amealikwa tu kwenye ibada ndio akakutana na msamaha wa MALASUSA.
 
Atapangiwa Kituo kipya
ana kipaji cha kupendwa naturally, na huko atawavuta waumini kumpenda na kummwagia mihela ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ na kuahatarisha uaskofu wa malasusa kwenye uchaguzi huru na haki ambao haujasimamiwa na CCM/tume ya uchaguzi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
tumeshaambiwa amesema mwenyewe ni yale mahubiri ya kusema vijana waislam ni waaminifu kutuzidi
 
Yeye anapenda Kijitonyama kwa sababu mko Wengi mle meku!
 
Yeye anapenda Kijitonyama kwa sababu mko Wengi mle meku!
Hujui lolote:
Alikuwa KKKT KARIAKOO , kipindi kaingia Kariakoo kanisa lilikuwa limeoza na hakuna washirika, hakuna vyombo wala kwaya, KIMARO kaleta yote hayo na kanisa likafurika Matajiri akina Kimario, Saba General, Mzee Mushi, Mzee Kessy yule wa Maduka ya vitenge na badhi ya wakinga, na watu walitoka mbezi na kibaha kuja kusali Kariakoo, WAKAMTOA na kumpekeka Kijitonyama, ndio akaanzisha MAHUBIRI KAMA YA YESU na kuachana na liturujia za mafarisayo na masadukayo ,dhahabu ukiificha hata kwenye tope ina angaza.
 
Kijitonyama wakati wa Mchungaji Hiza ndio Katibu mkuu wa CCM mzee Makamba alikuwa anakuja kuabudu na kuchukua ile mistari ya Biblia

Kijitonyama imejitambua kitambo sana kabla hawajahamia akina Macha!
 
WOKOVU umeingia KKKT, Baraza la MAFARISAYO na MASADUKAYO limesarenda, Mziki wa Yesu mwanadamu hauwezi , Bango la jana, magari yashawekwa chata na kanisa lilikuwa limebaki jengo bila washirika,
We nae ni mfuasi wake ?mfuateni hakuna aliyewazuia ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ