Acha kupotosha! Anaendelea na likizo yake ya siku 60 ili kuendelea kutafakari. Kwanini unakuwa na roho ya kiibilisi ya kushabikia migogoro ya kichungaji?Hizo siasa zako peleka huko na si kanisani. Acha kanisa lifuate taratibu zake.Malasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
Malasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
😂😂😂Asante Mtumishi Andendekisye Mwambapa
Ukabila umeingia kwenye hiliDo! umeandika kishabiki sana labda mimi sijakuelewa
😅😅Mie siyo mluther,mie ni Mkatoliki,hawa waluther and the likes ni matawi ya katoliki,tunayacheck na kuyabalance ili kuwepo na stability pia katika RC 🙏Asante Mtumishi Andendekisye Mwambapa
Kosa lake kubwa lilikuwa ni nini?Kimaro atarudi lakini sio kama yule wa mwanzo. Safari hii atakua makini na mnyenyekevu kama mlamba asali
ingekuwa kwa Wakatoliki kwanza wangeondoa mapadre wote na huduma zote za kichungaji kisa kuandamana na huyo padre angehamishwa kabisa hapoSa itakuwaje kwa wale wa TUNAMTAKAAA...!!! MCHUNGAJI WETU? Nao wataomba msamaha?
45%Sasa umeelewa bwashee 😄😄
Daah kumbe hujui kwamba!;Hayo ni Matokeo ya Maombi ya Mtumishi wa Mungu na Waumini Kumlilia Yesu Mwenye Kanisa lake Amebidua Meza kama Alivyo bidua Meza Hekalunj![emoji123][emoji106]Acha chuki na upumbavu kushadadia mambo ya Mungu mwenye upendo na mwenye msamaha usiomithirika,
Msamaha wake Mungu ni mfano wa mtoto mdogo ukimchapa ndani ya hilo lisaa amesahau fimbo zote na kuambatana na mtoa adhabu!
Mungu siyo mwanadamu kama wewe mwenye chuki na majivuni pia kijicho!
Mungu alimsamehe Paulo aliyechinja mamia elfu ya wafuasi wa Yesu, sembuse kimaro na Makonda?
Nitajie ni kosa lipi kwa Mungu asilolisamehe ukimrudia kwa toba?
chuki yako na ufe nayo
Mungu angikuwa ni Mchaga, msukuma angefanya nini?
JE kama angekuwa Msukuma? Wazaramo wangefanya nini? Na Mungu angelikuwa wa wenye pesa tu, masikini wangiliishije?
Mungu yeye ni Mungu tu, ni Mungu wa wote wenye mwili, mawazo yake hayachunguziki,
YANAFANYIKA LAKINI KIMYA KIMYA NA WAKATI WA UHAMISHO WA JUMLA WA KILA MWAKAingekuwa kwa Wakatoliki kwanza wangeondoa mapadre wote na huduma zote za kichungaji kisa kuandamana na huyo padre angehamishwa kabisa hapo
Kosa lake kubwa lilikuwa ni nini?
na siku 90 alizopewa ndio kwanza zimefika nusuWakristo waache unafiki, msamaha kwani alikosa? Alipewa likizo na kuripoti makato makuu Sasa wapi hapo inaonesha alikosea, kama walikoseana sirini iweje Leo msamaha uwekwe hadharani?
Akina Chinembe,sasa mmetoka kwenye siasa na sasa mpo kwenye mambo ya dini au ndio mmegeuza siasa na dini kuwa kachumbari🤔Malasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
Nimecheka sana aiseeKuwa maarufu kuliko Boss wake
Kimaro atarudi lakini sio kama yule wa mwanzo. Safari hii atakua makini na mnyenyekevu kama mlamba asali
Ni Siku 60 siyo 90na siku 90 alizopewa ndio kwanza zimefika nusu
Nauliza tu ,kwani chawa mmeamua kufanya siasa na dini kuwa kachumbari 🤔 ,au?Ukabila umeingia kwenye hili
USSR