ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

Naunga mkono hoja! Serikali ikodishe mashirika hayo kwa wenye uwezo!
 
NI swala la Muda tuu,,hayo mashirika yote wawekezaji wa "¥¥" wameshapewa zabuni ya kuyaendesha###Tutulie###
 
FaizaFoxy yuko sahihi kwenye hili.

Wapewe watu wenye uwezo na wanaojua kufanya biashara. Kama kuna mtanzania ana track record hiyo apewe aongoze hayo mashirika badala ya kuangalia ukada wake. Unampa mtu ambae alikuwa Mkurugenzi wa Wilaya kuendesha shirika la kibiashara halafu unategemea maujiza. Unampa mtu kuendesha shirika kubwa kama Tanesco ambae hana uzoefu wowote ya uongozi katika sekta ya nishati ya kibiashara.

Na mbaya zaidi ni kuwa unakuta wana siasa ndio wanakuwa na executive power katika hayo mashirika. Waziri wanakuwaje msemaji mkuu wa mashirika kama Tanesco wakati Mtendaji Mkuu wake yupo? Au ATCL? Halafu tunashangaa yanapoendeshwa kwa hasara!

Amandla...
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
Hakuna siku SGR itakuja kupata faida hata wakipewa sekta binafsi Kwa sababu hakuna mzigo wa kubeba huko.

Subiria maumivu tuu ya mamuzi ya kishenzi.

Bora TAZARA Iko sehemu nzuri,China wataongeza connection kule kwenye migodi Zambia na DRC na kuifufua wa Trilioni 2.5 mda wowote kazi itaanza.

Walau TAZARA ndio wawekezaji wanaweza c
Wekeza Kwa faida.

ATCL Serikali iuze hisa haraka sana iwe na hisa kidogo lakini nyingi kama single owner yaani investor tofauti tofauti wawe na 60% na 40% ziwe za Serikali kama KQ labda tunaweza pata faida vinginevyo ni hasara Juu ya hasara.
 
Mzigo wa kubeba upo mwingi sana kama hiyo SGR hawatukuwa na usumbufu, wizi na upotezaji muda.
 
FaizaFoxy yuko sahihi kwenye hili.

Wapewe watu wenye uwezo na wanaojua kufanya biashara. Kama kuna mtanzania ana track record hiyo apewe aongoze hayo mashirika badala ya kuangalia ukada wake. Unampa mtu ambae alikuwa Mkurugenzi wa Wilaya kuendesha shirika la kibiashara halafu unategemea maujiza. Una mtu kuendesha shirika kubwa kama Tanesco ambae hana uzoefu wowote ya uongozi katika sekta ya nishati ya kibiashara.

Na mbaya zaidi ni kuwa unakuta wana siasa ndio wanakuwa na executive power katika hayo mashirika. Waziri wanakuwaje msemaji mkuu wa mashirika kama Tanesco wakati Mtendaji Mkuu wake yupo? Au ATCL? Halafu tunashangaa yanapoendeshwa kwa hasara!

Amandla...
Naunga mkono hoja
Kwani pesa zitabaki humu humu
 
Mzigo wa kubeba upo mwingi sana kama hiyo SGR hawatukuwa na usumbufu, wizi na upotezaji muda.
Wewe Kwa akili Yako unategemea hayo kukisekana kwenye public institution? DART inapata faida?

Mwisho,Kwa taarifa Yako tuu reli haiwezi pata faida Kwa kutegemea abiria tofauti na mzigo.

Na Kwa position ya Mwanza unadhani Kila kitu wanafuata au kuuza Dar wakati wako jirani na Uganda,Kenya na Nchi nyingine?

Masisitiza hakuna mzigo wa kuleta faida kwenye Sgr ,elewa Hilo maana 70% ya mzigo wa Dar Port unaenda DRC na Zambia ,1.5mln Rwanda Sasa huko Mwanza na Kigoma Kuna kipi Cha kubeba?

Yaani badala ya kufanya upembuzi yakinifu wa kibiashara nyie mlikuwa mnafanya maamuzi ya kujenga sgr Kwa hisia,ngoja muone moto kwanza ndio akili zitawajia.
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
cc Pascal Mayalla Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
Mapema sana kabla vitu hivyo havijafa!
 
Uko sahihi jinsi Watanzania na serikali ilicyo ni bora utaratibu ukafanyika hivyo maana huko mbeleni itakuwa majanga serikali haina ufanisi wa kuendesha shirika lofoten la biashara na likapata na likatoa huduma kwa viwango ni bora kuwahi sasahivi tumeona mwendokasi, Tazara, TTCL, shirika la ndege nk kote ni madudu hakuna nafuu. Bora kuyawahi kabla mambo hayajaharibika serikali haitaweza kuendesha
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?

Inayoshindwa ni Serikali, siyo watanzania.

Serikalini, hasa wafanya maamuzi, tumejaza watu duni, ndio wanaosababisha serikali, mashirika ya umma na taasisi zake zote kufanya hovyo.

Wapo Watanzania, pamoja na kuwepo kwa sera hovyo za kusimamia uchumi zilizowekwa na hao wajinga waliopo Serikalini, bado wameweza kufanya vizuri nchini, na wamewekeza mpaka nje ya nchi, na wanafanikiwa.

Mambo yote ya hovyo katika nchi hii kwenye uchumi na biashara yanasababishwa na uwezo duni wa waliopo Serikalini. Usione wanazunguka na maV8 humo barabarani, wengine na ving'ora juu, wengi wao, vichwani hamna kitu.
 
Kwahyo mwisho wa siku Mashirika ya umma yote tuyagawe na kuendeshwa na wengine ama ?
Mwisho wa siku mnasema TANESCO,DAWASCO,AICC,TANOIL nazo tuwaachie waziendeshe?

Kwanini tusiangalie mfumo mzuri wa uendeshaji wa mashirika haya,kujua wapi twakosea na wapi tufanye maboresho.
 
Wewe huna Akili ndio wewe unatafutwa umetoroka kule Milembe?
Wewe unataka mtu mwenye akili duni, teknolojia duni, mtaji hana, asimamie shirika kubwa?, halafu mwishowe aje na visingizio gazeti zima na bila aibu asichukuliwe hatua stahili,zama za upuuzi zimepita, Tanzania haitaweza endelea mbele kwa kazi ya kila siku ya kurekebisha makosa ya Ujinga yanayojirudia kila wakati, - - "fanya jambo maliza, Anza lingine! ""
 
Back
Top Bottom