Hayo mapungufu kuya-solve sio ya kupiga pesa ni kunufaisha jamii; na mengi yanafanywa na pesa za miradi ndio maana nikasema hata hapo nimeona chata ya mwekezaji ambaye ni milk for profit (kwahio nadhani hapo ni kunufaisha watu kwa njia ya kipato)Yaani hayo mapungufu yoooote unayoyaona kwanini wewe usi-take chance ukapiga hela/ukanufaisha jamii kutokana na mapungufu ya project hio?
Talk is cheap mkuu.
Pelekeni huko kwenu chato na ushi rombo sasa, hizo AUTOMATIC TAKE MILK - ATMDuh kasheshe! Nini mrefu cha ATM? Wenye lugha yao kwenye nchi zao wanaziita vending machines. Kuna za coca, Pepsi na snacks kama chips nyembamba na chocolate.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi mtaa wa chaga karibu na soko la kati
ATM hii ina uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha. Unaweza pata kuanzia Tsh 50, 100, 400, 600, 1000, 2000, na kuendelea.
Karibuni mnywe maziwa.
View attachment 1222866View attachment 1222867View attachment 1222868View attachment 1222869View attachment 1222870View attachment 1222872View attachment 1222873
ttps://wateractionhub.org/media/files/2018/08/22/Mnini_water_project_incl_appendix.pdfAliyekwambia Moshi wana tatizo la maji safi na salama ni nani??!...maendeleo huwa sio sawa sehemu zote na ndio maana we una simu ya smartphone ila kuna watu wanalala nje. Huwezi sema tusiwe na hiyo smartphone mpaka watu wote wajengewe Nyumba. Kila mtu na kila sehemu ina mahitaji tofauti tofauti
Coca Cola ile haikuwa biashara bali ni promotion kwahio ilifanya kazi yake.., hata wewe kujua kilichofanyika ni kwamba promotion ilifanyikaHiyo biashara itajifia kama ile ya cocacola ya kuandika majina kwenye chupa.
Kwaaa kwaa kwakwaaaaaaaaa, haki u made my day! watu chuki zinawasumbua mtu akiweza kufanya jambo ambalo mwengine hawezi wala kulifikiria kulifanya anapaswa apongenzweHata wakifeli watakua walithubutu na wataingia kwny records za 'ATM' ya kwanza ya Maziwa Tz wkt ambapo mikoa mingine nchini walikua ndo kwanza wakihimizana umuhimu wa kutumia vyoo.
yaani wewe ndo mjinga tena unaweza kutuambukiza humu, kunywa maziwa ni ufahari? huko shinyanga maziwa wanasongea ugali mbona watu hawafikirii hayo, wachaga wanajua kujiongeza na kubuni mbinu za kujikwamua kila kukicha, endeleeni na campaign za kujenga vyoo huko walishatokaga kitambo sanaaaa, wachaga hoyeeeeeeeeeeeeAcha ujinga hicho ni chakula cha binadamu wanaoweka upupu kwenye maji vyoo vya umma wanatoka mwenzini? Huo mradi ni wa ufahari ila hauna umuhimu wowote.
ATM maana yake ni Agiza Tu MaziwaWachaga mnakwama wapi? Hivi ATM maanaake Nini? Napita tuu lakini mmekuwa wakinga na nyie
Huko gamboshi elimu ilichelewa,mtu anazaa watoto kumi ili apate nguvu kazi ya kuchunga ngombe,what do you expect?Tupeni siri basi, wenzenu huku kwetu ni GAMBOSH, chuki za kichama, kumbe ndio maana watu huwa wanawasema vibaya, leo nimejua aisee.
natamani niozeshe binti yangu huko kwenu , kanamalizia chuo hapo SUA Morogozro,
unajua ukisema binti yako anaolewa na mchagaa kitu cha kwanza watu watakupongeza na kukwambia atakuwa na maendeleo
Kipi Cha uongo mkuu nilichoandika? Ni Nan asiyejua uchapakazi wa watu wa mkoa huo? Kuna sehemu tz utawakosa? Kuna ofisi yoyote utawakosa? Pia fuatilia takwimu za kiuchumi kilimanjaro watu wake 90% wanaishi maisha BoraHapa ndipo mnaharibu sasa!
Hahaha kule kwa kina mutalemwa wanajidai wamesoma wakati hata matumiz ya vyoo lazma kampeni,kutahiriwa kampeni ndio unajiuliza hyo elimu Ni elimu gan waliosona?Hata wakifeli watakua walithubutu na wataingia kwny records za 'ATM' ya kwanza ya Maziwa Tz wkt ambapo mikoa mingine nchini walikua ndo kwanza wakihimizana umuhimu wa kutumia vyoo.
Wapare ndio wapo hiyo 10% , wanakumbatia JINI lililowatawala miaka 40, toka 1977Kipi Cha uongo mkuu nilichoandika? Ni Nan asiyejua uchapakazi wa watu wa mkoa huo? Kuna sehemu tz utawakosa? Kuna ofisi yoyote utawakosa? Pia fuatilia takwimu za kiuchumi kilimanjaro watu wake 90% wanaishi maisha Bora
Lazma tuwape sifa stahiki
Yaah wale kina rutaHuku wengine wanalilia wajengewe stendi wenzao mbele Kwa mbele
Hapa kazi tu
Nyie mna ubunifu huo? Vyoo tu hadi mletewe kampeni sembuse Mambo ya kiteknolojia?Maendeleo gani hayo ya kipuuzi huko uchagani,hii ilitakiwa ifungwe mwanza bhana kwanza ndiko kwenye maziwa ya kutosha...!/mmefungiwa na wazungu au wakina nani?
Hahaha naona unataka ngumi kutoka kwa kina mutalemwaHongera kwa uthubutu wao,wakati huko Moshi wanazindua ATM ya Maziwa,kwingine kunamasishwa nyumba ni choo.Na tofauti ya maendeleo inanzia hapo.Hongereni sana Moshi.