Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo


Haya ndio madhara ya kuamka na pombe kichwani asubuhi. Hujui hata unaongea nini! Kunywa maziwa upate akili. Black pope ndio nani? Afu usituchanganyie mada na chuki zako za kidini.
 
Dawa ni kila kigango cha jimbo hili kitoe waumini ijumaa hii maandamano mpk Kawe kwa huyu Gwajima afute kauli take ama la wawasaidie watu Wa kawe kuondosha hilo kanisa
 
Tena ahame .....lile sio kanisa ni mob tu ya wahuni fulani.

Maandiko yanasema usihukumu na wewe usije kuhukumiwa yeye anahukumu amekuwa Mungu....? Pengo kusema Waumini wapige kura kulingana na utashi wao amekosema wapi wapewe uhuru....
 
Unafikiri hapo ulipo unaakili timamu..??

Ni wapi Pengo kasema watu wapige kura ya Ndiyo....Hii mihemko mliyokuwa nayo kurukia mambo bila kusoma na kuelewa ni hatari mno..
 
Asante Gwajma nabii wa bwana, hakika we ni mtumishi kwel unayesimamia haki, kuanzia jumapili ijayo nitaanza rasmi kusali kanisani kwako maana nimeamini hapo upo utikufu mkubwa na nguvu za bwana,
Hivi umejibu lile swali langu...??
 
Kwa matusi haya ya Gwajima mazuzu watashangilia. Ila wenye hekima watajifunza kitu. Gwajima amejionesha nakujidhihirisha wazi kwa matusi yake aina ya Roho anayemtumikia. Unatukana matusi kisha unamshusha Roho mtakatifu? Kweli dunia inafika mwisho!
 
Duu huyu ni mwehu si mchungaji! Naomba Pengo asimjibu amsamehe ni wazi dish limeyumba hakika.

Ngwajima ni mgonjwa hakika

Mkuu hata usinge mwambia,Pengo hawezi kujibizana na huyu mwendawazimu, watu wame sikia alicho sema pengo, yeye amesema tusome tuelewe than tuchague wenyewe kusema yes or no!!. Huyu chizi gwajima anatafuta sifa za kijinga tu, hana adabu.
 
Mtoa mada unaanzisha vuguvugu la kidini ili iweje? Kwa kiongozi wa kanisa akipotoka hasahihishwi? Tafadhali sana, call spade a spade- not a big spoon!!!

Unamsahihisha kwa kumtukana na kutukana wakulima ambao ndo wanalisha nchi hii??

Have you contamplate your thought before posting here..??

Pathetic fool
 
Sehemu ya mahubiri ya Mwadhama Kardinali Pengo:

Mkuu Maboso mimi nadhani Mwadhama Polycarp mahubiri yake baadhi ya Waumini (nikiwemo na mimi) tumeyachukulia kwa mashaka kidogo kwa maana hii,kama swala lilikuwa ni kufikisha ujumbe wa kuwaacha Waumini wajiamulie wenyewe akiwa na maana ya kupingana na Tamko la Maaskofu wenzie,alipaswa kwa kipimo hicho hicho kuiambia pia Serikali iache kuwaambia watu kuipigia kura ya NDIYO maana huko pia ni kuwalazimisha watu,hapo ndio angeonekana kweli yuko Neutral,lakini kutaka kuwaziba midomo Maaskofu na wakati huo huo akikaa kimya kwa upande wa Serikali it was a big mistake na ndiyo imepelekea Wahuni kama kina Gwajima kuja na upuuzi kama huu.
 
Last edited by a moderator:
busara na hekima ni vitu vinavyotakiwa sana hasa kwa viongozi wa dini kwa maneno aliyoyasema gwagima na yeye amekosa busara kabisaaaa kiongozi wa dini huwezi ongea vile kwa kweli mi naona amekosea
 

Ila Serikali ina mamlaka ya kuwaamulia Wananchi wake kuipigia kura ya NDIYO?
 
Gwajima Kwanini hukuogopa?1SAMWELI1:14-16
Daudi akamwambia, Jinsi gani hukuogopa kuunyosha mkono wako umwangamize masihi wa BWANA? Ndipo Daudi akamwita mmoja wa vijana, akamwambia, Mwendee, ukamwangukie. Basi akampiga hata akafa. Daudi akamwambia, Damu yako na iwe juu ya kichwa chako mwenyewe; maana umejishuhudia nafsi yako ukisema, Nimemwua masihi wa Bwana.

Kwa desturi wayahudi mtu awezi kuitwa masihi hadi amwagiwe mafuta na ndiomaana walimkataa Yesu kwasababu alijiita Kristo “masihi wa Bwana” uungu wa Mungu juu ya mwadamu mwanadamu anakuwa ana vipande viwili uwanadamu wake na uungu ulioko ndani yake, kwenye agano la kale mtu alitakiwa amwagiwe mafuta ndipo aitwe “masihi wa Bwana” na kwenye agano jipya mtu mpaka ajazwe Roho mtakatifu na Yesu alipobatizwa lilishuka wingu zito kutoka juu na sauti ikasikika na kitendo hicho ni kumwagiwa roho mtakatifu kwa namna ya rohoni.

Huyu kijana alipo muua sauli alienda kwa Daudi akiwa na furaha kwamba alimuulia adui wake lakini Daudi akamuua kwasababu alimuua masihi wa Bwana. Sauli alikuwa amerudi nyuma lakini Mungu alimuona kama masihi wake na Daudi naye alilifahamu hilo. Sauli hakuuwawa na yule kijana bali alitaka sifa ili Daudi ampongeze na asheherekee lakini alimkuta amekwisha kufa.

Zaburi105:15
Kama kinywa chako kinawasema vibaya masihi wa Bwana utapata laana sio vizuri.

Dada yake na Musa alikuwa anaitwa Miriam alishughulika kwenye kumficha Musa.

Hasabu12:1-
Kisha Miriamu na Haruni wakamnenea Musa kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa; maana, alikuwa amemwoa mwanamke Mkushi. Wakasema, Je! Ni kweli Bwana amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? Bwana akasikia maneno yao. Basi huyo mtu, huyo Musa, alikuwa mpole sana zaidi ya wanadamu wote waliokuwa juu ya uso wa nchi. Bwana akanena ghafula na Musa, na Haruni na Miriamu, na kuwaambia, Tokeni nje ninyi watatu, mwende hemani mwa kukutania. Basi hao watatu wakatoka nje. Bwana akashuka katika nguzo ya wingu akasimama pale mlangoni pa Hema, akawaita Haruni na Miriamu, nao wakatoka nje wote wawili.Kisha akawaambia,Sikizeni basi maneno yangu;Akiwapo nabii kati yenu,Mimi,Bwana,nitajifunua kwake katika maono,Nitasema naye katika ndoto. Sivyo ilivyo kwa mtumishi wangu, Musa; Yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote; Kwake nitanena mdomo kwa mdomo, Maana, waziwazi wala si kwa mafumbo; Na umbo la Bwana yeye ataliona. Mbona basi ninyi hamkuogopa Kumnenea mtumishi wangu, huyo Musa? Hasira za Bwana zikawaka juu yao; naye akaenda zake. Kisha hilo wingu likaondoka kutoka pale juu ya hema; na tazama, Miriamu akawa mwenye ukoma, mweupe kama theluji; Haruni akamwangalia Miriamu, na tazama, yu mwenye ukoma. Kisha Haruni akamwambia Musa, Ee bwana wangu nakusihi sana usituwekee dhambi juu yetu, kwa kuwa tumefanya ya upumbavu, na kufanya dhambi. Nakusihi, asiwe kama mmoja aliyekufa, ambaye nyama ya mwili wake nusu imelika hapo atokapo tumbo la mama yake. Hasira za Bwana zikawaka juu yao; naye akaenda zake. Kisha hilo wingu likaondoka kutoka pale juu ya hema; na tazama, Miriamu akawa mwenye ukoma, mweupe kama theluji; Haruni akamwangalia Miriamu, na tazama, yu mwenye ukoma. Kisha Haruni akamwambia Musa, Ee bwana wangu nakusihi sana usituwekee dhambi juu yetu, kwa kuwa tumefanya ya upumbavu, na kufanya dhambi. Nakusihi, asiwe kama mmoja aliyekufa, ambaye nyama ya mwili wake nusu imelika hapo atokapo tumbo la mama yake. Musa akamlilia Bwana, akasema, Mpoze, Ee Mungu, nakusihi sana. Bwana akamwambia Musa, Je! Kama baba yake angalimtemea mate usoni tu, hangaliona aibu muda wa siku saba? Na afungwe nje ya kambi muda wa siku saba, kisha baada ya hayo ataletwa ndani tena. Basi Miriamu alifungwa nje ya kambi muda wa siku saba; wala watu hawakusafiri hata Miriamu alipoletwa ndani tena. Baada ya hayo watu wakasafiri kutoka Haserothi, wakapanga kambi katika nyika ya Parani.

“Watu hawawi watumishi wa Mungu kwasababu wametaka bali ni kwasababu Mungu amewachagua wawe” wakati mwingine safari ya kiroho ya mtu inaweza kukwama kwasababu ya kuwasema watumishi wa Bwana.

Gwajima twakubalina na mengi lakini kwa hili umechemka ndo maana hata kuna wakati unawalazimisha watu kupiga makofi,umesahau kuwa makofi ni hiari ya mtu na hutolewa kama zawadi tena kwa moyo wa kupenda Bwana akurudie katika hili

Yawezekana kweli Pengo amekosea kama Mfalme sauli alivyokosea lakini kwani hukufanya kama Daudi?Kwanini hukuogopa ee Gajima usiye na akili ni nani aliyekuloga?

Gwjima umesahau kuwa Pengo uliyediriki kumwita mpumbavu mmoja ni Baba wa Watoto wengi na ambao wengi wao ndio wanaotoa fungu la kumi kanisani kwako na kukufanya ndani mwako izaliwe jeuri ya kiwango hicho?ikowapi hekima yako?upo wapi uvumilivu wako?ahaaa Gwajima umesahau kwamba sote tu viongo katika mwili wa Kristo?tena umesahau kuwa imeandikwa mtu akikosea mrejesheni kwa upendo na upole?

Imeniuma kwa sababu nakuamini na nimekuwa nikiwapa sana watu habari zako na jinsi unavyoutumika kueneza Ufalme wa Kristo Duniani lakini imekuwa kinyume chake baada ya wao kupata clip hii ya kwako wamenidharau na kunitukana

Asante kwakunilipa mabaya
 
Uzuri wa alichokisema ni kwamba kitasaidia watu waanze kuongelea swala la katiba upya. Tunaitaji mjadala uendelee kuhusu katiba ya chenge vs katiba ya warioba
 
Ila Serikali ina mamlaka ya kuwaamulia Wananchi wake kuipigia kura ya NDIYO?

Kwa serikali inayofuata demokrasia, mamlaka yake ni kuhakikisha wananchi wanapata access ya kuisoma Katiba pendekezwa na kuielewa, kisha maamuzi ya kura ni wananchi wenyewe bila kushinikizwa. Lakini ndugu yangu Nyamizi, nchi yetu hii imetawaliwa na siasa za kulinda maslahi binafsi ndio maana mambo mengi yanakwenda hovyo hovyo.
 
Last edited by a moderator:
Dawa ni kila kigango cha jimbo hili kitoe waumini ijumaa hii maandamano mpk Kawe kwa huyu Gwajima afute kauli take ama la wawasaidie watu Wa kawe kuondosha hilo kanisa

kanisa lenyewe lipo eneo la NHC
 
Unafikiri hapo ulipo unaakili timamu..??

Ni wapi Pengo kasema watu wapige kura ya Ndiyo....Hii mihemko mliyokuwa nayo kurukia mambo bila kusoma na kuelewa ni hatari mno..

mkuu hii thread imenifanya nione watu wengi ni watupu kichwani.
 
Dawa ni kila kigango cha jimbo hili kitoe waumini ijumaa hii maandamano mpk Kawe kwa huyu Gwajima afute kauli take ama la wawasaidie watu Wa kawe kuondosha hilo kanisa

Ilitakiwa wakatoliki wote wenye mapenzi mema na Pengo waandamane hadi kwake anaposalia gwajima kupinga kitendo cha kumtukana kiongozi wao.Pengo hakumwambia yeyote apige kura ya ndiyio au hapana kasema mtu awe huru.Hajamtukana Gwajima kisa cha Gwajima kuanza kumtukana ni nini?

Kama GWAJIMA anajitia jasiri kuna masheikh wametoa tamko kama alilotoa Pengo awatukane kama alivyotukana pengo aone Muziki utakaofuata toka kwa waislamu.Mwambieni kama yeye jasiri haogopi mtu amtukane kiongozi yeyote wa kiislamu awe wa BAKWATA au sio wa BAKWATA akione cha mtema kuni.

Wakatoliki kukubali kiongozi wenu kutukanwa vile na GWAJIMA mmeonyesha udhaifu mkubwa mno.Na nadhani katukana kusudi akijua kanisa katoliki la sasa ni la watu dhaifu wasio na mshikamano na wasioweza mfanya chochote.Natamani angetukana waislamu saa hii angekuwa ICU au mortuary.
 

Atawaambia vipi Waislam kwani walikuwa kwenye makubaliano?! Mbona kipindi kile alisema maneno kuhusiana na yule CAG mpya lakini hakuna kitu chochote kilichoendelea kuhusiana na ile issue ya kujengewa msikiti?!

mbona hakukuwa na reaction yoyote?!
 
Mbona kipindi kile alisema maneno kuhusiana na yule CAG mpya lakini hakuna kitu chochote kilichoendelea kuhusiana na ile issue ya kujengewa msikiti?!
mbona hakukuwa na reaction yoyote?!

CAG sio kiongozi wa waislamu ni mwislamu muumini wa kawaida.Atukane Mufti au sheikh kiongozi yeyote uone mziki wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…