Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

Nikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
Vijana waliniuma sana. Kama yule mmoja anaomba msamaha lakini wanammiminia shaba tu.

Inasikitisha
 
Nikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
Hawa mmbwa wauliwe tu...
 
Kuna mlipuko umetokea huko Iran muda mchache ulopita
 
IDF spokesman:

ALL RESIDENTS OF GAZA CITY MUST EVACUATE IMMEDIATELY!
 
Duuh mambo nimengi ngoja tuone mambo yatakavyokuwa
 
Israel?

Hawajawahi kujua thamani ya kuishi, wamezaliwa mvita wanaishi vita na hawataacha kumpiga kila adui yao na maisha yao siku zote ni ushindi, ukibahatika umewashinda, ni kwa muda tu, watajipanga tena na tena mpaka washinde

Hao ndiyo Wayahudi, Farao anawajua vema
 
Ukiona hivyo ujue bado Myahudi ana mapandikizi yake mengi tu hapo ukobazini
 
Kipindi unaropoka hivyo kumbuka chanzo ni Israel hao hao walianzisha vurugu.
Wewe kuunga kwako mkono hakuondoi ukweli kuwa Hamas walikua wakipambania ardhi yao.
Matakwa ama shauku zako binafsi ni nonsense.
Mi shabiki wa Iran ila aliniudhi kukubali cease fire. Ilitakiwa apige haswa maana adui alikuwa amezidiwa. Sasa amejipanga haswa. Iran inaweza kuanguka. Ngoja tuone
 
Myahudi atakuwa kaambiwa na Trump yule kibabu Ayatollah hana shukrani nendeni mkamuue kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…