Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

Walikufa wakiwa wapi?
Walikwenda Israel kwa mafunzo zaidi ya kilimo, walipelekwa na serikali ya Jamuhuri ya muungano ya Tanzania.
Sipendi hi vita itokee tena cause itatuathiri hata sie tusiohusika lakini ukweli utabaki, vita hi ya mashariki ya kati ilioanza mwaka juzi, aliyesababisha ni Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran. Iran ndio shida pale middle east, walikua wakiishi kwa amani sana hadi October 07, 2023
 
shida ni kwamba ayatollah hana shukrani ametetea na Trump asiuliwe na Israel anajisifu ameshinda vita
 
Kipindi unaropoka hivyo kumbuka chanzo ni Israel hao hao walianzisha vurugu.
Wewe kuunga kwako mkono hakuondoi ukweli kuwa Hamas walikua wakipambania ardhi yao.
Matakwa ama shauku zako binafsi ni nonsense.
hata kama wanapambania ardhi yao wale vijana wakitanzania waliwakosea Nini?wewe mfia dini naona dini imekupofua
 
Israel hakubali kushindwa laxima wiki hii wapasuane tena!
 
Vijana waliniuma sana. Kama yule mmoja anaomba msamaha lakini wanammiminia shaba tu.

Inasikitisha
Ndio maana nikisikia magaidi wameangamizwa huko ghaza nafarijika kuona damu ya Watanzania wenzetu ikilipwa.
 
Iran alifanya kosa kusimamisha vita hawa USA na Israel walikuwa wameisha zidiwa, sa wameisha mpelekea silaha Israel za kutosha watamuambia anzisha tena vita. Trump ni muongo sana hawezi kuwa upande wa Iran hata siku moja ana damu ya Kiyahudi yule.
 
Iran alifanya kosa kusimamisha vita hawa USA na Israel walikuwa wameisha zidiwa, sa wameisha mpelejea silaha Usrael za kutosha watamuambia anzisha tena vita. Trump ni muongo sana hawezi kuwa upande wa Iran hata siku moja aba damu ya Kiyahudi yule.
Utakuwa na kichaa sio bure yaani USA azidiwe na Iran? Punguzeni mihemko ya kijinga tumieni akili hata za kuvukia barabara...
 
Never..kwanza hiyo kambi ya magharibi nguvu zimepungua, Putin anazidi kuibeba ukraine,kishachukua mgodi wa pili Kati ya minne ya madini adimu, wakati huohuo ukraine ana upungufu wa askari
sio sababu ya kushindwa kubondwa urusi
 
Duh kwa hio mambo yote yameanza October 7 kumbe?
 
Utakuwa na kichaa sio bure yaani USA azidiwe na Iran? Punguzeni mihemko ya kijinga tumieni akili hata za kuvukia barabara...
Sasa hapa mwenye kichaa ni nani?
Kwa kitendo cha kubishana na ukweli
Hukumbuki trump alikua anataka Iran ijisalimishe Iran ikagoma akaona isiwe tabu nishazidiwa
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 24
They never forget, they never forgive, they never regret.
Wayaudi watu wa visasi sana. Asipokushughulikia leo, basi Muda mwingine usiotabirika atakushughulikia Tu.
 
Tangu lini kuna amani middle east?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…