The branding
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 269
- 368
Uislam usiondoe utanzania, hao kisa wameuawa na magaidi ya Kiislam then unaona ni sawa tuu. Hao walienda Israel kusoma. By the way, Hakuna nchi inaitwa Palestina as of now.Shida kubwa uwezo wa kufikiri Ulokole sawa na nusu mento
1Embu nijibu wa Tanzania walienda Palestina au Israel ??
mwenye dhamana ya Usalama wao awa wa Tanzania ni nani Palestina au Usrael ??
kwaiyo ninani tulitakiwa kumdai awa ndugu zetu ??
Kwaiyo tunapaswa kudai wapi ndugu zetu???Uislam usiondoe utanzania, hao kisa wameuawa na magaidi ya Kiislam then unaona ni sawa tuu. Hao walienda Israel kusoma. By the way, Hakuna nchi inaitwa Palestina as of now.
Nyie ndio wale misukule ya Marekani na Uingereza mnaolishwa matango poriNikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
Houthi wataingiaje israel kwa maana Yemen ipo mbali sana na IsraelSafari kutakua na kuingiana maungoni, houthi, hizbullah huenda wakaingia israel
Karibu sana hapo,hawavai gwanda wakati wa kwenda,pia wanaweza enda Iran,wakapitia Iraq, Syria ambako usalama hohehahe, Lebanon kwa hizbullah,kitu ndaniHouthi wataingiaje israel kwa maana Yemen ipo mbali sana na Israel
Unaambiwa Iran hakujatokea chochote.Kumbe hata ilemidege tuliyoambiwa imeenda Iran tumepigwa kamba! Mazayuni yamechapika na muajemi hayana hamu.Telaviv kama Gaza, wateule wakikimbia nchi ya ahadi
Hadi sasa Iran 10 - Israel 0Kwasasa tukisikia Houth wamepiga Israek ujue wanalenga iyo mizigo mjpya inayopelekwa !!
waisrael bado wanaondoka kwa wingi sana ikiwa Vita mpya itatokea kuna uwezekano Israel imeona ife na Iran..!!
mana Iran ndio mratibu wa mazishi ya nchi ya mchongo inayoitwa Israel mwaka huu yetu macho..
pia kunauwezekana Saudia Arabia Jordan na Bahrain UAE zikaanguka na mashariki ya kati inaenda kwenye Vita vyake vya kilele. MAREKANI inaenda kupotea upya eneo ilo...
Wewe bado mtoto huijui Israel na pia unadanganywa sana huko masjid.Safari kutakua na kuingiana maungoni, houthi, hizbullah huenda wakaingia israel
Wayahudi kama wapemba ukiangalia wao tuYahudi kihistoria ni manipulative! Sio kwa bahati mbaya jamii nyingi zilishindwa kuishi nao na kuamua kujaribu kuwamaliza!
Usiamini neno lolote la Yahudi! Ni hayawani wasiokuwa na daraja!
Hao US wanaotumikishwa sasa hivi kama punda siku itafika akili itawaingia!
Story zao wakisubiri kwenda nyumbani huku wakigida gahawa jioniWewe bado mtoto huijui Israel na pia unadanganywa sana huko masjid.
Wakasahau suala la utu....Kuna muda hizi ajali tunazopata TZ ni majibu tosha ya KarmaWagalatia na Wavaa kobazi wataanza kutujazia severs za JF kwa utumwa wa dini tulizoletewa kwa majahazi, duuuh 🙆
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
🤣🤣🤣 Israel si ni condom ya USA na ulaya magharibiWewe bado mtoto huijui Israel na pia unadanganywa sana huko masjid.
Saudia mbona karibu zaid kufika Israel..Karibu sana hapo,hawavai gwanda wakati wa kwenda,pia wanaweza enda Iran,wakapitia Iraq, Syria ambako usalama hohehahe, Lebanon kwa hizbullah,kitu ndani
Wanaweza pita piaSaudia mbona karibu zaid kufika Israel..
Ayatollah anaanbiwa toka shimoni huko vita nje imesitishwa haamini mpaka leo bado yuko mapangoni, anajirekodi na kurush viclip vyake vya kishujaa akiwa amejificha. Uhai sio mchezo.shida ni kwamba ayatollah hana shukrani ametetea na Trump asiuliwe na Israel anajisifu ameshinda vita