Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Uhuru wa kuongea unaheshimika na imani yako haiwezi kuwa standard ya maisha ya wengine! Tujifunze kuheshimu maisha na mawazo ya watu wengine tena wasiotuhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oyaaa...ukiambiwa uekti porno na hamisa na malaika cute...utamchgua nani ?Huyu bwege kweli million 30 zote hizo ila jamani tako la mobeto zuriii
I mean hata kama hatuna cha kujifunza tuheshimu maisha ya maamuzi yao wakati sisi tunafanya yetu sahihi tunavyoamini! Unaweza kuta mtu kaona sio akazae sisi wapita njia tunajuaje makubaliano yao? Hadi tuwahukumu kwa maneno makali namna hii? Sisi ni wasafi kiasi gani?Hivi mkuu kweli kuna la kujifunza kutoka kwa Aziz Ki?
Ilikua kidogo nioe singo maza😅kwasababu I am broke and wasichana wabichi wananitolea nje Ila Kila nikimtazama. Broo Salim kikeke Yan Sina Ata haraka tena
Dah ndikumana alikufa kwa msongo wa mawazo naskia.Aziz K ni simp,Aziz Ki namfananisha na mume wa Irine Uwoya,yule alikua mchezaji wa Burundi,Hamadi Ndikumana,.................dalili zote zinaonesha kinaenda kutokea kile kile.
Ameshindwa kuwaiga Alpha male kama wakina Sadio mane,christiano Ronaldo,wakina Hakim
Ok ameshindwa kuwaiga wenzake waliopita kwenye huo mtumbwi wakavuka wakaendelea na mambo mengine...........Simtabilii mabaya lakini kama ni kweli,anaenda kuliweka ndani jamvi la wageni,..........Muda utaenda kumuhukumu
We unayo?
Nashukuru mpaka sasa nimeweza kusimamia msimamo wa utulivuUlifanya uamuzi sahihi
Single mom sio mwanamke wa kufanya naye maisha kabisa ni takataka
Inatia kinyaa sana kuoa au kuishi na mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine
🤮🤮🤮
I mean hata kama hatuna cha kujifunza
Hoja ni maombi kwa Mwenyezi Mungu.Wewe umelala na wanawake wangapi? Kwahiyo ulitaka asiolewe? Na je angeolewa na mtu asiye na kitu ili mpate kumcheka vizuri? Je angelisema mdogo wako au dada yako? Huo wivu mwanamke tens mwenye watoto kaposwa million 30.
Wakati sisi tunakua ,msichana akizaa nje ya ndoa anatengwa na jamii.Ulifanya uamuzi sahihi
Single mom sio mwanamke wa kufanya naye maisha kabisa ni takataka
Inatia kinyaa sana kuoa au kuishi na mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine
🤮🤮🤮
Sawa, dunia ina mambo mengi sana ya kufanya msimamo wako unaheshimiwa!Mimi msimamo wangu uko hapo "hatuna cha kujifunza" kutoka kwa Azizi Ki
Amazon ndiyo maana katoa zote hizo , wakwako ulimtolea ngapi? Au Bado mnachunguzana huku mtoto wenu wakwanza yupo form one na wadogo zake wa 3?Huyu bwege kweli million 30 zote hizo ila jamani tako la mobeto zuriii
TakatakaWakati sisi tunakua ,msichana akizaa nje ya ndoa anatengwa na jamii.
Na bado haikupunguza kitu na maisha yakaendelea! Leo hii waoaji wanahesabika so hawa dada zetu wafanye nini? After all ni maisha yaoWakati sisi tunakua ,msichana akizaa nje ya ndoa anatengwa na jamii.
Maombi yepi hayo Kwa mwenyezi Mungu?Hoja ni maombi kwa Mwenyezi Mungu.
Single mom sio mwanamke wa kufanya naye maisha kabisa ni takataka
Inatia kinyaa sana kuoa au kuishi na mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine
Sawa, dunia ina mambo mengi sana ya kufanya msimamo wako unaheshimiwa!
Hahahaha ulifanya nao kikao wapi utupe maazimio yenu?Sio msimamo wangu ni msimamo wa wanaume wote masculine na walio makini sio simps na weak kama Azizi Ki
Waoaji wakiamua jambo lao hakuna wa kuwazuia.
Tena hamisa ana baba watoto wawili na bado anaolewa.