Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Mwache aende ukooó!!
 
Nilimuona kwenye maonesho ya Nane Nane anashika MIC huku akitetemeka, sasa ataweza kazi za Uenezi.

Akae nyumbani kulea wajukuu na kuwapatia hadithi za Vita ya Kagera na namna walivyokuwa wanajenga mahandaki
 
Age go alafu kile kitengo kinakuwa mtu wa propaganda ya mdomo na sauti kubwa labda Makonda kidoogo anaweza
 
Kijana alitubu, huenda akarudi kwenye nafasi yake.
 
Vinamtosha, kwa maana wote wachumia tumbo..

Wanaongea vitu havieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…