Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Wampe stivu nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo jema!Hakika anatosha.
Mwache aende ukooó!!WanaJf ni lazima tupendane.
Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.
Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Amina!Sawa tu.
Age go alafu kile kitengo kinakuwa mtu wa propaganda ya mdomo na sauti kubwa labda Makonda kidoogo anawezaWanaJf ni lazima tupendane.
Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.
Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Ya kwenye mtandao sawa ile ya media live bado sana labda wampe makondaHakika anatosha.
Kijana alitubu, huenda akarudi kwenye nafasi yake.WanaJf ni lazima tupendane.
Kwa namna mkuu Pascal Mayalla anavyoipigania CCM na kwa taaluma yake ya uandishi wa habari na sheria, ninamuona kama mtu sahihi katika nafasi iliyoachwa wazi na Polepole.
Wanaccm wenye mapenzi mema maoni yenu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Amina mkuu!thread zake tu ukisema ukaziprint unakuta thread fupi ina page 3,anashindwaje fiti kwenye hilo gepu anafaa sana ana sifa zote.
WanaJf ni lazima tupendane.