kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Mkuu niambie jina lake nikuwekee ulinzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana ndio!Kwako haitawezekana mana una wasiwasi tayari.Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.
Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
View attachment 2648377
Fresh from school mkuu sio vigagula vilivyokaa mtaani zaidi ya mwaka mzima.
Pisi zilizotoka chuo hapana aisee, tumezioa sana ndoa za mkataba.
Sinaona palipoandikwa miaka mitano.Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani.
Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
View attachment 2648377
Huyo kuna mhuni anamsikilizia. Akikubali tu, kaka utaongezewa text ya kuombwa radhi, ana mimba ya mtu.Ni rahisi kwasasa ila Mambo hubadilika kadri mda unavyozidi yoyoma. Na si ajabu akaanza kubadilika yeye.
Acha kujidanganya mkuu ww muombe Mungu akupe wife mwema..darasa la 5 tuu wtt hawana bikra wana wanaume 5 sembuse form 4?Fresh from school mkuu sio vigagula vilivyokaa mtaani zaidi ya mwaka mzima.
Pisi zilizotoka chuo hapana aisee, tumezioa sana ndoa za mkataba.
Kazi kwakoAlieshia form 4 sio chuo, hao wana maex wengi sana.
Ogopa sana kuoa manzi aliepitia mahusiano zaidi ya 2.
Wapi huko daras la 5 wana wanaume 5??Acha kujidanganya mkuu ww muombe Mungu akupe wife mwema..darasa la 5 tuu wtt hawana bikra wana wanaume 5 sembuse form 4?
Graduates kwangu hapana, wamechezewa sana. Wengi mpaka anamaliza mwaka wa tatu ashakongoroka ni vile vipodozi na ukisasa ndo kidogo vinawafanya waonekane bado wamo wamo.Hahaha Sawa kila mtu na pendekezo lake wewe unapenda 4m4 failure wenzio wanataka graduates [emoji23]
Hutaoa mkuu..au la usizini kabisaa yani usitembee na wadada wa watu ambao huna mpango nao..then sali Mungu atakupa mke mzuri kabisaa..brand new...Wapi huko daras la 5 wana wanaume 5??
Mke mwema hawezi kua na maex 5, wote hao wameona nini kwake mpaka wamkimbie halafu wewe ndo umuone mke mwema.
Mwanamke akishapitia mahusiano mengi jua umewaolea maex zake hao, kupasha kiporo kwa mwanamke ambae ulishakua nae kwenye mahusiano ni rahisi sana.
Ishakula kwngu[emoji28][emoji28]
Ndio kilichobakiPiga mimba ili asikimbie ukitaka uhakika
Yah lazima tujifunze kukubaliana na kutokukubalianaHeshimu mawazo yake japo Huwa wanabadilika badilika atakayosema kesho kayasahau ya leo