Dickson Edwin Mgaya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 526
- 1,432
Ila Walimu😂😂Ni mwendo wa kukusanya tu hela mpaka huyo Mama yenu Samia aniite baby, mwezi wa tatu nilikopa milioni 25 na hili ongezeko nakomba hela nyingine... mimi ndo yule mtumishi hela na bata zinamwagika utafikiri nimekua Rais wa mbinguni...
Account ya bank imejazia utafikir makalio ya bata 🤣😂Ila Walimu😂😂
Mtafika Mbinguni hoii🙌🙌
SawaWatumishi tunaishia nao.
Wanafeli ,, ilikua Leo wafungue
Mfumo unafanyiwa maboresho ya mwaka mpya wa fedhaHivi mkuu uko serious mfumo (e-mikopo) unafanya kazi huko kwako?!!! Kuweni serious wakuuuu
Kwanini wasitoe taarifa kama.ni kweli?Mfumo unafanyiwa maboresho ya mwaka mpya wa fedha
Swali kubwa toka akili kubwa 👏Kwanini wasitoe taarifa kama.ni kweli?
Halafu mbona vitu vingine vinafunguka vizuri tu?
Okay, poaMfumo unafanyiwa maboresho ya mwaka mpya wa fedha
Mpaka lini utakuwa sawaOkay, poa
🤣Na hapa ushaanza kuwalalamikia walimu!! Kweli jina lako linasadifu yaliyomo
Mh, sidhani kama kutakuwa na jibu la uhakika. Ni suala la kungoja tu.Mpaka lini utakuwa sawa
Mabenki mbona huwa hayakai hivo kwa muda mrefuMfumo unafanyiwa maboresho ya mwaka mpya wa fedha
Hii mifumo inawafaa wenzetu wenye akili sio sisi ngozi nyeusi.Hivi hawa watu ndo nini Sasa!!
tusaidie baba kuitoa sie ishatushinda, jiongeze tu ka TraoreMkiambiwa mkitoe chama chakavu madarakani hamtaki,kazi kusifia tu mara mitano tena mara anaupiga mwingi mara oktoba tunatiki ilihali mnaishi kwenye ufukara wa kutisha wakati ni watumishi wa umma nyinyi ndio mlitakiwa muwe na mshahara mkubwa kuliko hao majambazi wa nchi wanaojiita wanasiasa wasio na manufaa yoyote kwa nchi. NRNE
Kama wameshindwa kuendesha Mwendokasi, sgr hasara, unadhani ess wataiweza? Ukitaka kujua upuuzi huoni tamko popote pale.Hii mifumo inawafaa wenzetu wenye akili sio sisi ngozi nyeusi.
Kubadilisha chama haina maana kuwa ndio kupata mshahara mkubwaMkiambiwa mkitoe chama chakavu madarakani hamtaki,kazi kusifia tu mara mitano tena mara anaupiga mwingi mara oktoba tunatiki ilihali mnaishi kwenye ufukara wa kutisha wakati ni watumishi wa umma nyinyi ndio mlitakiwa muwe na mshahara mkubwa kuliko hao majambazi wa nchi wanaojiita wanasiasa wasio na manufaa yoyote kwa nchi. NRNE
Usione watu wamevaa suti na kutembea na ma-V8 ukafikir wako smart vichwani. Matatizo mengi ya watanzania ni matokeo ya kuwa na watu wabovu kwenye sehemu za maamuzi.Kama wameshindwa kuendesha Mwendokasi, sgr hasara, unadhani ess wataiweza? Ukitaka kujua upuuzi huoni tamko popote pale.
Buku 20 mmezi