PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hatimaye maji na mafuta yamejitenga..Huu uchaguzi utafunua Mengi sana tusiyoyajua kwenye hivi vyama.
 
Kupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View attachment 3326611
H
Saccos limeshaparaganyika Rasmi. Machawa sijui yako upande gani?
 
Huyo mama ana neno amepigwa na chama hakijamajali tena amepigwa na watu wa chama aisee yuko sahihi kwa nn ufe ujinga mtupu.
 
Umewaza kifalsafa sana. Yaani hakuna mfuatano wa watu zaidi ya 50 kwa mkupuo Kwa nasibu.
 
Reactions: vnn
Vilaza wote wanajitenga,kama maji yanavyojitenga na mafuta.
Sasa inaenda kubaki chadema yenye upinzani halisi chini ya Mhe Lissu.
 
Kwa hoja yao ya Leo unadhani kilikuwa ni kisingizio ama ndiyo ulikuwa ni uhalisia?

CHADEMA siyo gereza, wanaotaka kutoka hawafanyi kosa lolote lile!
Hawa jamaa wameandamwa na kila aina ya kebehi toka waseme wazi kuwa hawakubaliani na mwenendo wa chama chao cha awali. Ingawa walisema wako tayari kuunga mkono maamuzi ya chama chao, bado wakawa wanatukanwa. Huo ndio uhalisia. Wamefanya uamuzi wa busara kujitoa kwenye chama ambacho dhahiri kilikuwa hakiwataki. Hata Nyerere alisema, CCM sio mama yake. Ikimzingua ataachana nao. Hawa wamezinguliwa na wameamua kuachana na wenzao.

Amandla...
 
NJAAAA ZINAAAWAUA MSOSI UMEONDOKA WAACHEN WENZENU NAP WALE PAMBAFUUUA MTOKEEE WOTEE SHOEWINE
 
ndio ujing wenu pro Lisu, badala ya kuwaunganisha wanachama wenu mnakazania matusi. Nendeni basi mkamtoe Lisu gerezani kama ni mashujaa. Mnakuwa mashujaa wa matusi
Ukweli wanashangaza sana.

Amandla...
 
Ukweli wanashangaza sana.

Amandla...
Let us wait and see...na sasa ccm watahakikisha Lisu hatoki na leo ili chadema ilegee kabisa. Wanakosa busara wote, wote waliobaki...only Mbowe alikuwa na busara, hawa makelele majukwaani..... Tibaijuka aliwashauri hivi: Pick the low hanging fruits................ndiyo ingelikuwa approach
 
Ukisema "Watanzania ni wajinga" ni wazi hata viongozi ni wajinga maana wanatokana na watanzania hao hao.
Sasa kama sekeretariati ya chama kwa miaka zaidi ya 10 umeshindwa kukipa chama mwelekeo alafu leo baada ya kupata viongozi wapya unahama kwa sababu ya 'chama kukosa mwelekeo', ni nani anatoa huo mwelekeo na inatakiwa muda gani!? Kama miaka zaidi ya 10 hujatoa mwelekeo unamzalimishaje mtu kutoa mwelekeo kwa miezi 2!! Je, tukubaliane wajumbe walikuwa sahihi kuuondoa uongozi wa zamani madarakani?

Lililo wazi ni kuwa uelewa wetu tulio wengi umevurugika na huenda umevurugwa na mfumo wetu wa elimu. Hivyo huenda ikahitaji muda mrefu kurudishana kwenye msitari (tuombe Mungu isichukue muda wa kizazi kizima)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…