Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
ππππππππ Wee pia kuna mda kama mimi tu unavuta bangi et mkuuPiga huyo.
Mi niligombana na mama yangu kisa aliniambia 'nakupenda mwanangu".
Mi nilimwambia usinipende bali nijali.
Hakuna mbingu ya wapumbavu, huyo ana kaswende ya ubongo tu.Kwa umri wake, anaweka hazina mbinguni
NA ww unaweza kufufuka ukawa myahudi ukifa kafirSiyo ujinga Mzee anajua akifanya hivyo anaongeza uwezekano wa yeye kubadilika na Kuwa mwarabu akifa kwenye uislamu.
adriz Adiosamigo Tanganian Jagina gallow bird
Usinitag kwenye mambo yako ya kisengesengeSiyo ujinga Mzee anajua akifanya hivyo anaongeza uwezekano wa yeye kubadilika na Kuwa mwarabu akifa kwenye uislamu.
adriz Adiosamigo Tanganian Jagina gallow bird
Ngoja uone kama watoto hawana cha kurithi lazima igawanywe
Hii ni shida..
Si angeliuza ama kuingia mkataba na wenye hela then angeenda kutafuta eneo lingine nje ya kariakoo
Nilikuwa navuta lakini siku hizi nimeacha.ππππππππ Wee pia kuna mda kama mimi tu unavuta bangi et mkuu
Chuma vya kwako ,endelee kuchambisha vizee vya kizungu usije kulilia urithi.Siyo ujinga Mzee anajua akifanya hivyo anaongeza uwezekano wa yeye kubadilika na Kuwa mwarabu akifa kwenye uislamu.
adriz Adiosamigo Tanganian Jagina gallow bird
Matajiri wajanja sanaArdhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
Watoto wana haki ya kudai ,labda useme kama wamekubali maamuzi ...Mali za wqfi zinaangaliwa na mmiliki ana nn kingine .. Uislamu hauruhusu mtu kutoa cha mwisho mpaka kuinyima familia yake ni kharamu kabisa.igawanywe vipi? kama kashatoa na huo msikiti ukishajengwa watagaiwa nini? kwa mujibu wa uislamu mirathi ni baada ya kufariki tu, akiwa hai na mzima hakuna mwenye chake.
SayngayUsinitag kwenye mambo yako ya kisengesenge
hakuna mtoto fala bila mzazi fala..!Binafsi watoto wangu kama wakiwa mafala siwapi urithi....
Mbona watoto wa maskini huanza moja na wengine hutoboa?Kwani akina Bakheresa walirithi?Hapo kuna shidd mzazi bora ni yule anayemuachia urithi mtoto wake, hapo napingana na huyo mzee, unaacha watoto waanze moja thats very wrong
Acha uongo weweWatoto wana haki ya kudai ,labda useme kama wamekubali maamuzi ...Mali za wqfi zinaangaliwa na mmiliki ana nn kingine .. Uislamu hauruhusu mtu kutoa cha mwisho mpaka kuinyima familia yake ni kharamu kabisa.
Hakuna kitu kama hicho kasome dini vizuri ,na kama kafanya hivyo ni lazima awe kawashirilisha watoto wake ..Katika uislamu mirathi ni lazima kuacha kama ulikuwa na mali.Acha uongo wewe
Tatizo wanaotakiwa kutuongoza kwenye hizo imani ndio wamekua wa kwanza kutupotosha.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee akiitoa nyumba yake yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
View attachment 3379922