Sasa wewe sio kusoma dini tu bali hata akili yako ipime vizuri ,maanake hata unachoandika hukielewi..mtu yupo hai anarithiwa vipi? Urithi ni kwa mtu aliyekufa..Tangu lini mtu hai akarithiwa? Kichwa chako kipo vizuri kweli?Hakuna kitu kama hicho kasome dini vizuri ,na kama kafanya hivyo ni lazima awe kawashirilisha watoto wake ..Katika uislamu mirathi ni lazima kuacha kama ulikuwa na mali.
Lazima ashirikishe watoto wake katika kila jamboSasa wewe sio kusoma dini tu bali hata akili yako ipime vizuri ,maanake hata unachoandika hukielewi..mtu yupo hai anarithiwa vipi? Urithi ni kwa mtu aliyekufa..Tangu lini mtu hai akarithiwa? Kichwa chako kipo vizuri kweli?
Hakuna anachoachaSorry hapo kwa billgate i beg to differ, yes kuna kiasi atamuachia mwanae na si kweli eti everything atagawa ,check your facts kwanza
Kurithi ni haki siyo fadhira...mali yako inakuwa yako tu kama hauna watoto...hivyo kama unataka usirithishe ni rahisi tu usizae watoto fullstopMatoto majinga majinga si ya kuyarithishaa chochote mzee yupo sawa kabisa
hao watoto unakuta hawajishughurishi na chochote zaidi ya kulewa na kufanya uzinzi na kuvuta bange huku wanasubiri mzee afariki then wauze mali.
Mzee kafanya vyema kutoa mali kwa msikiti iwe faida kwa vizazi na vizazi kwa ajili ya ALLAH.
Huyo mzee ndiyo mpumbavu alikuwa na uamuzi wa kuzaa au kutokuzaa ...kama anaona watoto ni tatizo kwa mali zake asinge zaa fullstop.Watoto waache upumbavu. Wakati Mzee wao ananunua kariakoo enzi hizo kariakoo haikuwa prime area. Watoto waende huko mkuranga, kivule, vikindu na nje ya mji wawajibike kununua ardhi yao baadae hizo sehemu zitakuwa prime area.
Hao ni waislamu hawaijui biblia. Kwani quraan inasemaje?urithi ni haki ya mtoto hata bibilia imesisitiza nyumba na mali mtoto anapaswa apewe na baba yake
pia bibilia imesisitiza ni lazima baba aache urithi kwa wanawe
Nyumba yake, ana haki ya kufanya chochote anachokitaka. Watoto wakatafute nyumba zao kwenye prime area. Urithi sio haki. Nimewazaa, nimewasomesha, mmekua, tafuteni zenu.
Tatizo wanaotakiwa kutuongoza kwenye hizo imani ndio wamekua wa kwanza kutupotosha.
Huyu mzee kuwa waislam nao wana matumbo na familia zao zinahitaji kula? Angepata mshauri mzuri angefanya ubia na ajengo ngoropha amampo angeweza kutoa floor mojawapo akitoa kama wakfu.
Na kuna kiongozi wa dini anamsikiliza. Hivi tukiambiwa sisi bado ni manyani tunakataa kwa sababu zipi 😂😂😂😂Wanatupotosha sababu wanafaidika na sadaka zetu.
Huyo babu ana miaka 98, akili imeshakuwa ya kitoto. Ndio maana anafanya maamuzi hayo bila kujua hasara watayopata vizazi vyake
Sio Mzee Mohamed Said huyo? Ndio mitaa yake huyo babu. By the way, anatafuta radhi za mola wake aingie jahanamu ninyi mkifaidi mali zake? Mwache mali zake zimwingize pepo bhana!je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Huyu Mzee ana akili kali sana. Kwa wale hamuelewi hapa mzee ameamuwa kulinda mali yake isiuzwe na watoto wajinga. End code zingine tafuteni wenyewe. Wabilah wataufikje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Tatizo watu hawasikiliza hiyo clip vizuri. Hilo eneo ni misikiti tayari, ili ndio umebomoka . Anataka aanzishe taasisi ambayo itakuwa chini yake na kwa jina lake ili iweze kusaidia hata watoto yatima.Ieleweke kuwa mzee huyu kwa mujibu wa maelezo ana maeneo mengi, na maeneo hayo ameshawapa watoto wake, hilo hapo ameamua kulitoa sadaka, shida iko wapi? Ingekuwa kosa kama watoto wasingeachiwa urithi wao.
Kafanya jambo zuri sana
Tatizo watu hawasikiliza hiyo clip vizuri. Hilo eneo ni misikiti tayari, ili ndio umebomoka . Anataka aanzishe taasisi ambayo itakuwa chini yake na kwa jina lake ili iweze kusaidia hata watoto yatima.
Haya mambo hufanyika kote duniani. Ukiona foundation nyinngi duniani ambazo zinasaidia wasiojiweza etc nyingi ni mali za watu waliokufa na kuelekeza urithi wao kwa ajili ya kusaidia watu.
Watoto ndiyo wanufaika wa kwanza kabisa wa Mali ya baba na mama.Urithi ni zawadi siyo lazima.
Watoto waende mahakamani tu kwasababu umri wa miaka 97 huyo mzee atakuwa ameshaugua maradhi mengi na akili imeshabadilika haipo sawa.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Nakupenda sana mwanangu ndege na pua bureinPiga huyo.
Mi niligombana na mama yangu kisa aliniambia 'nakupenda mwanangu".
Mi nilimwambia usinipende bali nijali.