Waswahili walivo watu wa kujipenda yeye akishiba biriani, anashushia na tende kibarazani sheihk wewe na njaa zako hakujui.imagine bei ya viwanja kariakoo ilivyo.. hata viongozi wa huo msikiti uliopewa wakfu wanachekelea,,, utapokea ardhi hiyo na kujenga fremu nyingi kisha Imamu na bakwata wanakula hela za kodi tu na familia zao,, huku watoto wa mzee wanakula dagaa
Sasa unachobisha ni nini???Urithi sio obligation kama alikulisha na kukusomesha huo ni urithi tosha na kama vipi unaona alikosea kukuzaa unaweza kumeza sumu ukafa....;
Kelele unaweza kupiga ikiwa na wewe ulikuwa part ya nguvu kazi i.e. kuchuma mfano kama ni shamba na wewe ulikuwa unalima hadi kupelekea yeye kuongeza ekari kadhaa...
We unaona wivu maana mzee wako hana cha kukupa, unaona wivu gere.Yaan mm naonaga n upuuzi sana, yaan lbda mzee mwenyewe aamue kuwagea, ila sio wafanye ndo lazima.
Ila mwanangu huo wakfu hapo kariakoo sio wakitoto, pale kariakoo hata baba yangu angekuwa na nyumba 30 pale akitoa moja nakula nae sahani moja😅😅😅 uchizi huu sasa.Mbona mtoto kasema watoto wameshapewa sehemu zao? Tena amefafanua kabisa kuwa kwa mujibu wa dini, huwezi kutoa wakfu huku hujawapa watoto urithi wao? Hamsikilizi video mnakimbilia kutoa povu tu?
Sijui ila waafrica kuna sehem tunaforce sana mambo iv na waarabu ndo uw wanafanya hiviM
Huwezi kumpangia mzee wako matumizi ya mali yake.
Hapo hakuna namna kikubwa tafuta mali yako mwenyewe
Mzee yupo sahihi kabisa.
min -me
secretarybird
Monetary doctor
Kumbe tena alirithi 😅😅😅😅Kama umesikia vizuri, mzee alirithi. Na ukirithi, huruhusiwi kuuza au kugawa bali kurithisha tu.
Ili masheihk wakae na misuli yao vibarazani wale tende na bakishishi, tambua nakwambia huyu mzee hajui atendalo maana kiongozi wa msikiti atanufaika na kizazi chake wala watoto wa huyu mzee hawatakumbukwa kwa lolote.Kwahiyo wanae wakarithi kisenvule ndani ndani ili wakalime na mihogo kariakoo kwenye big asset wapate mashekee
Hafahamu maana ya mirathi, mirathi ni baada ya muhusika kutangulia......akiwa hai anaacha wosia na sio lazima kuacha wosia.Sasa wewe sio kusoma dini tu bali hata akili yako ipime vizuri ,maanake hata unachoandika hukielewi..mtu yupo hai anarithiwa vipi? Urithi ni kwa mtu aliyekufa..Tangu lini mtu hai akarithiwa? Kichwa chako kipo vizuri kweli?
Ni lazima,hao watoto hawakutaka kuletwa duniani,ni tamaa zako wakajikuta wamezaliwa tayari....watakiwa uwajibike mpaka mwisho kuwafanya wasiteseke dunianiUrithi ni zawadi siyo lazima.
Mzee anataka kwenda kukutana na mabikira 72. Ukute hadi umri huo alikuwa anakula vitu used tu hapa Duniani hajawahi kukutana na mzigo ukiwa na nylon.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Kabla ya kumlaumu mzee je watoto wenyewe wanaajibika kwa babao?.Pengine ni wakubwa na nguvu zao lakini wanacheza karata,bongomovi,wanaoa wakiishi kwa wazazi hapohapo huku wakila chakula kilicholetwa na mzee.Je hawa lengo lao nini kama hawafanyi kazi? Ni kwamba wanangoja babao afe wagawane uridhi.Vijana mkiwa wakubwa tafuta kazi mfanye muwasaidie wazee wenu ndipo watapoona umhimu wa kuwaridhisha mali kabla ya kuondokaje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Hili ndilo tatizo kubwa la wazee kama hawa, wanafikiri hizi dini za kuletewa zisizo na mashiko kwetu Waafrika ni dini za maana, kwa kweli inasikitisha mno kuona huu ujinga wa kuendekeza dini za watu bado unaendelea.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Ni kweli kabisa walikua wapo hapo wanamngoja mdingi afe warithi wauze, dingi kawaotea tu wakose woteKabla ya kumlaumu mzee je watoto wenyewe wanaajibika kwa babao?.Pengine ni wakubwa na nguvu zao lakini wanacheza karata,bongomovi,wanaoa wakiishi kwa wazazi hapohapo huku wakila chakula kilicholetwa na mzee.Je hawa lengo lao nini kama hawafanyi kazi? Ni kwamba wanangoja babao afe wagawane uridhi.Vijana mkiwa wakubwa tafuta kazi mfanye muwasaidie wazee wenu ndipo watapoona umhimu wa kuwaridhisha mali kabla ya kuondoka
MhhhhhhYaani anizae halafu aniacbe taabuni, hapana aise hapo sitaelewana na Mzee kwa kweli.
Mzazi kumpa kitu mtoto ni lazima lakini mtoto kumpa mzazi kitu ni hiari.
Mwenye mali kaamua. Watoto na ndugu watafute mali zao.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?