Upo sahihiHuyu Mzee ana akili kali sana. Kwa wale hamuelewi hapa mzee ameamuwa kulinda mali yake isiuzwe na watoto wajinga. End code zingine tafuteni wenyewe. Wabilah wataufik
Kutunza wazazi ni hisani sio wajibu au lazima kwa mtoto.Urithi ni zawadi siyo lazima.
Mtoto kutunza/kuhudumia wazazi ni hisani, sio wajibu au lazima.M
Huwezi kumpangia mzee wako matumizi ya mali yake.
Hapo hakuna namna kikubwa tafuta mali yako mwenyewe
Mzee yupo sahihi kabisa.
min -me
secretarybird
Monetary doctor
Sio wajinga, hakuna binadamu anayekataa vya bure.Pia viongozi wa msikiti waliokubali kuipokea hiyo nyumba ni wajinga, wapumbavu na wasio na huruma.
Hata watoto wako sio lazima wakuhudumie/wakutunze ukiwa mzee kikongwe.Binafsi watoto wangu kama wakiwa mafala siwapi urithi....
Hiko kizee baadaye unaweza kukuta kinalaani tena watoto hawakihudumii/ hawakitunzi/wamekisahau/wamekitelekeza.Nachukiaga sana binadamu mwenye nguvu zako huna ulemavu, akili timamu kuanza kugombea mali za urithi.
Kwann usitafute zako?, umekuja dunian kuwa tegemezi?, yaan mzee wawatu kaamua zake atumie jasho lake kujitolea kwaajili ya dini yake (sadaka yenye kuendelea) ila mitoto utakuta imefuga vitambi na misuli inagombea mali za mzee wao ambazo muda huo utakuta mzee alishatimiza wajibu wake wa kuwalea, kuwalisha, kuwasomesha n.k. ila bado wanampangia matumizi ya mali zake😡
Nyimwa vyote usinyimwe akili. Kama angetaka kujenga misikiti si angetengeza biashara ili hizo biashara zijenge misikiti tena kwenye maeneo mengi yenye uhitaji tu. Haya waarabu wakuchovya waendelee na utumwa. Kwali Africa bodo utumwani, angepewa hii Nchi huyu mzee siangeitoa hii nchi sadaka/wakfu kwa waarabu aise.je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Hata watoto kuhudumia wazazi wao ni hisani tu, sio lazima au wajibu.Hakuwasomesha na kuwapa chakula mpaka pale mlipoweza kujitegemea ? Kwani yeye Babu yake alimuachia nini tuanzie hapo kwanza ?
Tutofautisha Obligation (wajibu) na uamuzi / maamuzi ; By the way kitendo cha hawa kumpeleka mahakamani inaonyesha ni jinsi gani they don't deserve hata sumni ya huyu mzee...
Na watoto wana hiyari ya kuhudumia wazazi kama hisani tu na siyo lazima au wajibu wao kuwatunza/kuwajali wanapozeeka.Unafikiri hata Ulaya mtu akiacha mirathi kwa mbwa huwezi kujua alikuwa na maana gani
Kila mmoja ana haki ya kugawa Mali zake atakavyo
Kuna watu wanawaachia jirani
Je na yeye alinunua hiyo sehemu, au nae aliachiwa na Babu yake ila ndio kaamua iwe hivyoje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922
Dini huwa inatabia moja, huwa ina brainwash muhusika haswa akizingatia sanaHilo eneo anauza anaenda jenga pembeni na anajenga msikiti hiko pembeni na anabakiwa na pesa za mtaji na maisha yanaendelea. Ogopa sana Mtu akigia dini hawabadiliki.
Sawa kila MTU ashide mechi zake NiggaNa watoto wana hiyari ya kuhudumia wazazi kama hisani tu na siyo lazima au wajibu wao kuwatunza/kuwajali wanapozeeka.
Anaamini akienda huko mbinguni atakuta Nyumba nyingine, ni ubinafsi tuyeye ameshaishi maisha yake kafika umri wa kifo,, anawafanyia ubinafsi kizazi chake kisije kufaidi kodi za fremu za kariakoo
Wa agape huu.Sijawahi ona upendo km huu