Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

Watu hudhani urithi ni lazima na haki yao,ndiyo maana mahakama hutaka wosio wa marehemu maana unaheshimiwa
Kama vile ambavyo kuna wazazi hudhani kuhudumiw/kutunzwa na watoto wao wakizeeka ni lazima au wajibu wa watoto.
 
Ni jukumu la wazazi pia kujitengenezea maisha yao ya uzeeni na sio kusubiria kuja kutunzwa na watoto uzeeni kama inavyokuwa kwa wazazi wengi wa kiAfrika.
 
Tafuta mali zako mzee yupo sahihi kabisa.

Matoto Kama wewe ni hasara mnapenda vya urithi TAFUTA MALI ZAKO KAMA NI RAHISI.

NB. KUNA MTOTO WA BA MKUBWA BAADA YA MZEE KUFARIKI WAMEUZA ASSET ZAKE ZOTEEE NOW WAPO MAHAKAMANI KUDAI MIRATHI.
We nawe mjinga tu, kama hukumpangia baba yako kukuleta duniani basi agharamikie ujinga wake, kama huna mpango wa kuboresha maisha ya kiumbe utakachokileta duniani borq usikilete kabisa, urithi ni haki ya mtoto, issue ni urithi wa aina gani, iwe wa hali(Elimu, koneksheni, waangalizi nk) au wa mali mf nyumba, shamba, biashara nk, kuzaa mtoto kisha umwambie apambane na hali yake ni upumbavu, ni roho ya kishetani kabisa, umezaa mtoto ili uje kumuangalia akiteseka? Mbona mtoto akifanikiwa kupata mali mwenyewe wazazi wanaona ni haki yao kufaidi matunda ya mtoto wao? Ujinga kabisa.
 
urith ni haki ya wanaoachwa.kwa vile mzee bado yupo hai. bas hapo hawana ujanja watoto hao mana mali ni yake.ispokuwa angekua ametoa isizidi 33.3% ndio iwe kama zawadi
 
Sawa tu mbona hao watoto walishindwa kuijenga vizuri hiyo nyumba Ili baba Yao alale sehemu nzuri
 
Na watoto wana hiyari ya kuhudumia wazazi kama hisani tu na siyo lazima au wajibu wao kuwatunza/kuwajali wanapozeeka.
Watu wajipange na uzee wao. Sasa mzee alikua na eneo kariako sasa unamtumza nini zaidi ya kumpa faraja na upendo kwa kuwa nae karibu kama yeye pia alikupa muda alipokua kijana maana tusijitoe ufahamu saikolojia iko hivyo kama alikufanya rafiki akiwa kijana huwezi mtupa rafiki yako akizeeka, nafsi itakusuta.
 
Sawa tu mbona hao watoto walishindwa kuijenga vizuri hiyo nyumba Ili baba Yao alale sehemu nzuri
Aliwaanda kiasi gani?, kama yeye hakuweza akiwa kijana sasa lawama ni za nini? Hakuweka mifumo ya kifedha kama uwekezaji vipi watoto watafanya na yeye misingi ya wakfu ndio aliyo ijenga kwa watoto (philosophical perspective) vipi watajua elimu ya fedha.
Kila familia inapaswa kuwa philosophy yake either ni wafugaji, wakulima, Afya, business, uzuvi, n.k maana familia ni taasis hivyo ni lazima iwe na miongozo tofauti na hilo ni uzinzi tu.
 
Dini huwa inatabia moja, huwa ina brainwash muhusika haswa akizingatia sana

Ina brainwash mtu na kuondoa logic reasoning mpaka anakuwa mjinga au anapoteza uwezo wa kuwaza na kutafakari
Hakika hapo ana amini kwenda pepo. Akapate mabikra 72 na mito ya pombe. Aisee
 
Mzee kastukia dili kaona tukose wore😂😂, hatari sana.
 
Dini huwa inatabia moja, huwa ina brainwash muhusika haswa akizingatia sana

Ina brainwash mtu na kuondoa logic reasoning mpaka anakuwa mjinga au anapoteza uwezo wa kuwaza na kutafakari
Hakika, huyo mzee unaweza kuona anameshapoteza uwezo kabisa wa kufikiri kwa mantiki, hapo ni kazi bure kwa hao watoto wanaopinga kuweza kumbadilisha.
 
Urithi wa nini na bado hajafariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…