Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hahahaha asubuhii njema mwananguSina neno π.
Kibarua huwa analipwa kitu gani ? Shares za Kampuni ? Ni kwamba wewe mzazi wako hata kama hana mali ni wajibu wake na ni lazima sababu amekuzaa ahakikishe unapata basic needs zote hata kama atakesha au kuwa omba omba..., lakini unapokuwa mtu mzima sio wajibu wake kuhakikisha kwamba alizalisha ili kuweza kuwaachia nyie. Elimu, Chakula na Shelter aliyowapa kwa miaka yote hio (tena kwa bongo mpaka mtu anauza shamba ili uende Chuo na huenda mpaka in your 30's bado anakupa hifadhi);Sasa unachobisha ni nini???
Familia nyingi za afrika watoto ndio wanapambana kama vibarua.
Ok, tuseme n kweli hana. Ila mimi nayetafuta kwa nguvu zangu na maarifa nilojaaliwa nawewe unayesubiri mtu afe ndo urithi nani kidume hapo?We unaona wivu maana mzee wako hana cha kukupa, unaona wivu gere.
Sheria gani inayosema hivyo?Sio mali yake ni mali ya familia
Your too naive. Maneno ya vitabu takatifu vinasema HAKUNA MWANADAMU AKIOMBWA MKATE NA MWANAE YEYE ATAMPA NYOKA..IKIWA HATA WAOVU HUWAPA WAWAPENDAO YALIYO MEMA.We nawe mjinga tu, kama hukumpangia baba yako kukuleta duniani basi agharamikie ujinga wake, kama huna mpango wa kuboresha maisha ya kiumbe utakachokileta duniani borq usikilete kabisa, urithi ni haki ya mtoto, issue ni urithi wa aina gani, iwe wa hali(Elimu, koneksheni, waangalizi nk) au wa mali mf nyumba, shamba, biashara nk, kuzaa mtoto kisha umwambie apambane na hali yake ni upumbavu, ni roho ya kishetani kabisa, umezaa mtoto ili uje kumuangalia akiteseka? Mbona mtoto akifanikiwa kupata mali mwenyewe wazazi wanaona ni haki yao kufaidi matunda ya mtoto wao? Ujinga kabisa.
Kwa binadamu (Social animals) hata kama mtu sio mzazi wangu nikiona anashida au anahitaji msaada nitatoa msaada kadri ya uwezo wangu (ni Ubinadamu) ila sio kwamba mzazi unampangia mtoto hadi bajeti kwamba vipi mwezi huu mpesa haijasoma wakati huenda mtoto na yeye maisha ya kuunga unga (alafu tukiwa na kizazi cha wala rushwa na mafisadi tunashangaa kumbe huenda ni hizi extended families)Hata watoto kuhudumia wazazi wao ni hisani tu, sio lazima au wajibu.
Hata kaka ila mali za urithi ni lazima so hauwezi kutoa mali zako zote au sehemu kubwa kwa ajili ya urithi ,hauwezi kutumia pesa zako kutoa hata sadaka huko familia yako haiba kitu ni 'DHAMBI''Kwani Mzee kafariki
Angekuwa anategemea kusubiri kuhudumiwa na watoto wake asingejiwekea vitegauchumi kama hivyo ambavyo anavitoa sadaka kwa hiari yake na watoto haohao unaosema mzee atawalaani kwa kushindwa kumsaidia ndio wanaotoa milio. Mwambaa, tafuta zako hujaletwa duniani kuwa tegemezi asee, dunia ni uwanja wa mapambano na ndo maana tulishaambiwa tutakula kwa jasho na sio ubweteke usubiri wazaz watafute halafu ukeshe ukiomba wafe ili urithi mali zao, maana kama n mwenye kubweteka hata kama ukirithi hizo mali hutozifanyia chochote utazifuja na zitaisha zote maana huna uchungu nazoHiko kizee baadaye unaweza kukuta kinalaani tena watoto hawakihudumii/ hawakitunzi/wamekisahau/wamekitelekeza.
Ahahahahha hamna kazi hapa ππππNilikuwa navuta lakini siku hizi nimeacha.
Mwenye mali kaamua. Watoto na ndugu watafute mali zao.
Akifa huo wakfu utapingwa mahakamani kuwa uliandaliwa na mtu ambaye hakuwa timamu kichwani.
Wosia wenyewe unapingwa na watu wanashinda itakuwa wakfu?
Asante mola atuongoze!Hahahaha asubuhii njema mwanangu
Nitumia huyo kinyonga wa kwenye avatar yako.Watafute za kwao.Ukianza kuwaza urithi maana yake akili zako ni tegemezi.
Aliosema lazima naniKutunza wazazi ni hisani sio wajibu au lazima kwa mtoto.
Kwa vipi mkuu?Ahahahahha hamna kazi hapa ππππ
Yeah.Hatujui pia alivyoipata hiyo property ya kariakoo.na hizo za huko kinsemvule unakosema.utajiri una siri nyingi mkuu.huenda watoto wasingepaweza hapo kariakooKwahiyo wanae wakarithi kisenvule ndani ndani ili wakalime na mihogo kariakoo kwenye big asset wapate mashekee
Job true trueje ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ?
video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani kubwa kariakoo kuwa mali ya msikiti, watoto wake walipinga ila mzee ndio kashaamua
kwa nini watu weusi wengi hatutambui Generational wealth ? kama kina Donald Trump walivyofaidika nayo kutoka kwenye ardhi za prime areas alizorithi kutoka kwa baba yake na babu zake
Hata tajiri kama Bakhressa na GSM huwezi kukuta wanatoa sadaka ardhi yao ya Kariakoo ama prime area kama masaki na oysterbay.
Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
imagine hilo eneo lao kariakoo wangeingia mkataba na tajiri angejenga ghorofa la ma fremu hapo,,, watoto wake wangekula hadi kizazi cha nne kingekula matunda yake
Pia inashangaza familia kuruhusu mzee wa miaka 97 kufanya maamuzi makubwa kama hayo huku inajulikana akili ya mzee ni sawa na mtoto mdogo kwenye kufikiria
View attachment 3379922