Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Binafsi nihudhuria Msibani mpaka mwuli unaagwa kuelekea Iringa, Nilishuhudia Afsa mmoja wa polisi Mtu mzima 45+ Alikua kwa uchungu na akaanza kuropoka mpaka wenzake wanamfata na kumwondoa haraka... Uchunguzi huru unahitajika
 
Ukiingia kwenye kazi za vyombo vya usalama hapa Africa ujue uwezekano wa kuondoka duniani kwa njia za ajabu ni mkubwa sana. Ukiwa wrong place at the wrong time umekwisha. Ukishiriki una kesi, ukikataa kushiriki, watakumaliza. Hakuna jema
 
Yaani mtu anakutuma kwenda kumuua mtu asiye na hatia na ww unaenda!!!!!
Hata kama mtu ni boss wako ndio akupe tu maagizo ya kipumbavu na ww unatii hata bila kufikiria mara mbili?!!!
Vilaza
Mkuu umeshambiwa hiyo kazi ni hakuna kukataa oda ya mkuu wako,
Na ukikataa means unatakiwa kupotea ili kumlinda mtoa oda..
 
Ukiangalia ilee klip ya RPC alivyokua anatoa Ile taarifa usoni utaona alikua na wakati mgumu sana. Kuna kitu anakijua lkn hawezi kukisema.
 
Ukiingia kwenye kazi za vyombo vya usalama hapa Africa ujue uwezekano wa kuondoka duniani kwa njia za ajabu ni mkubwa sana. Ukiwa wrong place at the wrong time umekwisha. Ukishiriki una kesi, ukikataa kushiriki, watakumaliza. Hakuna jema
Ukiwa wrong place at the wrong time umekwisha. Ukishiriki una kesi, ukikataa kushiriki, watakumaliza. Hakuna jema
 
Kuwaacha hawa watu muhimu kuendelea kuvaa magwanda ya polisi na kukalia viti vya nyadhifa zao watasaidia kupotosha na kupoteza uelekeo wa kupata ukweli wa jambo hili haraka.
 
Kwani lini uliwahi kuisha?? Uhuni waliofanya kina Sabaya na Makonda una tofauti gani na huu?? Nyie wasukuma msijitoe fahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…