Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Kwani huyo mzazi anatakaje na akat milembe alikua mtu mzima alikua anafanya vile ambavyo yeye anataka.

Wazazi wengine bhana, akurupukee kuwapa Media hints za kuandika mtandaoni kuhusu mwanae. Lol
Ukiwa mtu mzima ukifanya mambo ya ajabu wazazi watahuzunika. Wazazi hupenda siku zote tufanye mambo mazuri bila kujali tumeshakua watu wazima au laa
 
Ukiwa mtu mzima ukifanya mambo ya ajabu wazazi watahuzunika. Wazazi hupenda siku zote tufanye mambo mazuri bila kujali tumeshakua watu wazima au laa
Hayo ni ya wazazi, sio lazima mtoto ayafanye ili hali kashakua mkubwa na anajua nn afanye.

Hao wazazi watulize ngenga, sanaa wanajichoreshaa tyuuh.
 
Mh.Naibu Waziri alitushauri kupitia Bunge tukufu kuwa dawa ya kukabiliana na tatizo la bundle kuisha kwa haraka ni kuzima data

kuna siku tutashauriwa kuwa kukabiliana na gharama kubwa za matibabu ni kutoumwa
😅😅😅😅
 
Kwani huyo mzazi anatakaje na akat milembe alikua mtu mzima alikua anafanya vile ambavyo yeye anataka.

Wazazi wengine bhana, akurupukee kuwapa Media hints za kuandika mtandaoni kuhusu mwanae. Lol
Wewe shoga acha hizo lakini nakushauri usije Kanda ya Ziwa hasa Geita wata ku milembe!!
 
Nashangaa, huo Usagaji kauanza leo, akati ni mda tyuuh.

Wamemuua kisa Pesa au imani za kishirikina, ila wanakazania Homophobia ili watu wasihoji zaidi.

Sheria ifuate mkondo wake. Hao suspects wabanwe hadi waseme ukweli wotee.
Siku zake 40 ndio zilikuwa zimefika.
 
Wazazi tuwe tunachagua majina mazuri ya kuwapa watoto wetu, Milembe !!??-- na ile hospitali kule Dom inaitwaje ?!😏
 
Ukiwa mtu mzima ukifanya mambo ya ajabu wazazi watahuzunika. Wazazi hupenda siku zote tufanye mambo mazuri bila kujali tumeshakua watu wazima au laa

Hii kaul bi mkubwa alikuwa ananiambia Sana imenifanya kuwa muoga kila ninapotaka kufanya mambo ya miyayusho na imenijenga Sana …. Atakae kupinga apa siwez kumshangaa Sababu bongo tuna watu wengi wenye matatizo ya Akili
 
Milembe alikuwa na pesa Ila alizitumia vibaya, alifanya fimbo ya kufanyia ufedhuli, wenzie wanajitolea kwa jamii au watu wanaokuzunguka, mbele yake nyuma yetu.
Nadhani kuwa na pesa haikuwa tatizo...Inaonekana u-born-bush ndio ulimsumbua....Nilikuwa nadhani alikuwa born - town, kumbe ni Mtoto wa Misungwi......
 
Nadhani kuwa na pesa haikuwa tatizo...Inaonekana u-born-bush ndio ulimsumbua....Nilikuwa nadhani alikuwa born - town, kumbe ni Mtoto wa Misungwi......
Siyo wa Misungwi nasikia ni wa Shiyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…