Nimekuelewa , lakini hii ndio njia ya Amani ya kutatua hili tatizo, mfano Zimbabwe walipitia njia hii, ambapo Morgan Tsavangaria alikuwa sehemu ya hiyo sirikali , na wakati huo huo vyombo vingine vinafanyiwa mabadiliko, ili Yule aliyekuwa akivitumia vyombo hivi kudhulumu wengine asiweze.(yaani time ya uchaguzi, Polisi na Mahakama)Maridhiano kati ya nani na nani na waridhiane nini, kwenye kitu gani kwa nini na nani kamkosea nani mpaka waridhiane?.
Yaani walioiba kura watafute namna ya kuhalalakisha wizi woo halafu watwambie maridhiano?.
watu waache kutenda haki kwa makusudi kinyume cha sheria halafu eti lazima mridhiane kwanza ndo watende haki?. Nonsense.
Give me a break
Suala la Haki sio la kidini , suala la kitaifa, tutende hakiMbona Bakwata wametulia kinyaaa
Lkn kina Father Kitima wapo mbio mbio
Kwanini wasijielekeze kumtangaza YESU kwa mapambio mazuri
Wanaangaika kukutana na Wanasiasa✍️
Wavaa kobazi hao watu wamekarori quran tu lkn kwa uhalisia akili zao ni kidogo sana kama chembe ya haradani
Kama ww hujui ukubwa wa TEC wewe bado ni mdogo kiumri au ulichelewa kuifungua duniaUkubwa wake uko kwenye nini?
So far hawawezi kuonyesha action wamesaidia au wamechangia hatua zipi kubadilisha mambo tofauti na wasio madude makubwa.
Kobazi wameshaleta hoja gani ya maana pale white house? Uwezo finyu wote form four waliferi magalasa matupu hawa wanajua kufir* wake zao tu na ndio maana kwao quran ni muhimu kuliko kusomesha watoto wanatujazia majingajinga mtaaniWasomi wenu wa PHD lkn wanakwama kwa vijambio vya watoto tena wakiume🫎🫎✍️
Sasa unaweza kujionea Zimbabwe ya leo iko namna gani. Rais wao kaongeza muda wa rais kukaa madarakani.Nimekuelewa , lakini hii ndio njia ya Amani ya kutatua hili tatizo, mfano Zimbabwe walipitia njia hii, ambapo Morgan Tsavangaria alikuwa sehemu ya hiyo sirikali , na wakati huo huo vyombo vingine vinafanyiwa mabadiliko, ili Yule aliyekuwa akivitumia vyombo hivi kudhulumu wengine asiweze.(yaani time ya uchaguzi, Polisi na Mahakama)
BAKWATA ni jumuiya ya CCM yenye jukumu la kuwaghilbu Waislamu waiunge mkono CCM na TEC ni Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki, kulinganisha taasi hizi ni sawa na kulinganisha pombe na chai.Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Mashekhe wa BAKWATA wanatoana ngeu kugombea vijinyama toka MakkahUKIWA JUHA CCM WANAKUTUMIA KAMA DODOKI,HAO NDIO BAKWATA
Vp nyie makobaz kuoa watoto?Wasomi wako wa PHD lkn wengi wanakesi za kupenda vijambia vya watoto 😭
Ndivyo mnavyo jidanganya. Hilo mnaloita kuwa ni ruzuku kwa TEC ni malipo ya kuziwezesha hospitali zao ( ambazo serikali ilipora na ikashindwa kuzihudumia) zitoe huduma kwa bei nafuu kila ambako ziko hospitali hizo.TEC Wanajitegemea wapi
nani kakudanganya ??
Wanapokea Bilioni kadhaa za ruzuku kutokea Serikalini
Ndiomana Wanauma na kupuliza muda uho uho✅️
TEC ni kwa ajili ya wakatoriki sio wakristo wote, Kuna CCT ambao na jumuiya zingine za wakristo lakini tunapoongelea TEC tunazungumzia Wakristo wa kanisa la KatorikiKwani TEC inaungwa mkono na Wakristo wote nani kakudanganya ???
Suala la Haki sio la kidini , suala la kitaifa, tutende haki
Ndivyo mnavyo jidanganya. Hilo mnaloita kuwa ni ruzuku kwa TEC ni malipo ya kuziwezesha hospitali zao ( ambazo serikali ilipora na ikashindwa kuzihudumia) zitoe huduma kwa bei nafuu kila ambako ziko hospitali hizo.
Ndio maana wananchi wa kawaida wa Lindi wanaweza kulipia gharama za hospitali ya Nyangao na serikali inaweza pia kuitumia kama referral hospital. Linganisha hii na hospitali za taasisi za kiislamu kama Aga Khan, Ebrahim Haji n.k. ambazo haziko huko vijijini.
Wakati huo huo unapowasema TEC, unasahau kuwa Mkatoliki Mkapa aliwapa bure waislamu Chuo cha Serikali kilichokuwa Morogoro ili nao wawe na Chuo Kikuu chao! Hilo hamuoni kuwa ni upendeleo.
Amandla...
Kilikuwa Chuo cha Tanesco campus ya Morogoro.Baada kujua makosa yake ya kuwauwa kwanzia mwembe Chai na January 27
Lkn pia Benjamin William Mkapa hakutoa chuo sio kweli ❌️
katoa Majengo ya Tanesco yawe Chuo cha kislamu✅️
Ndivyo mnavyo jidanganya. Hilo mnaloita kuwa ni ruzuku kwa TEC ni malipo ya kuziwezesha hospitali zao ( ambazo serikali ilipora na ikashindwa kuzihudumia) zitoe huduma kwa bei nafuu kila ambako ziko hospitali hizo.
Ndio maana wananchi wa kawaida wa Lindi wanaweza kulipia gharama za hospitali ya Nyangao na serikali inaweza pia kuitumia kama referral hospital. Linganisha hii na hospitali za taasisi za kiislamu kama Aga Khan, Ebrahim Haji n.k. ambazo haziko huko vijijini.
Wakati huo huo unapowasema TEC, unasahau kuwa Mkatoliki Mkapa aliwapa bure waislamu Chuo cha Serikali kilichokuwa Morogoro ili nao wawe na Chuo Kikuu chao! Hilo hamuoni kuwa ni upendeleo.
Amandla...
Bugando? KCMC? Acha Peramiho na nyingine ndogo ndogo. Ilipora kama ilivyopora shule za sekondari.Serikali haijawahi kupora hospitali hata moja ya kanisa
Ndivyo mnavyo jidanganya. Hilo mnaloita kuwa ni ruzuku kwa TEC ni malipo ya kuziwezesha hospitali zao ( ambazo serikali ilipora na ikashindwa kuzihudumia) zitoe huduma kwa bei nafuu kila ambako ziko hospitali hizo.
Ndio maana wananchi wa kawaida wa Lindi wanaweza kulipia gharama za hospitali ya Nyangao na serikali inaweza pia kuitumia kama referral hospital. Linganisha hii na hospitali za taasisi za kiislamu kama Aga Khan, Ebrahim Haji n.k. ambazo haziko huko vijijini.
Wakati huo huo unapowasema TEC, unasahau kuwa Mkatoliki Mkapa aliwapa bure waislamu Chuo cha Serikali kilichokuwa Morogoro ili nao wawe na Chuo Kikuu chao! Hilo hamuoni kuwa ni upendeleo.
Amandla...
Hii ya kwetu inakwenda sambaba na katiba Mpya, na marekebisho ya hizo taasisi ya Polisi, magereza, Mahakama na Ofisi ya Mwendesha mashtakaSasa unaweza kujionea Zimbabwe ya leo iko namna gani. Rais wao kaongeza muda wa rais kukaa madarakani.
Maridhiano yanakipa life support chama tawala ambacho kinakaribia kudondoka.
CCM kwa sasa haina legitimacy kwa wananchi, kuipa maridhiano ni kuipa life support wakati inakaribia kukata roho!.
CCM wanapozungumzia kuhusu maridhiano wanamaanisha maridhiano ya kuwagawia wapinzani fupa kidogo watulie kama huko Zanzibar, hawamaanishi kuleta reforms za msingi nchini.