BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Nashindwa kuunganisha mstari huu hapa, ambao una maneno mazuri; lakini hauendani kabisa na kichwa cha mada husika.
"BAKWATA wana ushawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika "siasa"(?) za nchi"?

Ina maana BAKWATA wanaeleweka vizuri na waTanzania juu ya hali ya kisiasa iliyopo?

Kwa hiyo 'TEC' wasioeleweka kisiasa ndio wanaozua taharuki miongoni mwa jamii ya waTanzania?

Hiyo "nguvu na ushawishi" waliyonayo BAKWATA wanaipata toka kwa nani, kwa waTanzania?
 
Sasa mbona walitaka kuangusha serikali kwa kutumia waumini wao wanaodai kuwa ni wengi na wakashindwa?...
Hizo technical movement ni zipi?
TEC now wanadharaulika na gov kuliko taasisi yeyote nchi hii
Mna mapepo.m vichwani yanawafanya mnakuwa na illusions muda wote.

Ndio maana mnaua watu ovyo ovyo tu.
 
Kiufupi bakwata ni chawa wa ccm,wao na uwt tofauti yao ni kobazi na bhgashia tu.
 
Kama wanazo takwimu zao kamili kwa nini hawaziweki hadharani ? Hizo takwimu za sirini hazimsaidii yeyote, hazina maana.
Wazitoe hadharani kwa sababu zipi hasa na kwa manufaa gani wakati huu.
Wakati mwafaka ukifika zitatoka zitakapohitajika mahali sahihi pa kuzitoa

Hizi papara za kina Yoda zinasaidia kitu gani?.
Yoda nimesema “inasemekana “ don’t come for me plz 🤣
 
Hata wawe wamesoma vipi ila haiondoi ukweli kuwa "wao bado wako katika ujahili" kwa maana wamepotea

Kwa bakwata, kama wanatumika kisiasa basi kwa Allah watakua na lakujibu.
Ungejua kuwa no one cares about nini unachokiamini ungekaa kimya ukapambana kuondoa familia na ukoo wako katika lindi la umasikini na magonjwa.

Ukatoliki ndio uliotengeneza usilamu hakuna hata siku moja utasikia katoliki wakisema kuhusu uislam ila sasa kobazi hamlali bila kuiongelea katoliki...mnateseka sana.
 
Bakwata mashehe wengi ni njaa kali ndio mana lazima wajifungamanishe na serikali ili wasife njaa wapate japo chochote kitu wahudumie ndoa za mitala na michepuko yao.
 
Kama nyinyi hamjui kuwa hamna Mungu na sehemu yenu ni jehanum basi
Katika Uislamu, mtu asiyekubali au kukataa kuingia katika dini hii na akafa katika hali hiyo, haitokubaliwa kwake dini nyingine mbele ya Mwenyezi Mungu, na kesho Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara, kama inavyoelezwa katika Qur'ani Tukufu (Surat Aal-Imran: 85).

Msimamo wa Uislamu kwa Asiyekubali Uislamu
    • Kutokubaliwa Dini Nyingine: Mwenyezi Mungu anasema wazi kuwa hakuna dini inayokubaliwa isipokuwa Uislamu (kujisalimisha kwa Mungu Mmoja). [1, 2]
    • Hali ya Akhera: Anayekataa au kufia nje ya Uislamu anahesabika kuwa miongoni mwa waliokosa uokovu siku ya mwisho. [1, 2]
    • Haki za Kidunia: Pamoja na msimamo huu wa kiimani, Uislamu unaagiza Waislamu kuishi na kuwafanyia wema, uadilifu, na ulinzi wa haki za kijamii wale ambao hawaupigii vita Uislamu. [1, 2]
 
BAKWATA ina waumini wake na huwa inatoa muongozo wa kueleweka kwa waumini wake pamoja na kuonyesha msimamo wake halisi. TEC huwa haitoi muongozo wake halisi kuhusu mambo yanayoumiza raia ambao wengi ni waumini wake.
 
BAKWATA ina waumini wake na huwa inatoa muongozo wa kueleweka kwa waumini wake pamoja na kuonyesha msimamo wake halisi. TEC huwa haitoi muongozo wake halisi kuhusu mambo yanayoumiza raia ambao wengi ni waumini wake.
Kwa hiyo wewe ni miongoni wa waumini wa BAKWATA, umepewa mwongozo ukauelewa. Hayo ya TEC umeyajuaje iwapo siyo mmoja wa waumini wao.
Umejuwa kuwa wafuasi wa TEC hawana mwongozo kwa njia zipi?
Kunyamaza kwao hakuwezi kuwa ndio mwongozo waliopewa huko?
 
Huyu mungu wa kutengenezwa na kuamrishwa na kusemewa na watu.
Ndiyo maana hizi dini zote zinao upungufu mkubwa sana.

Mungu hawezi kuwa na upumbavu mkubwa kwa kiasi kama ulichokielezea wewe hapo.

Mbaya zaidi ni kuwa hata kama waTanzania wote leo hii wangeamua wawe wafuasi wa dini hiyo, bado matatizo yaleyale yataendelea kuwepo tu!
Kulazimishana kufanya mambo ambayo baadhi wanaona ndiyo anayoyataka mungu wliyemtengeneza wao.
 
Kwa hiyo wewe ni miongoni wa waumini wa BAKWATA, umepewa mwongozo ukauelewa. Hayo ya TEC umeyajuaje iwapo siyo mmoja wa waumini wao.
Umejuwa kuwa wafuasi wa TEC hawana mwongozo kwa njia zipi?
Kunyamaza kwao hakuwezi kuwa ndio mwongozo waliopewa huko?
Msimamo wa TEC ulikuwa upi kuhusu uchaguzi uliopita ?
Msimamo wa TEC umekuwa upi kuhusu hizi tume tume??
 
BAKWATA wanahusikaje na kesi ya uhaini ya Lisu.
Tudadavulie mkuu.
 
Msimamo wa TEC ulikuwa upi kuhusu uchaguzi uliopita ?
Msimamo wa TEC umekuwa upi kuhusu hizi tume tume??
Hayo huyajui. Mbona ulilalamikia "Matamko" waliyotoa?
Hujawahi kusikia walichokisema wao TEC, halafu unakuja kuniuliza mimi?

Ukiamini kwamba sababu ya Samia Suluhu Hassan kupata kura zaidi ya milioni 30 (98%) ni kwa vile hao TEC hawakuwaelewesha chochote kuhusu uchaguzi huo!
 

..sasa hebu tueleze haki ambazo Ccm wamenyimwa na wanaowatawala.

..au haki za Ccm ambazo Cdm wamezikanyaga.

..pia utueleze kama ktk kuzitetea haki hizo Ccm wana uhalali wa kuwateka, kuwatesa, na kuwapoteza, Cdm.
 
..sasa hebu tueleze haki ambazo Ccm wamenyimwa na wanaowatawala.

..au haki za Ccm ambazo Cdm wamezikanyaga.

..pia utueleze kama ktk kuzitetea haki hizo Ccm wana uhalali wa kuwateka, kuwatesa, na kuwapoteza, Cdm.

Sijasema kuteka, kuumiza, kutesa. Na kupoteza watu ni haki.

Nimemjibu mtoa mada kwamba unapotetea haki huwezi kuwa na upande. Hata mahakamani iko hivuo.

Ukiletewa Chadema Vs CCM. Ukaambiwa utendeke haki huwezikuwa upande wa Chadema kisha ukatenda haki kwa CCM.
Au huwezi kuwa upande wa CCM alafu ukatenda haki kwa Chadema.

Nikijibu swali lako, CCM wanamakosa lakini hiyo haimaanishi Chadema ni watakatifu pia.

Chadema wamekuwa wakiwatukana, wakizusha mambo yasiyo na ushahidi kwa ndugu zao CCM. Hiyo pia sio haki.

CCM wamekuwa wakiwaonea Chadema na vyama vya upinzani kwa kutumia vyombo dola. Hiyo sio haki pia.

Au unataka nisemeje?
 
Bakwata si ni tawi la CCM upande wa dini au..... Sasa kwanini wasiwe na ushawishi Kwa sisiemu
 
Ndio maana inasemekana wana takwimu kamili ya vifo vilivyotokana na mauaji ya october 25.

Sababu ya structure ya taasisi yao inayofika hadi mashinani.
Na hivyo vituo vyao vya afya vilipokea wangapi?..

Hata kama hawana namba kamili lakini possibility ya kuipinga ile figure iliyotolewa 500+ wanaweza kama inaweza kukinzana na idadi walioipokea kwenye vituo vyao pekee
 
BAKWATA ipi? Hii inayosaidiwa pesa za kujenga misikiti na wakristu? Hii inayosaidiwa kununua tende? Hii iliyoshindwa hata kujenga chuo au shule ya maana? Hii inayonunuliwa magari na serikali?

Ulichotakiwa kusema ni kwamba, Kila tunapokuwa na rais mwislamu BAKWATA hugeuka kuwa maarufu sana. Ndo maana huu mtindo wa kuweka rais; Mkristu-mwislamu-mkristu-mwislam. Huu siyo mtindo wa kuendeleza nchi.

Marais wote waislamu, kazi yao kubwa huwa ni kusaidia wasilamu na siyo nchi. Tangu Mwinyi, kazi ilikuwa kugawa maeneo ya wazi Dar. Akaja Kikwete kazi ikawa ni kuchoma makanisa na kupiga risasi viongozi wa madhehebu ya kikritu. Kaja huyu ndo hivyo tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…