blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,774
- 9,913
Inasikitisha sana nadhani huijui vatcan vizuri, hakuna kiongozi hapigi goti kwa papa, nadhani uliona namna combo safari zilikuwa hazikauki kwenda vatcan, jiulize kwanini hakwenda Makka?Sasa mbona walitaka kuangusha serikali kwa kutumia waumini wao wanaodai kuwa ni wengi na wakashindwa?...
Hizo technical movement ni zipi?
TEC now wanadharaulika na gov kuliko taasisi yeyote nchi hii
Haiwezekani.Hayo yote ni sawa ila inawezekana BAKWATA ikiamua kutounga mkono CCM na serikali.
Waislam ni VICTIM wa kitu gani nchi hii??Kwenye LDCs kuunga mkono serikali ni basic requirement of success. Kingine mzungu akisema kabaguliwa sio issue kubwa kama mweusi au Asian akisema kabaguliwa. Kwa hiyo victim siku zote ana haki kuwa victimized lakini anaeonekana superior akiwa victim inaonekana anastahili
Nikimaanisha, muislamu kuunga serikali mkono na kusema yupo nae haina shida sana kwa sababu inatoka kwenye "victim" Side ya mfumo kristu, ila TEC ikienda front na kumchagua mtu flani lazma ionekane kama ni muendelezo wa "mfumo kristu"..
Kwa hiyo TEC kutokwenda front na kupinga tendencies za serikali ni kutumia haki yake ya kikatiba lakini haijaipinga CCM. Kwa sababu ingekuwa ni activism
Hiyo extremism unayoitaka italeta hasara kuliko faida kwa hiyo mimi naona TEC wanasukuma kete zao kisomi na si kimihemko kama unavyotaka wafanye
Hilo Dude halimtaki Samia since day one lkn wamechemka kwa mtu mwenye elimu ya Madrasa tu wameishia kutoa waraka baada ya warakaKumbe mnataka amtoe Samiah. Mngesema mapema kuliko kuzunguka zunguka.
Nenda kwa Bakhresa utaona masters kibao zimeajiriwa na mtu wa madrasaLeta data.
Mbona padri mmoja mdogo tu anapoongea tena kwa utani tu viongozi wa nchi wanachanganyikiwa. Kuna siku watu wa ubwawa waliropoka kama vichaa lakini hakuna aliyejali.Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Mwingine huyo kutoka chuo cha matusi cha TEC. Malezi mliyokulia huko kanisaniUnaongea pumba kama unawaza kwa mkuundu. Kwan umeambiwa TEC ipo kwa ajili ya kutoa marais madarakani
Wanafiki hawana lolote njaa kali sana haoKwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Unazungumzia watu ambao wanaweza kugeuza msimamo wao kwa ahadi ya pilau tu.Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Wakati Samia analalamika kwamba wanamkosoa, akahamaki, hukuona??Hicho ndo wanaweza kufanya, na kwa mtu mwenye kusikia angesikia.Ukubwa wake uko kwenye nini?
So far hawawezi kuonyesha action wamesaidia au wamechangia hatua zipi kubadilisha mambo tofauti na wasio madude makubwa.
Hujiita VICTIMS wa mfumo kristu..Waislam ni VICTIM wa kitu gani nchi hii??
Waislam wengi wana shida ya kujilemaza sana.Hujiita VICTIMS wa mfumo kristu..
Sio waislamu wote ila wengi pia wanaamini hivyo
Hujiita VICTIMS wa mfumo kristu..
Sio waislamu wote ila wengi pia wanaamini hivyo
TEC hawahusiki na matusi yangu na hasa kwa wajinga wajinga kama nyie kutoka BAKWATA mnao waza kuchinja wenzenu vichwa wapuuzi kabisa nyieMwingine huyo kutoka chuo cha matusi cha TEC. Malezi mliyokulia huko kanisani