PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwahiyo hapa jamaa wa gavoo watachagua wenyewe, wamuache afe kwa njaa au wampeleke court.

Dah machaguo yote ni ya motooo.
 
Kwenye kugoma kula awe makini asifikie kudhoofu kama kiiza Besiyge kiongozi mkuu wa upinzani wa Rais Museveni. Alitumia hii mbinu akadhoofu kiasi cha kushindwa kutembea.
No Reform No Election.

Kugoma kwa Besigye akipinga kushitakiwa kijeshi, kulipelekea ahamishiwe uraiani
 
We shall overcome

Mungu mpe uhai mdude asife


Mpe afya njema fr kitima

Mpe nguvu ya kutokata tamaa lissu
 
Sampuli ya mwandishi wa hiyo barua ni aina ya wachangiaji wakija JF uwa wanajifanya mahodari kweli wa kukosoa lugha za wenzao.

Unaandika vipi ujumbe ambao umepewa kwa โ€˜first person narrativeโ€™ kama vile wewe mwandishi ndio Lissu mwenyewe. Mbaya humo humo sentensi nyingine unaandika in 2 and 3 person.

Bora maandishi yako yawe na grammar error (wazungu wanaweza elewa kama english sio language) kuliko kukosea structure na style kwenye maandishi (unaonekana hujui kuandika hata ingekuwa kwa lugha yenu).

Cha msingi walau mwandishi amekuwa cautious kuliingiza kanisa katika ugomvi wao.

Siku Lissu akitoka inabidi aitishe kikao cha dharura cha ushauri kwa kukaa chini na viongozi wa CDM leo + Mbowe + ACT Zanzibar; haya mapambano yao ya mabadiliko yachukue sura.

Sauti ya wa Tanganyika sijui watanzania na Maria space sio sehemu ya chama kupokea ushauri. Wachangiaji wengi kutoka kule ni over ambitious na unrealistic wa mazingira halisi ya changamoto za vyama vya siasa at ground level.
 
Mahakama ya Kisutu iko mtandaoni gerezani
Teknolojia wewe uko nyuma ya Teknolojia

Akikataa kuhudhuria hiyo kesi mtandao ni sawa tu na kususa kwenda mahakamani

Kesi itaendelea bila uwepo wake sio big deal
You are right
 
Safi sana mh lissu! Wewe ni shujaa wa Tanzania, na sisi wananchi tupo nyuma yako! Tunakuombea sana! Tumedhulumiwa haki zetu vya kutosha! Bwana Yesu Mungu muumba mbingu na nchi yupo na wewe wala usiogope!
Kwa africa mfungwa kuto kula nahisi linaweza kuwa jambo la kawaida lakini ngoja ajaribu lina weza kushinikiza kupata mambo fulani fulani
 
What a leader. Fearless man.
 
Huyu Braza K ni lofa kweli. Kwahiyo yeye anaona wanamuunga mkono ni maaskofu peke yao. Huu ni udini uliopitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ