Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 913
.kwamba ccm yoote plus usalama wa taifa ni kidole kimoja tu cha Lisu!
Wamekutuma au?Mimi na walipa kodi wote tunaolipia gharama za ruzuku aliyoikopa babu.
Kwani lengo ni kuendeleza makosa yanayofanywa na CCM?
Dr. Slaa anapaswa kuwajibika kwa kujiuzuru. Kushindwa kutunza siri za ofisi ni kosa kubwa sana.
Sasa hivi haijulikani ni siri gani nyingine atavujisha...
Mwambie mwenyekiti wako nae ajiuzulu kwa kushindwa kuzuia siri ya mwanae kunusurika kunyongwa china
Ukitumia akili nyepesi tu, utaona kuwa aliyelikisha ni Zitto au mtu wa karibu yake kwa ujanja wa kitoto akalikisha content tofauti.
Kama ingekuwa ni mtu aliyeleiona original barua na nia ilikuwa kulikisha basi anagileta nzima nzima hapa, kama ilivyo maana kwa siku hizi huitaji scanner/ photocopy mashine, simu tunazotumia zina kamera nzuri na kali sana kiasi ukipiga picha document itatoka kama copy/scanned.
Na kwanini hakukukanusha tokea jana?
Kwanini atafutwe kuja kukanusha hili? Ina maana asingetafutwa asingekuja? $nataka kusema hakuliona ili bandiko humu? Je wapambe wake hawakumuambia kuwa kimenuka huko jf na anatafutwa tokeo ilipowekwa?
Huyu dogo naona anamatatizo na anachokitafuta atakipata.
Wamekutuma au?
mchunga mbuzi huyo,amefanya mahakama jimbo lake.kwamba ccm yoote plus usalama wa taifa ni kidole kimoja tu cha Lisu!
Toka lini wewe na timu nzima ya Lumumba mkawa na mema na CDM? Kama nyinyi mnavurugana kwa kusalitiana kwa ajili Chadema, sasa wanawaanika[ sisi wengine tumechoshwa na nyeti zenu kuanikwa hivi
Kwa nini barua binafsi, au hamuongei lugha moja, hii ni sirias issue, je kwa nini msingekutana na Dr.Slaa ukampa msaada ya mawazo yako?naamini hii issue haijaja JF bahati mbaya
sijasoma thread yako ila najua hakuna kirusi chochote cdm hizi ni sarakasi za Zitto
Kauli yako ni moja ya matokeo ya propaganda chafu za ccm dhidi ya chadema.Ungekuwa mtu safi ungeshiriki kwenye harakati za kuhimiza kuwa ni wakati muafaka wa Dr. Slaa kujiuzuru kwa kushindwa kutunza siri za ofisi.
Bila kufanya hivyo unakuwa responsible kwa mchezo anaocheza.
This is digital politics, you either have one or zero. No portions...
Haya mwingine ameibuka kumsifia Lissu, hii ndio sababu kubwa ya wabunge kupigania posho.kuwanunua vijana sio gharama ndogo
Kama hutaki Dr. Slaa awajibike kwa kuvujisha siri za ofisi basi wewe ni ADUI wa dhana ya uwajibikaji...
Bila shaka mnatambua ukweli kwamba Dr. Slaa ndiye nguzo ya CHADEMA kwa sasa. So mnataka ajiuzuru ili mpate namna nzuri ya kukimaliza? Si mnajua kwamba nusu ya usalama wenu wa taifa wanareport kwake? Chochote mtakachokipanga huko kinamfikia Dr. Slaa on the spot. Kwahiyo mnadhani akijiuzuri ndiyo itakuwa salama yenu. Kazaneni kutekeleza sera za chama chenu ili watu wawakubali kutokana na sera zenu na si kushinikiza Dr. Slaa ajiuzuru.Kuna kila sababu ya kumtaka Dr. Slaa ajiuzuru kuonyesha mfano wa uwajibikaji. La sivyo ataendelea kushusha credibility ya chadema kama chama. Next time chadema ikishinikiza kiongozi kama Kawambwa awajibike wataulizwa kwanini Dr. Slaa bado yupo madarakani?