Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Zittophobia inapanda inashuka inapanda inashuka. Kweli Zitto chiboko.
 
Mwambie mwenyekiti wako nae ajiuzulu kwa kushindwa kuzuia siri ya mwanae kunusurika kunyongwa china

Hiyo " siri" ulipoipata mmelisaidia vipi Taifa kutatua matatizo yake, Kama Chadema kueneza uzushi huo basi iaminike hakuna wa kuing'oa CCM, ccm ina matatizo mengi sana kiasi cha kuwaeleza wananchi wakaelewa hakuna haja ya kuzusha uzushi ambao maadui zenu watautumia kuuthibitishia UMMA kuwa nyie ni wazushi sana, Ridh wan abebe unga yeye Mwenyewe je wale vijana wake wa Yanga Family na UV CCM wabebe nini? tena eti abebe kichwa kichwa
 
Honestly ninaomba msamaha kwa yeyote atakayeumia na hilli . ILa mimi ninaomba Zito pia aangaliwe kwa ukaribu. Inawezekana jamaa anatengeneza scenarios za kujipa umaarufu lakini pia akawa anatumikia ccm kwa kujua ama kutojua.

Nasukumwa kuamini kuwa Zitto hayuko nyuma ya hili ila kuna mtu anayebebwa kwa nia ya kuiweks CCM madaraksni. Si mwingine bali Lwakatare.
Naomba namba ya Slaa na ikiwexekana nimpate Lisu. nina kitu cha kuzungumza nao, km namba zao ni siri naomba nitumiwe hata kwa pm
 
kwamba ccm yoote plus usalama wa taifa ni kidole kimoja tu cha Lisu!
Kama unabisha kwa hilo, toa maelezo mbadala. Ukweli ni kuwa hata jaji Mkuu anamuota usiku na mchana, kama huamini ingia kwenye majalada ukasome.

 

una maanisha nini hapa
 
Lukolo unaniangusha ndugu yangu!!!

Kwanini unaishia hapo? Bila kumwajibisha msamamizi mkuu wa ofisi iliyovujisha siri ya barua ya Zitto itakuwa ni kufuga virusi kwenye chama. Tafadhali liangalie hili...
Zitto anasema hivi: Nimeshangazwa sana kusikia na baadaye kuona barua yenye maudhui kama yale yale ya barua yangu kwa Katibu Mkuu imewekwa mtandaoni. Umeona hapo kwenye nyekundu? Soma vizuri post ya Zitto. Ni dhahiri kwamba barua iliyowekwa mtandaoni si barua halisi aliyoiandika Zitto bali ni mfano wa barua yake. Kwa hiyo ni dhahiri kwamba hii barua ilisomwa kwenye kikao cha kamati kuu. Mtu mwingine aliyekuwa ndani ya kikao, akaandika barua ya mfano wa ile ya Zitto na kuiweka mtandaoni. Kama tungeona barua kama ile mikataba ya CCM ambapo unapata barua ambayo imetolewa kwenye faili na kuwa scanned, basi tungekuwa na sababu ya dhati ya kumtaka Slaa ajiuzuru. Lakini kwa kuwa ni mtu kaigiza, na ameshindwa hata kufoji sahihi wala mhuri wa mbunge, basi ni dhahiri siri ya ofisi haijavujishwa na Slaa.
 
Ni wakati muafaka wa Dr. Slaa kujiuzuru kwa kushindwa kutunza siri za ofisi ya Katibu Mkuu...
 
Hata kuingia mikataba 17 kwa siku moja kulipa fadhila ni uzushi sindioe
 
mimi naamini barua imevujia mikononi mwa Zitto, sidhani kama hicho kirusi kingekua jirani na Dr.Slaa kingejihangaisha kufuta saini ya Zitto.!!

Binafsi nashangaa vijana wanavyo rubuniwa kirahisi na Zitto, kauli ya Mwigulu kwamba alipewa clip na kiongozi mmoja wa chadema, maneno ya Zitto kwamba kuna kirusi ndani ya chama na matumizi ya the same ID kwenye kupost ile barua yote yamelenga kuaminisha watu kuwa Zitto hausika na sakata la lwakatare but someone else.
 

Ikifika hapo ndipo namkubali ZZK. Anasema ukweli bila kumung'unya maneno. Ukweli ni kwamba hicho kirusi kiko ndani kabisa ya CHADEMA na kirusi huenda ni kiongozi mmojawapo wa viongozi wakuu wa CHADEMA. Chunguza utabaini. Katika hili sakata ZZK ni mhanga; si alihusishwa na Msacky kwenye ile clip.

CC: Ritz

 
Last edited by a moderator:
Mkuu siyo kwamba mimi nahisi kuwa ni wewe na Dr Slaa,ila nadhani wapinzani wenu wa kisiasa watasema hivyo.Kuna mtu alisema ulialikwa kwenye kikao na barua imeleak mara baada ya kikao,na ni barua ambayo Zitto kasema kuwa aliiandika directly kwa Dr Slaa na kwamba ilikuwa ni ya siri.

Sasa hapo mkuu unategemea masalia waseme ni kina nani?
 
mnajua kwamba nusu ya usalama wenu wa taifa wanareport kwake

Baada ya hapa bado mnatafuta kirusi? Ni yeye aliyemleta mfanyakazi wa usalama wa taifa Ludo, ni yeye anayemfuga jasusi saa tisa lakini bado mnatafuta kirusi. Kweli chama cha wapuuuzi.
 
mimi naamini barua imevujia mikononi mwa Zitto, sidhani kama hicho kirusi kingekua jirani na Dr.Slaa kingejihangaisha kufuta saini ya Zitto.!!

Huenda kirusi kinaji disguise! Kirusi ni nani lakini?
 
Hki kirusi hiki
hukijui kabisa au unayo majina una suspect but u cant share?

Nadhani hukumwelewa Zitto.
Alichokisema ni kwamba ID iliyoweka video ya Lwakatare mtandaoni ndiyo ID iliyoweka barua aliyoiandika yeye. Sasa huyo mtu kama hayupo kwenye kundi la waandamizi ndani ya chama au karibu na viongozi waandamizi ndani ya chama alipataje taarifa?
 
Last edited by a moderator:
Naamini na ntaendelea kuamini kuwa aliye post ile video Zitto anamfahamu na naamini pia yeye ndo aliye mpa hii barua aje kuipost hapa.

only view people are able to see this at moment.
 
kwa ishu hii ilivyo wakamata masaburi kila kiongozi atakuja na tamko lake hapa.huyu atakuwa safari au baregu .jana alikuwa makene,leo zitto kumbe kujiita kote makamanda niwaogo hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…