Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.

Asante eng. kwa kutoa maoni yanayolenga kutibu badala ya kupongeza au kulaumu. Bila shaka mkakati wa haraka wa Chadema sasa uwe ni kukitoa hicho kirusi vinginevyo, nothing will move on; yaelekea huyo aliyevujisha habari ya barua hiyo alifanya moja kati ya yafuatayo:
1. alimsomea mtu kwa simu ili aiandike
2. Aliinakili kwa kalamu ili kutoingia katika mtego wa simu
3.Aliipiga picha hiyo barua kwa cimu yake na kisha kuinakili akiwa nje ya ofisi
Kimsingi watuhumiwa namba moja hapa ni source and destine ya barua kwa maana ya ZZK inakotoka na Dr. Slaa inapokwenda; kwa vile si rahisi wawili hawa kuvujisha barua hii, moja kwa moja big suspect iende kwa waliohusika na kuitoa barua hii toka kwa Zitto hadi kumfikia Katibu Mkuu. Hao wote watakaobainika kuwa ni sehemu ya dispatching ya barua hiyo, regardless/ kabla hawajathibitika, kwanza wote wahamishwe ofisi ya katibu mkuu/makao makuu.
Lakini vilevile njia nyingie ni kuwabaini wale "Big suspects" na kuwaondoa katika chain bila wao kujijua. Mathalan kuwapeleka baadhi yao hata masomoni ili wawe nje ya ofisi na Tanzania kwa ujumla au kuwabadilisha majukumu na ofisi pia then ifanye "trial & error" ya kuangalia movement ya habari za chama ikoje.
Lakini mwisho ningependa kushauri kuwa Chadema isifanye kosa la CCM, kuruhusu "wajingawajinga" kujipenyeza ndani ya chama na mwisho wa siku ndio wanaokuja hata kuomba nafasi za juu za uongozi wa chama au Taifa, na hatimaye Chama au nchi kupata watu ambao "incapable"
 
Tuko Kuunga mkono hoja tu ni kwamba katika mpango mzima wa kuisambaratisha CHADEMA kwa kutumia strategy ya kumtenganisha ZITTO na CHADEMA,BEN SANANE anatumika,habari ndio hiyo,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke huo ndio ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Hapa mtu mwenye akili timamu kama Mlima Kilimanjaro kuliko yangu ya hii kichuguu atakuwa na mashaka makubwa sana na uongozi wa CHADEMA jumla kwa sabau kadhaa.

1. Kama mheshimiwa Zitto alitaka mawasiliano binafsi na Katibu Mkuu wa chama chake, angeweza kuongea naye ana kwa ana au kumpigia simu. Akishaandika basi inakuwa ni official document, na hata kama hatujui jinsi CHADEMA inavyoshugulikia documents zao, ninadhani huenda wana utaratibu wa kushughulikia documents hizo za kiofisi kama vile kuziwekea reference namba na vitu vya kawaida kama hivyo kwani Katibu Mkuu wa CHADEMA ni institution siyo mtu mmoja. Siri ndogo kama hii ya ushauri usiokuwa binding isingewekwa kwenye maandishi! mimi ni kichuguu tu huenda sioni mbali, ila nadhani inabidi viongozi wa CHADEMA wawe na utaraibu mzuri wa kuwa wanaongea mambo yao ya siri ambayo hayajawa official bila kuyaweka kwenye maandishi hasa pale wanapokuwa hawataki yatoke nje. Ni utaratibu wa kawaida watu kwenda lunch au dinner pamoja ili kushauriana au kuzungumzia mambo ambayo hawajayafanya official. Obama amefanya hivyo sana kwa wahasimu wake wa republican siku za hivi karibuni.

2. Kunaweza kuwapo na ugumu sana kuamini kuwa barua iliyowekwa mtandaoni imetokana na kopi iliyopelekwa kwa katibu mkuu au imetokana na kopi iliyobaki kwa mwandishi wa barua hiyo. Inaweza kuwa ni vigumu sana kutafuta source ya hicho kirusi cha cCHADEMA kwa njia yoyote ya construction, inference au ya contradiction.
 

Aisee unazidi nifungua akili na kuelewa the real image ya Ben saa8
 
Kesi ya Ludovick na Lwakatare ni ngumu sana kwa Ludo kuliko kwa Fred, kwa sababu Lwakatare ana kazi ya kujibu mahakamani tu, ila Ludo akitoka ana kazi ya kujibu pia kwa watanzania...
 
Kuunga mkono hoja tu ni kwamba katika mpango mzima wa kuisambaratisha chadema kwa kutumia strategy ya kumtenganisha ZITTO na CHADEMA,BEN SANANE anatumika,habari ndio hiyo,mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke huo ndio ukweli.

Najua mnanitafuta sana.Ukiweza kuthibitisha haya sitachukua hata sekunde moja,nitajiondoa CHADEMA kuliko kushiriki dhambi hii kubwa.

Ni kawaida kwa wachawi kuongoza kwa kulia kwa kwi kwi misibani ili kupotosha uhusika wao
 
Asante mkuu. Binafsi nikijaribu ku reflect mwendo wa cdm nadhani kuna "virusi" na sio "kirusi". Tunajua vingine "vimeshatolewa" lakini bado kuna vingine vimebakia. Na ukifuatilia kwa makini zaidi unaona wazi kabisa kuwa virusi hao wanajuana, wanasaidiana, na kwa namna fulani wanawasiliana (kuna coordinated effort). Either way, ni muda utaamua! Hii ndio siasa.
 
Najua mnanitafuta sana.Ukiweza kuthibitisha haya sitachukua hata sekunde moja,nitajiondoa CHADEMA kuliko kushiriki dhambi hii kubwa.

Ni kawaida kwa wachawi kuongoza kwa kulia kwa kwi kwi misibani ili kupotosha uhusika wao

jaribu kuwa na hata aibu ya kibinadamu mkuu, ukishagundulika uchafu wako, pata aibu...huku kujitutumua kujitetea jf haitakusaidia katu...wewe ni muuaji kwa sumu mchana kweupe, afadhali ya mchawi anayeloga usiku
 
Leta ushahidi ni wapi nilikompinga publicly!

ona aibu wewe......wanaokupa kichwa na kukusifia wana akili kama wewe

haiwezekani kw umri wako huo upange mapinduzi na kisha uwageuke wenzio.....naionekane shujaa,

haipo...soma muda tu

kaa mbali na zitto, haumuwezi kwa lolote lile......umesema mengi sn juu yake achilia mbali kutaka kumuua

kaa kimya basi ona aibu japo kidogo...M-CCM wewe
 
Aliandikiwa dawa ila hamezi
Ungekuwa na chembe ya hekima ungeizungumzia CCM na mafanikio yenu ya kuweka virusi. Kwani wewe ulijiuzuru au ulifukuzwa? Ndiyo maana Dr. Alex Paurine amefanikiwa kutushawishi una magonjwa yanayohitaji immediate attension.
 
ZZK anataka kutuaminisha kwamba kuna mtu kutoka uongozi wa juu wa CHADEMA ndio amevujisha ile barua aliyoiandika kwa katibu mkuu kuhusu sakata la Rwekatare.

Tukumbuke Zitto haaminiki, yes sio mtu wa kumwamini hata ukifuatilia post zake hapa JF utagundua hilo.
Wana JF tujiulize hivi, kama ZZK aliweza kushirikiana na PM7 aka Masalia (ikumbukwe kuwa hawa ndio vijana ambao walikuwa wakishinda mitandaoni hata kabla hawajafukuzwa CHADEMA wakisambaza ujumbe kwamba Zitto anataka kuuwawa).

Atashindwaje yeye mwenyewe kutumia vijana hawa au hata yeye mwenyewe kwa akaunti nyingine atashindwaje kuiupload ile barua hapa ili aweze pata nguvu ya kuja kuielezea na kutuaminisha kuwa kuna kirus na kumfight huyo anayemuita "virus"? (yeye ndio kirus namba 1)
Kumbukeni siasa ni mchezo mchafu.
Bahati nzuri Zitto amekiri kwamba mlengwa sio msacky... (bali ni yeye).
Hivyo basi, lilianza la Sumu kupitia kwa Ben Saanane ambalo lilipewa promo mwishoni ZZK akaja hapa na kulikana kwamba ni uzushi.

Kama mnakumbuka siku aliyokanusha lile suala la Sumu baada ya kuandikwa na gazeti la Mtanzania ZZK alisema kitu ambacho wengi hamjakitafakari sana, alisema:
...Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.


Akimaanisha matendo ya Rwekatare ya ugaidi yasifanyiwe propaganda kwamba ni malengo ya CHADEMA.

What I see ni kwamba ZZK anajitafutia puplic sympathy kupitia story za yeye kutaka kuuwawa. Alianza kuwatuma akina Mchange washinde mitandaoni watuambie kwamba Slaa anataka kumuua na sasa anatuaminisha kwamba Rwekatare alipanga
kumdhuru yeye na si Msacky.
Tuwe makini na hizi dirty pilitics wana JF.

Kirusi chochote ndani ya CHADEMA ni kile kinachofanya kazi kwa ajili ya CCM na sio vinginevyo..

Hivyo kama tunahitaji kweli kujua kirusi ni nani ni lazima tujue kinafanya kazi kwa niaba ya nani.
Virusi viwili vilisharudi kwa aliyevituma... Bado vipo vingine.
 

Mkuu umeanza kufunguka hata salamu hakuna, punguza jazba. Pipoz Powa
 
Bila kung'ata maneno ama kupepesa macho Zitto akiwa naibu katibu mkuu hakutumia njia sahihi kuwasiliana na katibu mkuu wake.
Kadri nilivyosoma majibu yake ya ufafanuzi juu ya barua yake na comments za wadau ninapata shaka na sababu za yeye kuandika barua, kuvuja mtandaoni kwa content za barua yake pamoja na hisia za barua yake kuvujishwa ofisini kwa katibu mkuu (makao makuu).

Kwa mtazamo wangu barua inaweza kuvujia kwa Zitto ama makao makuu. Lakini kwa jinsi anavyosisitiza kuwepo kirusi andamizi ndani ya CHADEMA makao makuu ni dhahiri anamlenga mtu fulani aliye karibu na uongozi wa makao makuu.
Mjadala umeonyesha Ben Saanane kuwa mtuhumiwa mkuu. Nadhani Zitto na wapambe wake wanatakiwa kuandika barua ya malalamiko kwa katibu mkuu juu ya Ben kama wana ushahidi, kuliko hivi wanavyofanya kumtuhumu bila kuweka ushahidi wa yeye kuhusika na barua yake.
 
Tunakushukuru kwa kuliona hili.Wengine bado tunaendelea kumsoma ZZK.Iko wazi kwamba, hamuamini Lwakatare, na amejiweka pembeni kwenye suala hili mpaka hapo mahakama itakapomsafisha Lwakatare.Bado najiuliza huyu ZZK mbona siku hizi hajishughulishi sana na hizi M4C za CHADEMA?

Hayuko active kama zamani.ana plan gani anayoitengeneza kwa sasa?Au kamalizwa nguvu baada ya watu wake kama shonza, na wenzake kudhoofishwa?
 
Wewe kama sio upo saa nane mbele sijui endelea kumtukana kiongozi wako.Hivi hawa Bavicha siku hizi hawajui kinachofanywa na vijana wao humu ndani au hukumu ni kwa wale waliokuwa wanataka uongozi wa Bavicha
 

Mkuu kweli nakubaliana na wewe. Mkuu kwenye hii kesi kama ikienda kama ilivoanza utaona mengi. wakati wengine wapo CHADEMA kibiashara wengine wanatimiza wajibu wao kama walivyotakiwa na Mungu. Always ukweli utasimama tu. Hii issue ni tofauti kabisa ya CCM management, imesemwa na data zinasemwa kila siku na Tundu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…