Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni
Nimewapigia watu wa pesa X ,jioni mdada kapokea nikawauliza vipi naweza kupata mkopo ,eti ananijbu Kuna tatizo la kiufundi ,nikamwambia litaisha akasema maengeneer wao wapo wanalishughulikia nikamwambia mmefungiwa matapeli wakubwa .

Yule dada kanitukana tusi baya ,nikawa nacheka bila break akakata simu .Ila nimeamua kuwa kila siku nitakuwa nawapigia mpaka wafunge laini yao ,nitakuwa nawapigia kuwacheka.
 
Inaendelea

62. TZcash

63. Umoja

64. Usalama Na Uwakika Mkopo Dk15

65. Mkopo wa Ustawi

66. Viva Mikopo Limited

67 VunaPesa

68. Ndiyo Pesa

69. ZimaCash

Kwa mfanano huo sina hawa kilikuwa kikundi cha watu wachache hivyo kama kuna jinai ni rahisi kuwapata wahusika
 
Na je zilikuwa na leseni?
Zilikuwa zinalipa kodi?
downloadfile-1.jpg
downloadfile.jpg
 
Nimewapigia watu wa pesa X ,jioni mdada kapokea nikawauliza vipi naweza kupata mkopo ,eti ananijbu Kuna tatizo la kiufundi ,nikamwambia litaisha akasema maengeneer wao wapo wanalishughulikia nikamwambia mmefungiwa matapeli wakubwa .

Yule dada kanitukana tusi baya ,nikawa nacheka bila break akakata simu .Ila nimeamua kuwa kila siku nitakuwa nawapigia mpaka wafunge laini yao ,nitakuwa nawapigia kuwacheka.
🤔🤔🤔 Mara paap! Wamefunguliwa tena ...!!
 
😂
 
Unju bin unuki huyu huyu aliekua mrefu anavuka bahari kwa kutembea, akitaka samaki anachukua baharini kwa mkono alafu anamchoma kwenye jua?
Huyo ndiye mimi, bado nipo 😆
 
Back
Top Bottom