Ujie hapo umefanya personal attack, topic ipo wazi kwa wote, sio kwangu.Hapa majibu unayo mwenyewe
Upo tayari binti yako mdogo awindwe
Kwanini uwinde watoto wadogo hakuna mashindikana mtaani mpaka uharibu watoto wa watu ?
Mnafaa kuona aibu ku comment kama hivi licha ya kua ni I'd fake
Masimp labdaSasa kumpata yoyote kumbe imekubali sasa unaweza pata aliyonayo au la!!!!
Kwangu mimi bikra sio inshu na katika maisha kiujumla bikra si chochote wala lolote ndio maana wavulana wako bize kulilia bikra na wanaume wako bize kusaka wanawake watakao wapa maana ya maisha
Hapa hakuna wakutipiwa lawama
Kinachoshangaza ni wanaume kujitoa kwenye hili swala kama vile vile hawahusiki
Kwani unazungumzia under age? Au unazungumzia wanawake, kama ni under age hio haina mjadala mwanaume miaka 30 Jela, ila kama ni mwanamke anayejitambua, huyo asilete excuse, ujinga ni wake na standard za mtu haziwezi badilika. Hivo basi wanaume hawawezi badilisha standard zao kwa sababu ya wanaume na wanawake wengine wajinga. #usifanyeukatili#usitoesexkablayandoa overNarudia acha kurukaruka kwanini utongoze huku ukijua huna nia ya kumuoa huyo mtoto tena under age
Jibu swali langu
Je kama hapa utawalaumu wanaume au mfumo wa malezi na ujinga wa mabintiMkuu kwamba hatuna kazi za kufanya zaidi ya huku JF?
Malezi is a very broad terminology. Haiishi hapo tu unapofikiria.
"Unajua chochote kuhusu mila na desturi?"
Tunamuongelea nani sasa ?Ujie hapo umefanya personal attack, topic ipo wazi kwa wote, sio kwangu.
Again, hatumuongelei underage, hatuongelei mtoto wa 12yrs hapa, hiyo ni molestation ambayo ukikutwa na hatia ni miaka 30 jela.
Ilifaa usome badi mada yote nadhani umesoma nusuTuongelee binti mwenye utashi ambaye kisheria anasimama mwenyewe, hata akiwa binti yangu, if she's 18+ na kakubali kwenda kinyume na tulivyomfundisha, trust me dunia itafanya kumfundisha.
Kwani tunaongelea kina nani?Kwani unazungumzia under age? Au unazungumzia wanawake, kama ni under age hio haina mjadala mwanaume miaka 30 Jela, ila kama ni mwanamke anayejitambua, huyo asilete excuse, ujinga ni wake na standard za mtu haziwezi badilika. Hivo basi wanaume hawawezi badilisha standard zao kwa sababu ya wanaume na wanawake wengine wajinga. #usifanyeukatili#usitoesexkablayandoa over
Mada ipo clear na inaelewekaSasa Mkuu unachosema hapa ni tofauti na title ya thread yako. Thread yako haihusu wanaume wa miaka 30+ kurubuni wasichana wadogo wa 13, 14. Hebu jiongeze katika uandishi wako basi.
Sass hao wanaume wa rika letuHujaelewa kitu kimoja, asilimia kubwa bikra mnatolewa mkiwa mabinti wadogo na hamtolewi na watu wenye nia ya kuwaoa bali na vijana wa rika lenu, hapo ndio tatizo lilipo, na watoa bikra ni walewale.
Kwahiyo hawa wanolalama wao hawajawahi kupita kwenye hilo rika unaloongelea?Hawa wanaolalamika sasa hivi ni wale ambao wako kwenye age ya kuoa, na kwenye ujana wao hawajawahi kutana na bikra, ukubwani pia, na wamejenga imani hakuna bikra.
Unataka nikubaliane na maoni yako ili ionekane nimeanzisha uzi bila kutaka maoni yanayonifurahisha?Nature ipo na linapokuja suala la mahusiano itamuhukumu mwanaume kwa vigezo vya uchumi na uthabiti wa maisha yake, itamuhukumu mwanamke kwa vigezo vya umri na alivyojitunza. Sasa kama umeanzisha uzi ili upewe majibu yanayokufurahisha, then keep staying in your delusional comfort zone
Mdogo wako which ?Wewe jukumu la kulinda afya yako ni lako ama la binadamu mwingine?
Kwani wewe hauna akili za kuamua kuwa hutaki? Hakuna logic katika hili mdogo wangu. Haimake any sense eti jukumu la kulinda bikira ni la mwanaume pia! Ni ujuha wa wazi wazi kabisa.
Bikra unayo ?umeandika uzi mrefu mimi sijasoma ila nauliza vipi wewe ni bikra au lah nijibu kwa upendo Bikra unayo
Kwani huwa mnabakwa??Na hiki ndio kinawatesa mwisho wa siku wanashikwa na hasira na kuzishusha kwa wanawake huku wakiacha wanaume ambao ndio hushiriki kuzitoa
Mpaka kufikia hatua wao hawaambulii kitu
Wanaishia kuja kujiliza huku
Nenda kafanye kazi asubuhi hii utaendelea kulilia bikra mpaka sa ngapi?Kwani huwa mnabakwa??
Hutaki watu watoe concerns zao ?Nenda kafanye kazi asubuhi hii utaendelea kulilia bikra mpaka sa ngapi?
Endelea basi ila acha kuni quote unachoshaHutaki watu watoe concerns zao ?
Sass hao wanaume wa rika letu
Kuzungumziwa kwa aje? Hapo mhanga ni mtoto wa kike na mind you habakwi ni kwa hiari yake. Mtoto wa kiume ni fahari kutoa bikra.Mbona hawazungumziwi?
Watoto wa kike wanaanza ngono mapema kuliko wa kiume.Kwahiyo hawa wanolalama wao hawajawahi kupita kwenye hilo rika unaloongelea?