Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

Wacha uongo.

Aliyetowa ndege ni mbunge wa CCM kutokea Zanzibar, tena ndege yake.
 
NDIYO HUYOHUYO ANAMTUHUMU MBOWE ANAKULA RUSHWA KASHASAHAU NDIYO ALOIMUOKOA KWELI UBINADAMU KAZI
Ninacho shindwa kuwaelewa kwamba mnaamini mtu akisha kutendea wema basi hatakiwi kusemwa hata pale anapo kutendea ubaya
 
Anhaa
Anhaa Kaka hili ni la Karagwe Kaka ,nilipona sababu ya kujuana na bwana Jordan .
Duh la kurasini ulikuwepo nini brother ?
Mungu bado ananipenda Sana hakika
Nykahanga,Nyakayanja,Bugene,Kishao,Omurushaka,Kaisho,Rwambaizi,Bushangaro,Nyaishozi,Chabalisa,Chanyamisa,Ihembe nk kote huko nimekamua pisi za kitutsi.
Jordan mtu poa sana,baba yake alizaliwa Nyakahanga ila akahamia Nyakayanja
 
Oya mdukuzi huko ni kwenu nini mwanangu ? Au tulikuwa wote kwenye operation ya kuwasaka wanyarwanda wanaoishi Tz bila vibali kipindi kile mjomba alipokosana na Tolu ?
Nina mengi ya kuongea na wewe mwamba ,
 
Wacha uongo.

Aliyetowa ndege ni mbunge wa CCM kutokea Zanzibar, tena ndege yake.
Aliendesha yeye?
Aliyesuka mipango nani?
Nani aligomea kufunga anga ya Dodoma?
Natambua mchango wa bwana Turkey mtu mwema kabisa kwa kutoa ndege yake ila sijamtaja makusudi jisijekutonesha kidonda kwa wachawi wa CCM waliiotaka jamaa afie muhimbili
na yeye alifokewa kama mtoto na jiwe
 
Mkuu nikusahihishe, ile sio camp ya kikatoliki, ni ya ki KKKT, inaitwa UVIKIUTA
 
Oya mdukuzi huko ni kwenu nini mwanangu ? Au tulikuwa wote kwenye operation ya kuwasaka wanyarwanda wanaoishi Tz bila vibali kipindi kile mjomba alipokosana na Tolu ?
Nina mengi ya kuongea na wewe mwamba ,
Ahaas we acha tu ndugu maisha haya mimi karibu sana
 
Mkuu nikusahihishe, ile sio camp ya kikatoliki, ni ya ki KKKT, inaitwa UVIKIUTA
Sikujua kama ni ya KKKT maana mama Anna Mkapa alikuwa karibu nao sana,asante kwa kunijuza,ila nahisi ile iko chini ya mgongo wa kitengo,maana hafla zote za Ikulu wao ndio hupewa tenda ya kupamba
 
Mh. Mbowe ni kweli kabisa amehusika moja kwa moja kutetea uhai wa Lissu kwa kucheza karata zake haraka na kwa weredi.

Serikali iliishaamua aletwe Muhimbili, Mwamba Mbowe akagoma akasema anakwenda NBI.

Mh. Mbowe ni jabari.
 
Picha lilikuwa linaishia Muhimbili asubuhi tu
 
Hivi unafahamu maana ya Sniper ?​
Nadhani anafahamu vizuri hiyo fani,kama kazi ya sniper iliuziwa kwa low grade kiselela mbwa koko kruti compulsory afanye kazi ya Tom Cruise katika mission impossible
,outcome si kosa lake.
Tanzania ni nchi ya vioja kuna wakati enzi za FAT walipeleka referee mtarajiwa ngazi ya FIFA akashindwa interview tu ya kuzunguka uwanja wa mpira tena kwa KUTEMBEA mara nne ili apewe begi ya FIFA.
 
Lakin hiyo haimzuii Lisu kusema ukweli pale Mbowe anapokosea
 
Lissu akisaidiwa na Kikwete mbowe aliplan kumleta muhimbili au agakani ambako angekufa pale pale kwa sindano.

Huwezi kuelewa hili mpaka uwe na D 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…