Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

Hata kama ni uongo tukio la Lissu kupona ni aibu kwa yule shujaa uchwara wako.
Aibu ni kwako wewe

Huyo Tundu Antipas Lisu licha ya kuzuiwa na UVCCM asikaribie kaburi la Shujaa Magufuli alifanya kila Mbinu hadi akaenda kuweka maua kwa Msaada wa Kardinali mstaafu wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹🤣
 
Aibu ni kwako wewe

Huyo Tundu Antipas Lisu licha ya kuzuiwa na UVCCM asikaribie kaburi la Shujaa Magufuli alifanya kila Mbinu hadi akaenda kuweka maua kwa Msaada wa Kardinali mstaafu wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹🤣
Ona aibu
 
Wale walenga shabaha(snipper )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.

Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.

Mbowe mtoto wa mjini akahisi hapa kuna mchezo mchafu unaweza kuchezwa,akampigia rafiki yake Captain Minje wakakodi ndege chapchap wakamtorosha mgonjwa mpaka Nairobi then ulaya,ilikuwa kama movie ya chuck Noris vile.

Mkuu wa mkoa Jordan Rugimbana akapigiwa simu toka juu kuwa imekuwakuwaje anga la Dodoma alikufungwa mpaka mgonjwa anatoroswa kibabe kama sinema.

Haikuchukua muda akatumbuliwa,npaka leo yupo kijijini kwake Chamazi kwenye kambi ya vijana wa kikristo,i UVIKIUTA anafuga kuku.

Hawakuishia hapo mradi wake wa makumbusho ya wanyambo kule kijijini kwake Nyakahanga, Karagwe ukapigwa stop,ulikuwa ni mradi wa mabilioni toka kwa wafadhili.

Rugimbana kule mbinguni kuna kiwanja chake,mtu mwema kabisa,baba yake alikuwa kamishna wa kwanza wa magereza nchini,alikufa zamani sana enzi za Nyerere na kuwaacha wakiwa wadogo,Nyerere aliwachukua na kuishi nao kama watoto wake.

Barikiwa sana Jordan Rugimbana na Freeman Mbowe kwa msaada wa Mungu Tundu Lissu bado yupo akitema madini
Ukweli ndio huo walitumia utu kuokoa maisha yake
 
Mh. Mbowe ni kweli kabisa amehusika moja kwa moja kutetea uhai wa Lissu kwa kucheza karata zake haraka na kwa weredi.

Serikali iliishaamua aletwe Muhimbili, Mwamba Mbowe akagoma akasema anakwenda NBI.

Mh. Mbowe ni jabari.
Kwa Sasa Nairobi ni kama Generva au Brussels ya Afrika.

Kila kitu cha Ulaya kiko Nairobi
 
Wapo wanao amini kwamba mbowe ana mhujumu lisu. Angetaka kumhujumu si angefanya wakati huo???
Ni sawa mtu mzima kuambiwa na mganga kuwa anarogwa na nama yake,mama yako angetaka ufe ungekufa zamani
 
Ukweli ndio huo walitumia utu kuokoa maisha yake
Na Mungu abariki maisha yao na uzao wao wote.

Hata wale watoto wa Salim Turky wanashangaa wanazidi kubarikiwa tu na sasa Mwanaye Mkubwa Taufiq kaunua Gari ya kifahari Kutembelea Ya Bilioni Moja.

Hizi ni Baraka
 
Haijustify kwamba chadema inataka mabadiliko! Hmna excitement tena uongozi uliopo unaleta
 
Uko sahihi Mbowe hana tena ushawishi ila Tundu Lissu nae awe na adabu kidogo kwa wakubwa zake

Lissu ni simba na mdomo wake haufungiki kiongozi! Alimuita jiwe dikiteta uchwara akiwa kisutu, chini ya 1km toka magogoni wakati hao wakubwa wamejificha chooni! Sifa yake kubwa ni kuita nyeusi nyeusi na nyeupe nyeupe huyu jamaa, tangu primary kule Mahambe hii hawezi kubadilika umri huu kaka, hata Mkapa anajua
 
Back
Top Bottom